Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Game yetu ngumu ni Everton Mungu atusaidie
Huyu spurs yupo chini ya uwezo wetu,

Kwaio tukimpiga spurs ndio UEFA?
Yes
Tukimpiga spurs, tunakuwa na point 69 yeye anabaki na 62, gape la point 7 wakati mechi zimetakuwa zimebaki 2(pointi 6).
 
Bangi au nimewapa ukweli, tangu enzi za Asene Wenga ninyi si chuo cha kufyatua wachezaji wazuri wa kuja kuwapa makombe klabu kubwa kama Chelsea. Au umesahau hiyo. Wekeni Saka sokoni, kwa sasa ana bei kubwa mkichelewa mtakosa noti na makombe, bora mkose makombe mshike mshiko
Na madhara ya bangi za kuvutia chooni huwa yanaanza taratibu ila mwisho wake huwa mtu anavua nguo na kujisaidia haja kubwa Barabarani mchana kweupe

Wahi Sober mzee..... Nafasi bado unayo kabla madhara hayajawa makubwa
 
Hata Westham na Leeds si walikuambia hivyo hivyo ukaingizwa chaka ngoja saizi uingizwe pori kabisa akili itakukaa sawa
Sasa kwa akili zako unataka uwafananishe Leeds na Spurs?
Leo afe kipa afe beki Spurs wameahidi ndani ya New White Hart Lane lazima wawatie goli zisizopungua 5.
Anzeni tu kujiandaa kisaikolojia kucheza Europa msimu ujao.
 
Sawa
 
Na madhara ya bangi za kuvutia chooni huwa yanaanza taratibu ila mwisho wake huwa mtu anavua nguo na kujisaidia haja kubwa Barabarani mchana kweupe

Wahi Sober mzee..... Nafasi bado unayo kabla madhara hayajawa makubwa
Tuachane na mambo ya bangi, hiyo ni maigizo tu sema leo mnapandikiziwa ngapi huko

Kuanzia saa nne kasoro robo nitakuwepo hapa na full bangi,

Leo niko na Spurs na tuna jambo letu hapo Tottenham Hotspurs Stadium

Spurs wakiwajaza mtafunga mabakuli, mkitoa droo sisi mtadonoana points huku sisi tukipeta top 4 na kuwachia nafasi ya nne mgombanie wenyewe.
London is Blue
 
Tuachane na mambo ya bangi, hiyo ni maigizo tu sema leo mnatumbukiza ngapi huko
Kuanzia saa nne kasoro robo nitakuwepo hapa na full bangi, matokeo yeyote mimi leo nitafurahi
Spus wakiwajaza mtafunga mabakuli, mkitoa droo sisi mtadonoana points huku sisi tukipeta top 4 na kuwachia nafasi ya nne mgombanie wenyewe. Mkiwafunga spurs sisi huku ni heri tu na sisi tukipeta bila mpinzani top 4
So leo mechi ya ajabu sana, matokeo yeyote sherehe kwetu sisi Wamiliki wa Jiji la London
Na Spurs wanajua umuhimu wa mechi ya leo, akimfunga Arsenal posibility ya kuingia top 4 inaongezeka sana
Akidroo au kufunga ndio bye bye top 4
 
Tuachane na mambo ya bangi, hiyo ni maigizo tu sema leo mnapandikiziwa ngapi huko

Kuanzia saa nne kasoro robo nitakuwepo hapa na full bangi,

Leo niko na Spurs na tuna jambo letu hapo Tottenham Hotspurs Stadium

Spurs wakiwajaza mtafunga mabakuli, mkitoa droo sisi mtadonoana points huku sisi tukipeta top 4 na kuwachia nafasi ya nne mgombanie wenyewe.
London is Blue
Sisi hatuna vita na Spurs Mzee,tumemuacha points 4 clear na Leo hatusumbui kama match ya first leg.......sisi vita yetu ipo na wale wazee Wa Darajani....tunaitaka ile nafasi ya tatu

Umeelewa wewe KINABO
 
Na Spurs wanajua umuhimu wa mechi ya leo, akimfunga Arsenal posibility ya kuingia top 4 inaongezeka sana
Akidroo au kufunga ndio bye bye top 4
Master of tactics MA hii game ameshaimaliza kwenye vitabu vyake .......Bado kuja kuwaonesha nyie vinabo kwenye vitendo pale uwanjani
 
Kuna watu wanaandika kama wamelewa.

Mtu anakuambia eti Arsenal akifungwa leo top four ndiyo basi.

Arsenal asiposhinda leo atakua na wakati mgumu kuipata nafasi ya tatu ila siyo namba nne. Mtu anayeandika hivyo hajui Arsenal kamuacha spurs points ngapi na hajui michezo imebaki mingapi.

Arsenal akishinda leo anakua hafikiwi points na yeyote kuanzi 5 kushuka chini, anakua ametangaza kwenda UCL uwanja wa mtani wa jadi. Na anakua amejiandalia mazingira ya nafasi ya tatu.

Spurs akishinda anakua amepata chansi ya kupambana kuingia top four ila atakua nafasi ya tano akisubiri ashinde mechi zilizobaki na Arsenal apoteze.
 
Mtu anakuambia spurs wanajua umuhimu wa gemu ya leo kwahiyo Arsenal hatujui?
 
Kuna watu wanaandika kama wamelewa.

Mtu anakuambia eti Arsenal akifungwa leo top four ndiyo basi.

Arsenal asiposhinda leo atakua na wakati mgumu kuipata nafasi ya tatu ila siyo namba nne. Mtu anayeandika hivyo hajui Arsenal kamuacha spurs points ngapi na hajui michezo imebaki mingapi.

Arsenal akishinda leo anakua hafikiwi points na yeyote kuanzi 5 kushuka chini, anakua ametangaza kwenda UCL uwanja wa mtani wa jadi. Na anakua amejiandalia mazingira ya nafasi ya tatu.

Spurs akishinda anakua amepata chansi ya kupambana kuingia top four ila atakua nafasi ya tano akisubiri ashinde mechi zilizobaki na Arsenal apoteze.
Ndio maana nimesema tunaitaka nafasi ya tatuuuu maana ya nne tunayo, mtu hatafuti alichonacho anatafuta ambacho hana
 
So leo tunamchapa mbwa afu tunaqualify UCL? Wahuni gooners wanasema we won the league at white hart lane in 1971&2004
Tukimfunga tumeenda na itakuwa shangwe kubwa saana kufanya hili kupitia mgongo wa wapinzani wetu ambao pia tutakuwa tumewazuia.
 
Kuna watu wanaandika kama wamelewa.

Mtu anakuambia eti Arsenal akifungwa leo top four ndiyo basi.

Arsenal asiposhinda leo atakua na wakati mgumu kuipata nafasi ya tatu ila siyo namba nne. Mtu anayeandika hivyo hajui Arsenal kamuacha spurs points ngapi na hajui michezo imebaki mingapi.

Arsenal akishinda leo anakua hafikiwi points na yeyote kuanzi 5 kushuka chini, anakua ametangaza kwenda UCL uwanja wa mtani wa jadi. Na anakua amejiandalia mazingira ya nafasi ya tatu.

Spurs akishinda anakua amepata chansi ya kupambana kuingia top four ila atakua nafasi ya tano akisubiri ashinde mechi zilizobaki na Arsenal apoteze.
Mkifungwa leo gape inakuwa one point bro
Bado mna Newcastle larger na Everton waliobatizwa kwa maji mengi ya FL
Spurs game zake mbili ni uji wa mgonjwa
Norwich na Burnley

Sisi Chelsea tuna maji ya kilimanjaro ni kunywa tu
Leicester city na Watford
 
My only problem is the missing Saka!! , I'm very sure Saka will miss this game coz he wasn't there yesterday on training,I don't know today

Martinelli and Smith Rowe must step up
 
What's important is that they play their game without panicking, create lots of chances and, more importantly, take those chances. Tonight's game is about efficiency. We seldom win at their ground so if we happen to lose tonight, we shouldn't be hard on ourselves and just push on for positive results from the remaining games.
 
Back
Top Bottom