1.Magomeni-enzi hizo kulikua na miti mingi watu wakawa wanafata magome ya miti pakaitwa magomeni
2.ILALA-kutokana na makaburi ya pale karume kila siku watu wakienda kuzika wanaimba LAILA HA ILALA ikawa ilala
3.UBUNGO- kutoka na matunda ya mabungo kuwa mengi eneo hilo ikawa ubungo
4.kariakoo- magari ya kubebea mizigo enzi hizo yaliyokua yanaleta bidhaa sokoni kariakoo yalikua yanaitwa Carrie cobs -ikawa karia koo
5.MAGOMENI USALAMA.-Kutokana na kituo cha polisi na nyumba ya rais nyerere maeneo yale pakawa sehemu salama
6.SHEKILANGO-kutokana na ajili iliyotokea barabara hiyo miaka hiyo ikapoteza maisha ya waziri fulani aliyekuwa anaitwa sheikh kilango
7.KAWE-Kutokana na ng'ombe wengi kupita njia ya kawe kwenda Tanganyika packers njia hiyo ikaitwa cow ways ikawa kawe
8.kijitonyama-nyama zilizotoka tanganyika packers zilikua zinauzwa kwa mnada maeneo hayo ikawa kijito cha nyama(kijito nyama)
9.Msasani-Musa Hasani
10.MIKOCHENI-michael chen
11.Posta- ofisi kubwa za shirika la posta zilizopo pale
Ongeza majina kadhaa tuzidi kupata elimu juu ya asili ya majina ya maeneo mbalimbali