Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hili la msingi sana, tulimaliza 8th msimu uliopita, msimu huu tumepanda hadi 5th. Hatuna sababu ya kujiumiza sana, ndio nafasi yetu hiyo.

Hata hivyo, isingekuwa Conte effect 4th spot ingekuwa yetu, kumbuka kabla ya yeye kuja Spurs timu ilikuwa imeshapoteana kabisa, huyu jamaa anajua kuleta positive impact kwa muda mfupi sana.
Angeweza kumake top four kama Arsenal ingestrength january + Partey & Tierney kuwa fit? If yes, why?
 
Ninyi mushajihakikishia ushindi wenu kila msimu Ni kuifunga Chelsea na Man U tu tofauti na apo amuna mipango mingine.
Vile viushindi vyenu viwili vitatu mlivyopata Basi vichwa vikajaa majinna kuona kila kitu kinawezekana. hahaha timu lenu limejaa watoto eti akina saka na nkeita ndio wakacheze UEFA kweli..?? Akina pepe na lokonga hahaha dah hampo serious nyie, hata Europa sidhani Kama mutatoboa makundi.
#CFC
Tomiyasu
 
Poleni sana najuwa maumivu yenu kwani hata sisi Liverpool tulishapitia haya kipindi tunaletewa wachezaji aina ya Benteke na Lallana eti waje watupe Ubingwa.

Hivyo aina ya wachezaji mulionao mutaishia tu kumtukana Artena lakini kiukweli quality ya wachezaji wenu siyo ya kucheza Timu kama Arsenal.
Boss wenu atoe hela asajili wachezaji wa kuweza kudeliver.
Hawawezi kukuelewa hawa, wanatetea watoto wao akina lokonga sambi
 
Hatuongelei mambo ya "kama", tunaongea mambo yameshatokea. Partey na Tierney kuwa injured is part of the game, yeye hakulijua hilo?
Hujajibu nilichouliza, BTW You sound toxic, if i express disagreement in your Opinion doesn't mean i insult you.
 
Hili la msingi sana, tulimaliza 8th msimu uliopita, msimu huu tumepanda hadi 5th. Hatuna sababu ya kujiumiza sana, ndio nafasi yetu hiyo.

Hata hivyo, isingekuwa Conte effect 4th spot ingekuwa yetu, kumbuka kabla ya yeye kuja Spurs timu ilikuwa imeshapoteana kabisa, huyu jamaa anajua kuleta positive impact kwa muda mfupi sana.
Kumbuka mlikuza matumaini Hadi kutaka nafasi ya tatu. Saivi wapolee!
 
Eti kina Nketiah ndo wakupeleke UEFA. Are you serious?
Arsenal's champions League record when they used to qualify
20220517_122752.jpg
 
Hujajibu nilichouliza, BTW You sound toxic, if i express disagreement in your Opinion doesn't mean i insult you.
Mbona nimekujibu vizuri tu, Partey na Tierney kuwa out injured ni sehemu ya mpira, wao kama management walitakiwa kujua hilo na kufanya recruitment January. Ukisema "kama" ni kusema timu haina vision, inaendeshwa tu kwa mihemko.

Ukija kwangu politely tuta argue, ukija na swagger I'll ignore you.
 
Kumbuka mlikuza matumaini Hadi kutaka nafasi ya tatu. Saivi wapolee!
Ni kweli, hopes were too high baada ya kuona timu inavuka zile expectations za mwanzo. We were written off just baada ya mechi tatu tu, lakini hata wewe umeona..ni INCONSISTENTCY ndio inatu-cost, maturity na jinsi ya ku-handle important games ili kupata matokeo.
 
Mbona nimekujibu vizuri tu, Partey na Tierney kuwa out injured ni sehemu ya mpira, wao kama management walitakiwa kujua hilo na kufanya recruitment January. Ukisema "kama" ni kusema timu haina vision, inaendeshwa tu kwa mihemko.

Ukija kwangu politely tuta argue, ukija na swagger I'll ignore you.
FACT
 
Screenshot_20220517-131618_Instagram.jpg
 
Back
Top Bottom