Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

wawekezaji wanatoka nje wanakuja kujenga appartments nyinyi mupange ndio maana hamuwez kua na akili ya kujenga kwasababu mukiwa na akili ya kujenga watapata wapi wateja thats y munaishia kwenye slums amabzo hata nguruwe hawez kuishi
Kwa mfano unakuta wanabomoa slums ili investors au serikali au mtu binafsi ajenge apartments katika hilo eneo....Unategemea wale waliokuwa wanaishi kwenye slums wataenda wapi baada ya mabanda yao kubomolewa!

Jibu ni simple tu, wataenda kwenye slums zingine maana hawatoweza kuaffrord apartments

Na hii ndio chanzo mojawapo ya Nairobi kuwa na slums nyingi na pia ukuaji mkubwa wa slums.
 
Raia wanakamuliwa na bado investors wanajenga ma appartments kuzidi kuwakamua heri kdg ingekuwa ni miradi ya serikali tungesema sawa pesa inabaki nyumbani, lkn pesa yote inakwenda nje inabakisha raia na viraka vyao, kenya bhn is a totally failed state
pesa haibaki nyumbani haina tofaut na mashamba ya maua wazungu wanapeka maua kwao wanawaacha na njaa kila mwaka hawa alaf wanakwambia wamesoma😂😂
 
Kwa mfano unakuta wanabomoa slums ili investors au serikali au mtu binafsi ajenge apartments katika hilo eneo....Unategemea wale waliokuwa wanaishi kwenye slums wataenda wapi baada ya mabanda yao kubomolewa!

Jibu ni simple tu, wataenda kwenye slums zingine maana hawatoweza kuaffrord apartments

Na hii ndio chanzo mojawapo ya Nairobi kuwa na slums nyingi na pia ukuaji mkubwa wa slums.
na slums zinavumbuliwa kila siku 😂😂alaf anakwambia wananunua au anafkiri nairaland hapa
 
90Ksh ni rent ya Edenville 4 Bedroom villa, sasa unataka iwe sh ngapi? Unaona vile mnaongea vitu kishabiki< HEbu sasa nionyeshe 4 Bedromm villa ya watu maskini huko TZ??
Hizi hapa nyumba 4 bedroom kwenye gated community Oysterbay, Dar, rent yake zaidi ya $3,800 hebu sasa niambie ni maskini gani anamiliki hii huko Tanzania kwenye ardhi ya bure? Acheni unafik!
View attachment 1460907
Kila nchi hayo maeneo ya kitajiri hayakoaekani, ninachozungumza hapa ni kwamba ujenzi wa hzo mnazoita cjui appartments co wa kuupa kipaumbele sn kwa nchi zetu hz zinazoinukia.
 
simple math bro haitaki ramli

1600km sq vs 696km sq

6m people vs over 5m

ni hesabu ya kuzaliwa nayo tu😂😂
Kwa mara nyengine nitakwambia tena, Hio populatin unayotaja ni population inayohesabu hadi vitongoji vya Nairobi, Nairobi yenyewe ni 3 Million pekee ndo wanaishi, Usiku watu wanarudi vitongoji vya Nairobi huko ndo wanalala, kwahivyo hio hesabu yako ni ya kujitengenezea

1590592067042.png
 
hahahaha leo umekula matango pori ukweli haukwepeki nairobi population is almost 5.5m hata ukipindisha haukwepeki😂😂
Hadi sasa haujaleta takwimu yeyote , inadhihirisha vile ni ushabik tu ndo mnaendeleza hapa
 
anahangaika wakat nimempa very simple math dar city ni kubwa mara ya tatu ya nairobi with population of 6m wakat nairobi ina over 5m ina area ya 696 km sq niambie hio kibera inaachaje kua na watu 2.5m

yani hesabu haziitaji ramli
Nishawawavuruga hao
 
wawekezaji wanatoka nje wanakuja kujenga appartments nyinyi mupange ndio maana hamuwez kua na akili ya kujenga kwasababu mukiwa na akili ya kujenga watapata wapi wateja thats y munaishia kwenye slums amabzo hata nguruwe hawez kuishi
Sasa hizo apartments zinajazwa na nani , hebu nieleze
 
Sasa hizo apartments zinajazwa na nani , hebu nieleze
wanapanga ndio maana akili ya kujenga nyumba na kumiliki ardhi hamuna kitu mumezoea ni ku rent ili investors wachukue pesa zao na mkishindwa rent ndio munaenda kujazana slums 😂😂😂
 
Hadi sasa haujaleta takwimu yeyote , inadhihirisha vile ni ushabik tu ndo mnaendeleza hapa
takwimu ni ww utumie akili ya kuzaliwa tu nishakupa very simple math of standard two 😂😂😂😂 yani mm siwez shnagaa kuona kibera ina watu 2.5m kwasababu ni kweli
 
Ngong Road Undder contruction with some parts already finished

EXuO1jlXQAAvuQV

EXuNdidWsAA3n8e

EXuOfyfWAAILdEr

EXuPf30XQAEApFA

EXuPtfnX0AghB1S
Itaweza pambana na bagamoyo road Morocco -mwenge section ambayo nayo inapanuliwa kua njia 6 ?Taa na mitaro ya kishua ikiingatiwa....

Nice though
 
Kwa mara nyengine nitakwambia tena, Hio populatin unayotaja ni population inayohesabu hadi vitongoji vya Nairobi, Nairobi yenyewe ni 3 Million pekee ndo wanaishi, Usiku watu wanarudi vitongoji vya Nairobi huko ndo wanalala, kwahivyo hio hesabu yako ni ya kujitengenezea

View attachment 1460913
usituletee takwimu za screen shot hapa mulifanya sensa mwaka jama na nairobi walisema 4.5 m huku watu wakilalamaika wengi hawakuhesabuwa na wachamhuzi waksema mupo over 5m😂😂👇👇
562DE665-592C-42D9-81D2-2B3F99A7B102.jpeg

City population increases 40pc
 
Kwa mara nyengine nitakwambia tena, Hio populatin unayotaja ni population inayohesabu hadi vitongoji vya Nairobi, Nairobi yenyewe ni 3 Million pekee ndo wanaishi, Usiku watu wanarudi vitongoji vya Nairobi huko ndo wanalala, kwahivyo hio hesabu yako ni ya kujitengenezea

View attachment 1460913
na hapa wachambuzi walisema wengi sana hawakuhesabiwa 😂😂😂👇👇👇

Growing Nairobi population an indicator of more opportunities - Sonko | Nairobi City County

434DADF0-3E4A-4AFA-BFBB-4B9E20E1D235.jpeg
 
Back
Top Bottom