Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Game Theory

JF-Expert Member
Sep 5, 2006
8,545
837
1.png


Full name: Arsenal Football Club

Nickname(s): The Gunners

Founded: 1 December 1886

League: Premier League

Website: arsenal.com


1.jpg

Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch 105m x 68m


A59971A6-B33D-4A15-AFA3-2785F7B358A0.jpeg

Owner: Stan Kroenke

1.jpg

Chairman: Sir John Chippendale "Chips" Lindley Keswick

external-content.duckduckgo.com.jpg

Head Coach: Mikel Arteta​


Arsenal Trophies:
League Tittles: 13

First Division/Premier League Champions: 13 (1930/31, 1932/33, 1933/34, 1934/35, 1937/38, 1947/48, 1952/53, 1970/71, 1988/89, 1990/91, 1997/98, 2001/02, 2003/04)

European Trophies: 1
UEFA Cup Winners': 1 (1993/94)

FA Cup Trophies: 14 (1929/30, 1935/36, 1949/50, 1970/71, 1978/79, 1992/93, 1997/98, 2001/02, 2002/03, 2004/05, 2013/14, 2014/15, 2016/17, 2019/20)

League Cup: 2 (1986/87, 1992/93)

Community Shield: 16
FA Charity Cup/FA Community Shield: 15 (1930, 1931, 1933, 1934, 1938, 1948, 1953, 1991, 1998, 1999, 2002, 2004, 2014, 2015, 2017, 2023)

Other Trophies
League Centenary Trophy: 1 (1988)
Inter-Cities Fairs Cup: 1 (1969/70)


Image-credit-Twitter-@Arsenal.jpg

Arsenal Football Club celebrate as they Crowned The Emirate FA Cup Winners(2020)

Arsenal-fixtures-2023-24.jpg

Arsenal Premier League Timetable of 2023/24

Follow this thread for team updates!
 
dah kweli chama letu lina hali mbaya ila ni mambo ya mpito bado nina imani na chama letu litafanya mambo makubwa siku za usoni hususani bwana magoli henry.

worm chelsea hawana chochote usajili mkubwa timu hamna,msiombe tukutane raundi ya pili emirates tutawachakaza vibaya sana,
 
kwanza leo liverpool anachezea kichapo kwa kuwa yule ni mteja wetu kama alivyokuwa chelsea

timu bora ni ile inayofungwa kila mara,naamini kabisa the gunner kuanzia januari hatutakamatika ni mwendo wa kichapo kwa kila timu itakayokumbana na sisi

mpaka sasa tuna pointi 9 kutoka kwa man utd, chelsea na wateja liverpool hizo tukijumlisha na ambazo tutazikusanya toka kwa vibonde wengine km bolton na wenzake naamini kabisa taji litatua EMIRATES kwa mara ya kwanza

mataji madogo kama vile fa,carling cup hayo sina nayo wasiwasi kwani tumeingia nayo ubiaaaaaaaaaaaa
 
usijihisi mnyonge arsenal inapita katika mabadiliko makubwa ya uchezaji ndani yatimu,pili wachezaji wengi ni wageni katika kuhimili mikiki ya ligi ya ulaya hata uingereza omba tuingie robo fainali ya ulaya utaona jinsi timu itakavyo anza kijiamini mabadiliko utayaona tatu majeruhi mengi ni kwa wakongwe ambao tulitegemea ndio wangeweza kuwapa ujasiri wegeni vuta subira mambo yanakuja baada ya majeruhi kusimama sawa huku wageni kama unvyo ona wanaanza kutulia katika uchezaji mambo mazuri hayataki haraka
 
The Gunners

DrWHO upo babake? Mbona mmezimika ghafla? Hahaha visingizio haviishi ninyi! Mara maumivu wengi... Mara mwakani ni mauaji... Hahaha ama kweli sikio la kufa___ (siku hizi najua kiswahili vema tu).

DrWHO nakuonea huruma kweli, timu kimeo kimeo kimeo kimeoooooo! david nae naona kaamua kuja

The Blues

kwa kujua kuwa bunduki zimeishiwa risasi. If you can't fight us... Join us mates!

Haha, niliingia kuwasabhai na kuwatakia sikukuu njema za Noel na Mwaka mpya!

Nawapenda na kuwaombea uzima daima!

wOrM
 
yeah mambo vipi waungwana?licha ya kuwa tuna itikadi tofauti katika ushabiki wa timu,napenda kuwatakia sikukuu njema ya krismas pamoja na mwaka mpya

leo chama kubwa kabisa duniani ARSENAL linakipiga na wachovu blackburn sina wasiwasi kwani najua leo tunaanza kujinyakulia pointi za chee wakati tunakaribia kuwaondoa wachovu man utd pamoja na chelsea katika uongozi

WORM nakuonea imani sana upo mwenyewe halafu unajifanya kukomaa????hebu njoo huku upate rahaa za dunia kwa kucheki pasi za uhakika

x-mas njemaa nw ngoja nishuke transmission kuangalia mechiiiiiii
 
Back
Top Bottom