KANU si ya kikabila, soma historia ya KANU, maybe kwa sababu president alitoka kwa wakalenjin, but ilianzishwa wakati wa Kenyatta (mkikuyu), NARC (National Rainbow coalition/ndio Rainbow) ilikua muungano wa vyama vingi kutoka upande wote wa Kenya, walimuondoa Moi kwa kumshinda Uhuru Kenyatta wakati aligombea urais kwa tikiti ya chama cha KANU dhidi ya mkikuyu mwenzake Mwai Kibaki., PNU was Kibaki's party, ODM ina umaarufu Nyanza, Western na pwani, Ali Hassan Joho, governor wa Mombasa ni wa ODM ila si mjaluo., Jubilee wengi wao ni Kikuyu na Kalenjin because of population but wako na wajumbe kutoka eneo mbali mbali za Kenya.,
Elewa Kenyan politics, ukitaka kua rais lazima utafute kura from tribes with big population, so the parties that are supported by people from a big population wewe uta conclude eti hizo chama ni za watu wa hiyo lugha, of which is not necessarily true. Kuna watu wanasimama as independent candidates for political position in jubilee and ODM strongholds (yaani mahali pa wafwasi wengi wa hizi chama) na bado wanapita.