Mnyuke Jr
JF-Expert Member
- Jul 3, 2021
- 4,499
- 6,459
Gabriel Jesus amekubali kuja kucheza Arsenal bila kujali inacheza mashindano ya ulaya au AfrikaKwa sasa hata utoe uchambuzi wa kina Gary Neville, timu yetu haina uwezo wa kusajili high profile players. Hata huyo Jesus, tukishindwa kukwolify CL hutamuona. Wewe unayejua tactics tuambie nani atakubali kuja kucheza europa league na profile yake inayoeleweka.
In short ame accept project yetu,na hii ndo inatakiwa kupata mchezaji ambaye yupo willingly kuja kucheza ktk timu yetu
Kilichobaki ni fee agreement na timu yake tu.......ila kwenye kipengele hiki arsenal huwa tunapoteza muda sana na inatokea timu nyingine faster wanapita nae

league hundred percent utawaona na jezi za Arsenal next season but kama tutashindwa kuqualify bro utajionea miujiza na hutaamini utakayoyaona

atatupa Big trophies