Ring Road - Westlands
![]()
![]()
![]()
![]()
Anae rusha mawe lazima kuna mahali anaumwaHuu mji bila make up ni majanga
alaf ardhi mutamiliki nyinyi ikiwa such projects mpaka investor aekeze nyinyi mupange yani hamutakua na ndoto ya kumiki ardhi mpaka yesu ashuke😂😂😂Project babkubwa!
Safaricom's Crystal Rivers Mall (24,000m²) and Residential Estate
Its not Safaricom the company but Safaricom Pension fund.
Progress of the mall so far
![]()
Crystal Rivers mall & residential
![]()
![]()
![]()
Kule kando upande wa kushoto ni project nyengine ya inaitwa Great wall housing project
![]()
Hizi ni apartment ambazo unanunua kabisa! au unalipia morgage ambayo ni kama rent na baada ya mda flani unamiliki kabisa!alaf ardhi mutamiliki nyinyi ikiwa such projects mpaka investor aekeze nyinyi mupange yani hamutakua na ndoto ya kumiki ardhi mpaka yesu ashuke😂😂😂
Km projects zenyewe ndo hz basi mtasubiri maendeleo ya kweli mpk parapanda lipigwe, cz hapo mwananchi wa chini atanufaikaje na project km hyo? Hzo zimelenga wenye nazo, kwahyo hapo bado mnaongeza gepu baina ya wenye nacho na wasio nacho, Magu aliliona hilo na ndiyo maana projects za kizembe kama hizo alizistopisha, poleni sanaGreat wall housing Project, Hii ishaanza kutumika phase 1 na 2, phase 3 ndo bado inajengwa
![]()
Pia hawa wamejengewa kabisa hadi Mall inaitwa signature Mall na wako na mpaka shule hapo hapo
![]()
![]()
![]()


The GiantDar es Salaam View attachment 1460876
nani ananunua wewe 😂😂😂 pesa ya milo mitatu watu hawana itakua kununua nyumba au kazi yenu investors aje awajengee muanze kulipa rent hvi nyinyi mungekua munauwezo wakununua nyumba kibera ingekua na 60% ya wakazi wote nairobu 2.5m people??? na zile slum zingine zingekuwepo au unafkiri hapa tupo nairaland 😂😂😂 umejisahau kama sisi tunajua mpaka rangi za chupi zenuHizi ni apartment ambazo unanunua kabisa! au unalipia morgage ambayo ni kama rent na baada ya mda flani unamiliki kabisa!
Alafu kama haujui mfumo wa ardhi Kenya afadhali unyamaze, huko kwenu ndo hamtawai kumiliki ardhi manake yote ni ya serekali, Kenya ardhi ni commodity tu kama vile gari, Mwenye uwezo ananunua, na mwenye anayo anaweza uza, ukiwa mahali pazuri ardhi ni ghali na ukiwa mahali hapajaendelea ardhi ni pesa kidogo.
Ukinunua hizo mansionatte hapo unauziwa kabisa na kipande chake cha ardhi, Wale wanao nunua apartment housing wanazipata kwa bei rahisi manake hio ardhi hawanunui, lakini mwekezaji haimiliki tena , hio ardhi ni shared na wenye campuni hawezi kumuondoa mwenye nyumba forever! Hio ni agreement mnatia sign ukishanunua apartment... Huu ni mfumo ambao unatumika kote duniani, ni mfumo ambao unapunguza garama ya umiliki wa nyumba haswa mijini ambako kununua kipande cha ardhi ni ghali, mki share ardhi hivyo inakua kila mwenye apartment amepunguza gharama.
Kwa mfano 4 Bedroom apartment housing inaweza kua 6 Million, Lakini 4 bedrom villa yenye yenye sq.meters sawa na hio apartment ikiwa na kiwanja chake unauziwa 19 Million Maeneo ya Nairobi. Kwahivyo kununua apartment house inakua cheaper kwa mtu ambae hana pesa nyingi. Tena isitoshe apartment housing hua ziko na common swimming pool, play ground, gym, sports area..etc kwahivyo hakuna kitu unakosa hata kama unaishi kwa apartment ambayo haumiliki ardhi 100%, bado unaweza kucheza, kukimbia, etc... ladba ukitaka kupanda mahindi na mihogo tu ndo utashindwa 😁
wananifaika wageni na wachache wenye uwezo waliobakia wote wako kwenye slums alaf anakwambia watu wananunua 😂😂 wakat mtu kupata chakula akashiba mtihaniKm projects zenyewe ndo hz basi mtasubiri maendeleo ya kweli mpk parapanda lipigwe, cz hapo mwananchi wa chini atanufaikaje na project km hyo? Hzo zimelenga wenye nazo, kwahyo hapo bado mnaongeza gepu baina ya wenye nacho na wasio nacho, Magu aliliona hilo na ndiyo maana projects za kizembe kama hizo alizistopisha, poleni sana![]()
Yani nyinyi watzmmejawa na povu kiasi ghani, lazima mrushe mdomo kwa kila kitu?Km projects zenyewe ndo hz basi mtasubiri maendeleo ya kweli mpk parapanda lipigwe, cz hapo mwananchi wa chini atanufaikaje na project km hyo? Hzo zimelenga wenye nazo, kwahyo hapo bado mnaongeza gepu baina ya wenye nacho na wasio nacho, Magu aliliona hilo na ndiyo maana projects za kizembe kama hizo alizistopisha, poleni sana![]()
hzo ni projects za investors kwa ajili ya watu kupanga warudishe pesa zao sasa unafkiri akiki ya kumiki ardhi watakua nayo hawa never ever 😂😂😂 ww fatilia housing projects zao 90% investors kutoka njeFanya projects ambazo kwnz zita diversify maendeleo, jenga masoko mengi, jenga shule nyingi weka facilities kwenye hizo shule, jenga hospitals, jenga reli za kueleweka, jenga viwanda vya kutosha, jenga barabara sehemu ambazo ni remote, weka miundombinu ya maji vzr, the same as Magu does na ndiyo maana tunamuimba humu daily kwasabu anafanya mambo ambayo yatainua uchumi wa wananchi faster, co kujenga ma appartment cjui manini, yana return rate ndogo sn. Poleni Wakenya.
KWani haujawai kuskia kitu inaitwa morgage, nyinyi ni washamba kiasi gani jameni, Hivi unataka uniambie watu 5 million dar wote wanamiliki ardhi, punguzeni unafik watanzanianani ananunua wewe 😂😂😂 pesa ya milo mitatu watu hawana itakua kununua nyumba au kazi yenu investors aje awajengee muanze kulipa rent hvi nyinyi mungekua munauwezo wakununua nyumba kibera ingekua na 60% ya wakazi wote nairobu 2.5m people??? na zile slum zingine zingekuwepo au unafkiri hapa tupo nairaland 😂😂😂 umejisahau kama sisi tunajua mpaka rangi za chupi zenu
hakuna cha povu ile akili ya kumiliki ardhi na nyumba za dream zenu hamuna na hamutakua nazo kwa sababu ardhi zimeshikwa na wachache sana ndio maana leo hushangai mzungu anamiliki ardhi yenye rotuba anapanda maua anaenda kuuza kwao anaawacha nyunyi njaa ikiwaua kila mwakaYani nyinyi watzmmejawa na povu kiasi ghani, lazima mrushe mdomo kwa kila kitu?
30% ya hizo nyumba ni nyumba ambazo zimejengwa chini ya mfumo wa affordable housing, huu ni mfumo mpya ambao unalazimisha mwekezaji yeyote anae jenga nyumba mpya zaidi ya 100 kutenga 30% iwe ni nyumba za watu wa chini ili kuondoa vitongoji duni ambavyo hua vinajitokeza kando kando ya project kubwa kama hizi ili hata wale wafanyikazi wa ki nyumbani, watchmen, watu wakufagia wawe wanaweza kuishi hapo hapo kwa hizo nyumba za bei nafuu..... Hata tatu city ambayo ni project mpya wamefanya hivyo, kuna nyumba za ma billionaire, millionaire, matajiri, na watu wa chini kabisa....
Hili kosa linafanywa na viongozi wengi wa kiafrika, wanafanya mambo kwa show off, hayo ma apartment yatajengwa tu mana wananchi wakishakuwa vzr kiuchumi itakuwa hayaepukiki, lkn co kujenga hayo madude wkt majority hata mlo tu unawashinda.wananifaika wageni na wachache wenye uwezo waliobakia wote wako kwenye slums alaf anakwambia watu wananunuawakat mtu kupata chakula akashiba mtihani