Mna LeedsOur 3rd position ni yetu MUNGU MKUBWA
Nzi hua kamwe hawaondoki kwenye mzoga.Lukaku on double. Leo lazima afufukie kwa hawa mbwa ili nzi humu wahame kabisa



Spurs Leo anaenda kumchapa liverpoolSpurs wana
Watapata points tu kwa Norwich, kwa arsenal na Burnley wanaweza pata sio zaidi ya 2
- Liverpool - leo
- Burnley
- Arsenal
- Norwich
Arsenal wana
Hwatapata zaidi ya points 6
- Leeds
- Spurs
- Newcastle
- Everton
Hawa Inzi wanatucheka lakini wao hawaangalii ngoma inaypowasubiri
😅😅😅😅😅Hii 4 Billion Yangu Mbona Kama Nimetapeliwa?"
View attachment 2215632
afu na wenyewe wanazidi kupoteza tuKinachofanya Chelsea aendelee kuwepo Top 4 ni ubovu wa ARSENAL, MAN U NA TOTTENHAM
Kwan we unachukua points ngapi game ya kesho na Leeds, Newcastle na spursLeicester na leeds unadondosha points sijui ngap,
nilikwambia kuhusu wolves
Umewasahau mabwenyenye wapya NewcastleMna Leeds
Spurs
Everton
Hizi timu mkiokota zaidi ya points 3 nitajipiga ban ya mwezi mzima
...


Itoe man U kwenye list...Kinachofanya Chelsea aendelee kuwepo Top 4 ni ubovu wa ARSENAL, MAN U NA TOTTENHAM
Itolewe kwani imekuwa midtable team?Itoe man U kwenye list...