Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hiyo ni kawaida sana, hata wewe ukifungwa morale inashuka, ukishinda inapanda...
Kuhusu kuhusisha wachezaji wapya tena top top ni sawa coz hakuna wachezaji wazuri wanataka kucheza makombe ya mbuzi.

Niambie kama wewe unaenjoy timu yako ikipigwa!
Hapana ,nimeacha hata kuwa seriaz na soka kama zamani na nimefanikiwa kwa sasa wapigwe au wasipigwe sawa maisha mafupi haya niumizwe na maisha ya bongo na timu nayo inipe stress ?sio kweli
 
Hili la msingi sana, tulimaliza 8th msimu uliopita, msimu huu tumepanda hadi 5th. Hatuna sababu ya kujiumiza sana, ndio nafasi yetu hiyo.

Hata hivyo, isingekuwa Conte effect 4th spot ingekuwa yetu, kumbuka kabla ya yeye kuja Spurs timu ilikuwa imeshapoteana kabisa, huyu jamaa anajua kuleta positive impact kwa muda mfupi sana.

Kwanini sasa musingelimchukua nyie huyo Conte?
 
Adjustments.jpg
 
Nimegundua Football ni kitu kizuri sana kustudy psychology ya watu. The masses are always wrong. Wapo ambao they're driven by results, leo anasema hivi kesho anafanya vile, so nigga huna integrity?
Mkuu hiki umechelewa kukigundua. Majority ya wadau wanaongozwa na results. Timu ikishinda basi watasema hivi na timu ikipoteza wanabadilika kabisa yale wanayoyasema. Ndio siku moja nkagombana sana na huyu computerarsenal kwa sababu hizihizi
 
Niambie unachojivunia kwa Arsenal ni nini?Liverpool Manchester City Chelsea waseme nini sasa?
 
Kwahiyo unadhani wale mashabiki wa Blackburn Rovers na Nottingham forest na Newcastle wote hawajui??? This is football!

Sisi ni washabiki wa Coastal Union n tulishinda kombe la Tanzania 1988 ila hutuambii kitu na timu hii na Sisi sio wajinga
 
Mimi na wewe ni fans wa Arsenal but hujantajia big achievements za Arsenal in 15 years taja tuone hizo achievements unazojivunia!I repeat kuwa fan wa timu fulani is not an issue but those teams ulizozitaja for now unaweza ukazilinganisha na Arsenal ambayo ni big team na timu tajiri kwa kizazi cha sasa?kuzilinganisha hizo teams na Arsenal it means umekubali kuwa Arsenal ni smallest team in the world right?
 
Arsenal fans wanachekesha wakishinda mechi mbili tatu basi uchambuzi na tetesi uchwara zinajaa humu pamoja na vingereza vingi uzi unapanda kila wakati fans kibao wapo active lakini wakipigwa wanapoteana kabisa isipokuwa wachache.

Hivi jamaa Aaron Arsenal mbona haungani na fans wenzake wkt wa mojonzi yeye Kazi tetesi na habari za mazoezini timu inapokuwa kwenye form? mbona sisi Nyumbu tuko hapi muda wote uchumbuzi unaendelea wakina Flano , Allypipi na wengine hawapoi ?
Hahahaha mkuu umewasoma ee ..wakishashinda bas Ni vurugu tupu uku akupoi Yani ni tetesi tu mwanzo, yule Aaron mzee wa matakwimu ndio anakuwaga kiranja mzee ..ngoja wapigwe hivi Sasa ..Basi Uzi wao utageuka Ni sehemu ya matusi, makero (Kama iv tunavyowakera😂😂)
 
We jamaa huwa nakufananisha na fan wa Liverpool anajiita Penison, i'm sorry to say huwa mna umama flani wa kiswahili.
Kama 'ubaba' kwako ndo ule upupu unaotumaga kule kwenye threads za wengine basi inabidi 'ubaba' upate new definition kwakweli.

Uhalisia ni kwamba huna quality ya wachezaji wenye mentality za big games na huna wachezaji quality kwa UEFA. Wachezaji hawajui mechi muhimu wala kufanya mamuzi muhimu kutokana na umuhimu wa mechi, mechi za kushinda wao wanaenda kutafuta red cards or doing childish decisions, na ubaya hizo childish minds zimewaambukiza hadi baadhi ya mashabiki.

Hao kina Nketiah, Soares, Lokonga, Smith Rowe, Holding n.k ni fullset ya kukupeleka Europa na Conference Leagues huko, na huko pia sio kama title contenders bali kutoa ushindani tu.

Wekezeni pesa. Mpe Arteta pesa za usajili maana ushawishi wa big players kuja hapo ni uongo, so angalau pesa iwepo pengine itavuta watu vingine ni marktime tu.
 
Ninyi mushajihakikishia ushindi wenu kila msimu Ni kuifunga Chelsea na Man U tu tofauti na apo amuna mipango mingine.
Vile viushindi vyenu viwili vitatu mlivyopata Basi vichwa vikajaa majinna kuona kila kitu kinawezekana. hahaha timu lenu limejaa watoto eti akina saka na nkeita ndio wakacheze UEFA kweli..?? Akina pepe na lokonga hahaha dah hampo serious nyie, hata Europa sidhani Kama mutatoboa makundi.
#CFC

Hivyo vitoto ndo vikakutane na kina Benzema na Lewandoski, si saba saba hizo za kutosha.
 
Kama 'ubaba' kwako ndo ule upupu unaotumaga kule kwenye threads za wengine basi inabidi 'ubaba' upate new definition kwakweli.

Uhalisia ni kwamba huna quality ya wachezaji wenye mentality za big games na huna wachezaji quality kwa UEFA. Wachezaji hawajui mechi muhimu wala kufanya mamuzi muhimu kutokana na umuhimu wa mechi, mechi za kushinda wao wanaenda kutafuta red cards or doing childish decisions, na ubaya hizo childish minds zimewaambukiza hadi baadhi ya mashabiki.

Hao kina Nketiah, Soares, Lokonga, Smith Rowe, Holding n.k ni fullset ya kukupeleka Europa na Conference Leagues huko, na huko pia sio kama title contenders bali kutoa ushindani tu.

Wekezeni pesa. Mpe Arteta pesa za usajili maana ushawishi wa big players kuja hapo ni uongo, so angalau pesa iwepo pengine itavuta watu vingine ni marktime tu.

Mkuu mbona kila msimu ateta anapewa mzigo wa maana kwa ajili ya usajili. Msimu huu unaoisha Asernal ndiyo waliongoza kwa kitita cha usajili au mi ndiyo sijui
 
Hahahaha mkuu umewasoma ee ..wakishashinda bas Ni vurugu tupu uku akupoi Yani ni tetesi tu mwanzo, yule Aaron mzee wa matakwimu ndio anakuwaga kiranja mzee ..ngoja wapigwe hivi Sasa ..Basi Uzi wao utageuka Ni sehemu ya matusi, makero (Kama iv tunavyowakera😂😂)
Hawa jamaa wanachukulia soka seriaz sana hukuti majukwaa mengine fans kwa fans wanatukanana matusi mazito ila humu unakuta wanapanic sana nahisi wangekuwa mtaani hata makonde wangerushiana bora Mzee wa takwimu na tetesi anasubiri wkt wa vita kupoa si ajabu anatokea wkt wa Pre season kuendelea na Kazi yake 😂😂😂
 
Kama 'ubaba' kwako ndo ule upupu unaotumaga kule kwenye threads za wengine basi inabidi 'ubaba' upate new definition kwakweli.

Uhalisia ni kwamba huna quality ya wachezaji wenye mentality za big games na huna wachezaji quality kwa UEFA. Wachezaji hawajui mechi muhimu wala kufanya mamuzi muhimu kutokana na umuhimu wa mechi, mechi za kushinda wao wanaenda kutafuta red cards or doing childish decisions, na ubaya hizo childish minds zimewaambukiza hadi baadhi ya mashabiki.

Hao kina Nketiah, Soares, Lokonga, Smith Rowe, Holding n.k ni fullset ya kukupeleka Europa na Conference Leagues huko, na huko pia sio kama title contenders bali kutoa ushindani tu.

Wekezeni pesa. Mpe Arteta pesa za usajili maana ushawishi wa big players kuja hapo ni uongo, so angalau pesa iwepo pengine itavuta watu vingine ni marktime tu.
Huna unachojua, endeleza fani ya kuchambana.
 
Back
Top Bottom