Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,842
- 16,292
Yaani utaishia kupoteza nguvu zako bure kuzielekeza hizi mbuzi.Kama 'ubaba' kwako ndo ule upupu unaotumaga kule kwenye threads za wengine basi inabidi 'ubaba' upate new definition kwakweli.
Uhalisia ni kwamba huna quality ya wachezaji wenye mentality za big games na huna wachezaji quality kwa UEFA. Wachezaji hawajui mechi muhimu wala kufanya mamuzi muhimu kutokana na umuhimu wa mechi, mechi za kushinda wao wanaenda kutafuta red cards or doing childish decisions, na ubaya hizo childish minds zimewaambukiza hadi baadhi ya mashabiki.
Hao kina Nketiah, Soares, Lokonga, Smith Rowe, Holding n.k ni fullset ya kukupeleka Europa na Conference Leagues huko, na huko pia sio kama title contenders bali kutoa ushindani tu.
Wekezeni pesa. Mpe Arteta pesa za usajili maana ushawishi wa big players kuja hapo ni uongo, so angalau pesa iwepo pengine itavuta watu vingine ni marktime tu.
Hawa jamaa kushiriki Europa na Conference kwao wanaona ni mafanikio makubwa sana ukijumlisha na zile chenga anazopiga Saka wanaona ndio wameshamaliza kila kitu.
Sasa wenyewe wanakwambia msimu huu chini ya the Big Coach Arteta kwao ni wa mafanikio makubwa sana kwa kushika nafasi ya 5 sababu mwaka jana waliishia nafasi ya 8.
Hawa ukitaka wakuelewe we sifia tu chenga za Saka na Martinely pamoja na magoli ya Nketiah.

right?
