Walivyoenda mapumziko Conte amewakataza wachezaji wake wasifunge zaidi ya goli 3 kisa eti ni home boy, wanaogopa mashabiki wa Arsenal hapo North London wanaweza kuwafanyia kitu mbaya wachezaji wa Spurs pamoja na familia zao.
Mashabiki wa AsaniAli mkishindaga mechi mbili tatu hua mnamdomo kwelikweli na hiko ki Academy chenu.
Hawa watoto mnatakiwa muwakuze wakikomaa komaa mnawauza mnapata pesa ya kuendeshea hio Academy yenu.
Habari za Uefa sijui makombe hizo achaneni nazo, uzeni hao watoto ili Kroenke apate faida kwenye hio biashara yake ya uwekezaji alioufanya kweye hiyo Academy.