Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Nishafafanua
Acha ubabe
Nishafafanua
Kashatumbukiza 2 huko bado 1 apate hatrick
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kenge wamepigwa ki RodrygoWatu Wamedai Chenji Mpaka Wametoa [emoji23][emoji23]
Jidanganye yaan umfunge Newcastle [emoji1787]Our 3rd position ni yetu MUNGU MKUBWA
Acha Kabisaa [emoji23][emoji23], Na Walikuwa Wanapigwa Kama H.Hee-Chan Angekuwa Makini Kuna Nafasi Alipata Alibaki Na Mendy Tu Akakosa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kenge wamepigwa ki Rodrygo
4+Naona goli nyingi leo hapa
Leicester na leeds unadondosha points sijui ngap,Tuna Leeds
Leicester city
Watford iliyoshuka daraja tayari
Naomba Mungu tuokote pochi mechi zote hizo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kusikia kwa kenge mpaka pale damu inapoanza kutoka matakoni, na style ya mbwa mwitu hua wanaanza kushambulia mkiani mpaka wahakikishe damu inatoka kwenye nusu kipenyo.Kilio cha hao mbwa manazisikia huko darajani. Sisi hatubembelezi mbwa
Wasiwasi wa points uko kwa Leeds tuTuna Leeds
Leicester city
Watford iliyoshuka daraja tayari
Naomba Mungu tuokote pochi mechi zote hizo