ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,216
- 163,890
watu wamefukua chemba😂😂 kwa lugha ya mtaani wanaita sprenko😃😃Hahah huyo dereva atakuwa alileta kimbelembele wakaamua kumuonyesha nani mwanaume itabidi akakandwe na mkewe! shenzy type WATU WAMEZIBUA MTARO.....! Hawa Wapumbavu juzi walikuwa wanachekelea Watanzania kuchapwa viboko kwao!