Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Agent wa Jesus atakua anatumia jina la Arsenal ili wanaomtaka Jesus wapande dau.

Juve inamtaka Jesus pia.

Villa wanamchukua Coutinho jumla. Barca ilimnunua kwa zaidi ya 150M ila inamuuza kwa chini ya 40M.
 
Hizo 150M na 40M ndo nini?
 
Mikel Arteta says both Ben White and Bukayo Saka are doubtful for Spurs tomorrow. Is this a mind game?
sio poa ila siyo mbaya. wasilazimishwe. waachwe wapone vizuri tu. waliopo watajitahidi kushinda.
 
Unaamini Barca na Liva wakifanya biashara watatumia TZS, USD,ZAR, YEN? hii siyo career mode ya FIFA, mara nyingi hua tunaandika M na mashabiki tunaelewana.
Daaah! Kujibu swali limekuwa kazi ngumu sana ila HENRY14 ameshajibu tayari
 
kwa namna arsenal inavyocheza ;pale katkati partey na ode wanatakiwa wapate kiungo mwenza wa calibre ya cazorla ,arthur melo ama adrien rabiot ili eneo la kiungo liwe strong zaidi.

cazorla ,arthur melo na adrien rabiot ;hwa viungo wa aina hi wote wanaweza kucheza kama kiungo wa pemben ya partey upande wa kushoto ( uku ode yeye akiwa anacheza pembeni ya partey upande wa kulia ) wakati timu ikiwa na mpira kwnye mfumo wa 4 - 3 - 3 na pia wakacheza kama viungo wawil wa kati pamja na partey kwnye mfumo wa 4 - 2 - 3 - 1 pale timu inapokuwa imepoteza mpira!
 
Arse ninyi mnafaa kuwa na academy kama akina Nketiah tu. High profile hamuwawezi
Mmemfukuza Auba sasa kule kakiwasha game 15 goli 11 na assists 1
Akiwa Arse misimu miwili game 43 goli 14

Au mmesahau kuwa Arse ni academy ya kuwakuza vijana na kuwauza. Na mapato yenu yanapatikana kwenye hiyo chanzo. Siku mkianza kushindania makombe mtaporeza dira kabisa. Tuandalieni ti hao academy na miwaingize sokoni haraka kabla hawajashuka bei. Bukayo Saka msimu huu tutamhitaji. Pigeni bei acheni ufala
 
Super Takehiro Tomiyasu will block Son from firing any shot on target today. This is a must win match. We've got this
 
Arse ninyi mnafaa kuwa na academy kama akina Nketiah tu. High profile hamuwawezi
Mmemfukuza Auba sasa kule kakiwasha game 15 goli 11 na assists 1
Akiwa Arse misimu miwili game 43 goli 14

Au mmesahau kuwa Arse ni academy ya kuwakuza vijana na kuwauza. Na mapato yenu yanapatikana kwenye hiyo chanzo. Siku mkianza kushindania makombe mtaporeza dira kabisa. Tuandalieni ti hao academy na miwaingize sokoni haraka kabla hawajashuka bei. Bukayo Saka msimu huu tutamhitaji. Pigeni bei acheni ufala
Madhara ya Bangi za kuvutia chooni
 
Ndio maana hii Timu inapendwa sana na walimu kwa sababu ina makinda mengi watoto wa shule
 
Spurs atapigwa kama walivyopigwa wenzake
Nyumbu
Chelshit
Westham

Spurs hana sababu ya kutopigwa,

Son anashikwa na tomiyasu
Kane anashikwa na holding (huyu anajua umuhimu wa hii game na heshima yake)

Xhaka na Broo mudy wanatawala ile middle yote

Martinel
Saka
Unatosha kuweka

Odegard
Huyu mtu arsenal bado hatumtendei hali,
Ndio anaeongoza ku create chances za goals,
Anajua kuupaka Mpira rangi mka enjoy na kuenjoy
Updates vision of OZIL
 
Game yetu ngumu ni Everton Mungu atusaidie
Huyu spurs yupo chini ya uwezo wetu,

Kwaio tukimpiga spurs ndio UEFA?
 
Arse ninyi mnafaa kuwa na academy kama akina Nketiah tu. High profile hamuwawezi
Mmemfukuza Auba sasa kule kakiwasha game 15 goli 11 na assists 1
Akiwa Arse misimu miwili game 43 goli 14

Au mmesahau kuwa Arse ni academy ya kuwakuza vijana na kuwauza. Na mapato yenu yanapatikana kwenye hiyo chanzo. Siku mkianza kushindania makombe mtaporeza dira kabisa. Tuandalieni ti hao academy na miwaingize sokoni haraka kabla hawajashuka bei. Bukayo Saka msimu huu tutamhitaji. Pigeni bei acheni ufala
Sio wanafaa, Ulaya nzima wanaitambua AsaniAli ni Academy.
Hata uongozi wa Uefa unatambua hilo ndio maana hua wana nafasi yao ya kudumu Europa.
Hata wakifuzu kucheza Uefa wanajua hawa watoto wanatolewa kwenye mchujo, hivyo wameshawekewa nafasi yao ya kudumu pale Europa.
 
Madhara ya Bangi za kuvutia chooni
Bangi au nimewapa ukweli, tangu enzi za Asene Wenga ninyi si chuo cha kufyatua wachezaji wazuri wa kuja kuwapa makombe klabu kubwa kama Chelsea. Au umesahau hiyo. Wekeni Saka sokoni, kwa sasa ana bei kubwa mkichelewa mtakosa noti na makombe, bora mkose makombe mshike mshiko
 
Nimachojua leo Tottenham anapigwa basi
Spurs wamesema leo hawataki ushindi wa goli chache, wameahidi ushindi wa leo ni kuanzia goli 5 na kuendelea.
Screenshot_20220512_124019.jpg
 
Back
Top Bottom