ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,058
Hahahaha tunataka mukasirike adi muweke miguu mfukoni au mumeze wembe kabisa ...
Enewei ivi kati ya Conte na Arteta Nani anastahili kucheza UEFA? Tuseme tu ukweli mazee [emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kama timu yao inaonesha toka waanze kucheza UEFA wanaishia hatua ya 16. Unategemea nini. Wakafanye nini huko mwache Konte aende