Mimi kama Computerarsenal kuna muda nilihoji Arteta anaweza akatupa big achievements?nikasema I don't see any future kwa Arteta kuwa coach wa Arsenal nikapewa matusi later on nikasema inawezekana ana vision na board ishampa contract nikasema let's see ataleta nini naconclude today result is very painful to Arsenal supporters so I don't know kama kuna fan anaona Spurs atafungwa na Arsenal vs Everton atashinda game yake very painful todayIn Arteta we trust. Lol. Congratulations Newcastle. 2-0 I saw it coming. In Arteta we trust
Msiwe wachoyo wa shukrani, kwa kikosi cha Arsenal na Arteta alivyoweza kukibadilisha, jamaa ni genius.Mimi kama Computerarsenal kuna muda nilihoji Arteta anaweza akatupa big achievements?nikasema I don't see any future kwa Arteta kuwa coach wa Arsenal nikapewa matusi later on nikasema inawezekana ana vision na board ishampa contract nikasema let's see ataleta nini naconclude today result is very painful to Arsenal supporters so I don't know kama kuna fan anaona Spurs atafungwa na Arsenal vs Everton atashinda game yake very painful today
Msiwe wachoyo wa shukrani, kwa kikosi cha Arsenal na Arteta alivyoweza kukibadilisha, jamaa ni genius.
Msimu ujao nimesikia mnamuwania Jesus, Tielmans na Dybala. Amini mkuu mkiwapata hawa watu mtaleta sana ushindani.
Hayo majina hakuna hata mmoja atakayekuja HAKUNA some supporters wanafurahisha Jukwaa tu wewe kwa akili zako timamu unaona kati ya hao who will come to play for us ?NO ONEMsiwe wachoyo wa shukrani, kwa kikosi cha Arsenal na Arteta alivyoweza kukibadilisha, jamaa ni genius.
Msimu ujao nimesikia mnamuwania Jesus, Tielmans na Dybala. Amini mkuu mkiwapata hawa watu mtaleta sana ushindani.
Pale kuna mchezaji gani hadi umlaumu arteta? Mpira unataka kuweka hela kwenye quality playersMimi kama Computerarsenal kuna muda nilihoji Arteta anaweza akatupa big achievements?nikasema I don't see any future kwa Arteta kuwa coach wa Arsenal nikapewa matusi later on nikasema inawezekana ana vision na board ishampa contract nikasema let's see ataleta nini naconclude today result is very painful to Arsenal supporters so I don't know kama kuna fan anaona Spurs atafungwa na Arsenal vs Everton atashinda game yake very painful today
Na walijikuta manunda zaidi walipoifunga Chelsea na man u! Mtoto atabaki kuwa mtoto na baba atabaki hivyo!Tatizo lenu lilianza pale mlipotaka nafasi ya Chelsea
Eti tunataka nafasi ya 3
Shukuruni kwa Europa
Yaani Arsenal hawajui umuhimu wa games zao to the extent hawana tofauti na Sparta ya kwa Kopa.
Two nil against Newcastle? Hii timu ndiyo ingeenda champions league kweli? Timu ina watu wasiokua hata na desire?
Upuuzi mtupu huu
Hao hao wachezaji unaowadharau wamezifunga Manchester United Chelsea West Ham in a row it means wachezaji ni wazuri wakiamua kuplay good game hii ups and down why inatokea mara kwa mara why?Pale kuna mchezaji gani hadi umlaumu arteta? Mpira unataka kuweka hela kwenye quality players
Mpira unataka quality players na pale arsenal wachezaji wote wa kawaida sana.Yaani Arsenal hawajui umuhimu wa games zao to the extent hawana tofauti na Sparta ya kwa Kopa.
Two nil against Newcastle? Hii timu ndiyo ingeenda champions league kweli? Timu ina watu wasiokua hata na desire?
Upuuzi mtupu huu
Arteta hana shida tena kajitahid sanaHizi jamaa zilisemaga ati zinaitaka nafasi ya tatu. computerarsenal akiwaaambiaga Arteta ni amateur hamuelewagi
Wazee arteta ana kosa gani kwa aina ile ya wachezaji?Hizi jamaa zilisemaga ati zinaitaka nafasi ya tatu. computerarsenal akiwaaambiaga Arteta ni amateur hamuelewagi