Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 26,991
- 27,998
Very good, that simply mean that you don`t know.sina muda ingia google ukajifunze
Very good, that simply mean that you don`t know.sina muda ingia google ukajifunze
mwenye data kama hii kwa bara nzima kwa mwaka 2019-2020
najua tumewaacha mbali in 2019/2020
hapo kwa SA na Lesotho kunashangaza
View attachment 1481095
Tukubaliane na wewe story ziko nyingi maana tunaweza zungumzia ili jambo hadi mwakani uwezo Huo unao. ..leta taarifa za UgandaLess than 13k. Hata Uganda is ahead of you.
Approximately 13K, that means an average, less or higher. Kwanini unachukua less na kuacha higher side?, to be fair, just take exactly 13K.Amesema approximately 13k. Meaning tarmacked roads are less than 13k.
Ingekuwa higher angesema mko above 13k. But because you are below that number, ameround off the numbers to the nearest thousands to look better. So as of now you are still below 13k.Approximately 13K, that means an average, less or higher. Kwanini unachukua less na kuacha higher side?, to be fair, just take exactly 13K.
Kwaiyo unatak kubishia mpka hili kiswahili ni tatizo kwakoMko na less than 13k, even your president stated very well.
Hata nyie kenya hamuwezi jenga kitu kama hiyo,hata kama ikijengwa bado itamilikiwa na mchina for 30 years, enyewe wakenya ni mbumbumbu aisee khaaa!!Hiyo barabara inawauma kweli kweli. Tanzania hatawai jenga kitu kama hiki. So you just relax and be spectators.
Argument yenye imechoka sanaEnglish yenyewe imechanganyika na kijaluo, njaa na umasikini, "Kenya not yet Uhuru"
, tafuta taarifa negative on Kenya ya ku post Kenyan news section to make Tz feel better wacha kelele









Nimemwambia hapo kuwa anatak kujitoa 7faham n kuleta ubishabo wa kindagateLess?wacha kujitia pressure kijana,unasoma maandishi unayatafsiri kinyume ili tuanze debate za kitoto...unaambiwa 13k zina lami tayar na 2000km wakandarasi wako kazini wewe unasema ujinga gani man up
Hapo Dodoma Govt city roads and ring roads hazijaanza!Wale mapimbi walio kuwaa wanabisha kuwa Tz haina tarmac road 13000kms bado wapo...na U/C 2000km...hii cyo nchi ya kutania tania kwa sasa anae bisha akaskiliz hotuba ya rais kuanzia dakik 56...kupitia global tv online
Hakika wakenya ni masikini sana,ukiangalia kwenye hiyo road yote hakuna gari ya adabu hata moja, zimejaa toyota probox na ist😁😁🤣🤣Makasiriko acha nani. Hii barabara ikiisha uje upige selfie hapa sawa?
View attachment 1481196
Miradi Ni mingi tu kwenye campaign wataainisha miradi ijayoHapo Dodoma Govt city roads and ring roads hazijaanza!
Nimemwambia kiswahili inaonekana kuwa nzito kwakehujui maana ya takribanaisee imekuuma sana


baada ya mkoloni kuondoka u are colonized by CCM kishenzi, both body and soul(mind), wangekua na uwezo wangeshika na spirit zenyu, ila mwenyezi Mungu na hekima yake isio kua na kipimo ni mwema sana! ndio maana wanyenyekevu kwake wameona mwanga na wanakombolewa, can't be fooled, they can read in between the lines, dissecting propaganda from reality. Na ni wachache mno! The rest tabu tupu



It will take them a century to win "social and economy freedom"...hawajui hata wako wapi...wanajichukia wenyewe.
Likoni ambayo iko kwenye paper, tena kwenye madaraja tumewaacha mbali sana hawathubutu kabsa, uko tunavunja record zetu wenyewebridge gani wanajenga ??![]()
LOL English imekupa kisogoMko na less than 13k, even your president stated very well.
Bc leo nimeona mtu wakwanza kupinga evidence kwa maneno matupu.....Less than 13k. Hata Uganda is ahead of you.





kwani ili swala limekuja kwako kwa surprise sana nini?