Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Fanya projects ambazo kwnz zita diversify maendeleo, jenga masoko mengi, jenga shule nyingi weka facilities kwenye hizo shule, jenga hospitals, jenga reli za kueleweka, jenga viwanda vya kutosha, jenga barabara sehemu ambazo ni remote, weka miundombinu ya maji vzr, the same as Magu does na ndiyo maana tunamuimba humu daily kwasabu anafanya mambo ambayo yatainua uchumi wa wananchi faster, co kujenga ma appartment cjui manini, yana return rate ndogo sn. Poleni Wakenya.
HAhahahaha wivu unamwagika hani hata hujui uanze na wapi kuzoa, hivyo vitu vyote umetaja, Kenya iko navyo kuwashinda sasa sijui unaenda wapi na hio story
 
KWani haujawai kuskia kitu inaitwa morgage, nyinyi ni washamba kiasi gani jameni, Hivi unataka uniambie watu 5 million dar wote wanamiliki ardhi, punguzeni unafik watanzania
ikiwa 60% wako kibera how about other slums ???? hahaha huku kununu ardhi ni kama kumkojolea mlevi na kujenga nyumba ni rahisi thats y majority own land and houses vipi kwenu ardhi imeshikwa na investors + politicians kwisha😂😂😂
 
Hili kosa linafanywa na viongozi wengi wa kiafrika, wanafanya mambo kwa show off, hayo ma apartment yatajengwa tu mana wananchi wakishakuwa vzr kiuchumi itakuwa hayaepukiki, lkn co kujenga hayo madude wkt majority hata mlo tu unawashinda.
mji hauna maji wakat maji ni kitu muhimu sana kwa wananchi 😂😂😂 alaf anakwambia eti wananunua hzo nyumba uozo wa bata
 
hakuna cha povu ile akili ya kumiliki ardhi na nyumba za dream zenu hamuna na hamutakua nazo kwa sababu ardhi zimeshikwa na wachache sana ndio maana leo hushangai mzungu anamiliki ardhi yenye rotuba anapanda maua anaenda kuuza kwao anaawacha nyunyi njaa ikiwaua kila mwaka
Hebu nipe hesabu ya wanaomiliki ardhi Dar, tuanzie na hapo tu ndo tujue nyinyi si wanafik
 
HAhahahaha wivu unamwagika hani hata hujui uanze na wapi kuzoa, hivyo vitu vyote umetaja, Kenya iko navyo kuwashinda sasa sijui unaenda wapi na hio story
bahat nzuri huku majority own land majority wanajenga nyumba za ndoto zao hope umeelewa tofaut ya dengu na maharage😂😂😂😂
 
ikiwa 60% wako kibera how about other slums ???? hahaha huku kununu ardhi ni kama kumkojolea mlevi na kujenga nyumba ni rahisi thats y majority own land and houses vipi kwenu ardhi imeshikwa na investors + politicians kwisha😂😂😂
Leta takwimu za hao wamiliki ardhi Tanzania, si kushabikia tu
 
Hebu nipe hesabu ya wanaomiliki ardhi Dar, tuanzie na hapo tu ndo tujue nyinyi si wanafik
hesabu ni hvi dar city is 1600km sq and nairobi city is 696km sq

dar population is about 6m
nai populatiin is about 5.5m

do simple math 😂😂😂 sio lazma uende upate PHD
 
Hili kosa linafanywa na viongozi wengi wa kiafrika, wanafanya mambo kwa show off, hayo ma apartment yatajengwa tu mana wananchi wakishakuwa vzr kiuchumi itakuwa hayaepukiki, lkn co kujenga hayo madude wkt majority hata mlo tu unawashinda.
Mambo kama haya ni mambo ya wawekezaji ambao wameona opportunity kwa real estate, Huku Kenya ni soko huru sio kama huko magufulistan
 
Yani nyinyi watzmmejawa na povu kiasi ghani, lazima mrushe mdomo kwa kila kitu?

30% ya hizo nyumba ni nyumba ambazo zimejengwa chini ya mfumo wa affordable housing, huu ni mfumo mpya ambao unalazimisha mwekezaji yeyote anae jenga nyumba mpya zaidi ya 100 kutenga 30% iwe ni nyumba za watu wa chini ili kuondoa vitongoji duni ambavyo hua vinajitokeza kando kando ya project kubwa kama hizi ili hata wale wafanyikazi wa ki nyumbani, watchmen, watu wakufagia wawe wanaweza kuishi hapo hapo kwa hizo nyumba za bei nafuu..... Hata tatu city ambayo ni project mpya wamefanya hivyo, kuna nyumba za ma billionaire, millionaire, matajiri, na watu wa chini kabisa....
Hv ww 90k ksh unaionaje kwnz? Ni ya mtu wa chini hyo? Mbn unashabikia vitu kizalendo tu pasipo kuangalia reality, km ni investors from outside the country ndo wanajenga hzo sawa cz huwezi kuwapangia, lkn GoK ilipaswa kushawishi investors wajikite zaidi ktk miradi yny tija km uanzishaj wa viwanda na co hayo mauchafu muda wake bado cz Wakenya wengi wana maisha magumu na hawana ajira.
 
hesabu ni hvi dar city is 1600km sq and nairobi city is 696km sq

dar population is about 6m
nai populatiin is about 5.5m

do simple math 😂😂😂 sio lazma uende upate PHD
Nairobi population is 3 Million at most! When you include Nairobi Metro thats when you get arround 5 Million, and Nairobi metro is a big area.... So leta takwimu za umiliki wa ardhi Dar, wacha ushabiki
 
Mambo kama haya ni mambo ya wawekezaji ambao wameona opportunity kwa real estate, Huku Kenya ni soko huru sio kama huko magufulistan
wawekezaji wanatoka nje wanakuja kujenga appartments nyinyi mupange ndio maana hamuwez kua na akili ya kujenga kwasababu mukiwa na akili ya kujenga watapata wapi wateja thats y munaishia kwenye slums amabzo hata nguruwe hawez kuishi
 
Nairobi population is 3 Million at most! When you include Nairobi Metro thats when you get arround 5 Million, and Nairobi metro is a big area.... So leta takwimu za umiliki wa ardhi Dar, wacha ushabiki
hahahaha sikia hii mbuzi😂😂😂
na hapo wengi sana hawajaandikishwa
F2E158EA-E356-49F1-ACBE-879E090CA496.jpeg
 
Nairobi population is 3 Million at most! When you include Nairobi Metro thats when you get arround 5 Million, and Nairobi metro is a big area.... So leta takwimu za umiliki wa ardhi Dar, wacha ushabiki
hahahaha leo umekula matango pori ukweli haukwepeki nairobi population is almost 5.5m hata ukipindisha haukwepeki😂😂
 
yani ukigusa swala la ardhi hawa lazma wakimbie
Raia wanakamuliwa na bado investors wanajenga ma appartments kuzidi kuwakamua heri kdg ingekuwa ni miradi ya serikali tungesema sawa pesa inabaki nyumbani, lkn pesa yote inakwenda nje inabakisha raia na viraka vyao, kenya bhn is a totally failed state
 
Hv ww 90k ksh unaionaje kwnz? Ni ya mtu wa chini hyo? Mbn unashabikia vitu kizalendo tu pasipo kuangalia reality, km ni investors from outside the country ndo wanajenga hzo sawa cz huwezi kuwapangia, lkn GoK ilipaswa kushawishi investors wajikite zaidi ktk miradi yny tija km uanzishaj wa viwanda na co hayo mauchafu muda wake bado cz Wakenya wengi wana maisha magumu na hawana ajira.
90Ksh ni rent ya Edenville 4 Bedroom villa, sasa unataka iwe sh ngapi? Unaona vile mnaongea vitu kishabiki< HEbu sasa nionyeshe 4 Bedromm villa ya watu maskini huko TZ??
Hizi hapa nyumba 4 bedroom kwenye gated community Oysterbay, Dar, rent yake zaidi ya $3,800 hebu sasa niambie ni maskini gani anamiliki hii huko Tanzania kwenye ardhi ya bure? Acheni unafik!
1590591325392.png
 
Back
Top Bottom