Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kaka hii kazi ilianza kitambo, kuna sehemu wameshaa tandaza lami, diversions, watu wanao ishi sehemu zile wanakula vumbi ama matope kukinyesha, construction inconveniences.... mr. google, tafadhali google ujionee., na hakuna board ya kuonyesha ujenzi...

Sent using Jamii Forums mobile app
ilianza wapi munajenga mbinguni au😂😂 tafuta construction board ukipata mm nafunga acc jamii forum
 
Kaka hii kazi ilianza kitambo, kuna sehemu wameshaa tandaza lami, diversions, watu wanao ishi sehemu zile wanakula vumbi ama matope kukinyesha, construction inconveniences.... mr. google, tafadhali google ujionee., na hakuna board ya kuonyesha ujenzi...

Sent using Jamii Forums mobile app
au ujenzi wenu ni invisible 😂😂😂
 
ni ghost hivi., haujatafuta mr.google?, uliza wasafirishaji mizigo wa Tz wanao pita pita hizo sehemu, naona Lorry mingi za Tz, watakueleza how they are diverted na progress.., wenye magari wengi wana divert na kuingilia Limuru, then wanajoin njia ya two rivers mall na kutokea upande wa parklands when approaching cbd to avoid the construction ni zaidi ya mwaka sasa., pale westlands ndio bado hawajabomoa...
au ujenzi wenu ni invisible

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hey guys, been away kidogo na nimeona majirani wakiniquote left right and center. Anyway, leteni hizo feelings sasa I deal with them 😂 😂
 
From the pictures, this is one of them “gated communities” sasa did you build that house/ are you paying a mortgage? Halafu btw your houses are ugly af. What’s with the colours? Is that a children’s day care center or something?
Look who is talking! Gated communities are a norm in Nairobi. They are virtually everywhere and most of them if not all, are developed for prospective home buyers, not renters. Though I don't consider this as a gated community coz there are only four units here each with its own compound. So usishangae kijana. Yes, I bought the house, I did not develop it from scratch though I have customised it a lot, especially the interior part.
 
kaokota picha ili aje apunguze machungu maana yake bila hvo iko namna ya kukosa usingizi wiki mzima😂😂😂
Ndio hizi zingine nimeokota? 😂
IMG_20200525_110259_0.jpg
IMG_20200525_110748_8.jpg
 
Back
Top Bottom