Anthony Diallo aomba radhi kwa waliomuelewa vibaya kauli yake ya 'Viongozi waliopita walikuwa na Matatizo ya Akili'

Cdm mmebaki kuwa wacheza Ngoma za ccm tu kwa sasa, hakuna operation haki, maandamano Wala wabunge wa covid 19, kila sehemu mnaangukia pua.
Mchukueni sasa huyo Dialo wenu
Hujui kuwa kamanda kafiwa,jiwe alikuwa kichaa
 
Hujui kuwa kamanda kafiwa,jiwe alikuwa kichaa
Hahahaha CCM wanasisitiza jamaa auwawe

IMG_20210711_161734.jpg
 
Kimtokacho mtu ndicho kilichoujaza moyo wake. Anayoyaombea msamaha now aliyatamka kwa hisia kali sana then - ambayo ndiyo yaliyoujaza moyo wake.
Isitoshe, hajasema aliyoyasema si sahihi ila amesema hakuyasema kwa usahihi - there's a difference there!

Hii la kuomba msamaha ni kufunika kombe wanaharamu (UVCCM & co) wapite.

Ukweli wenyewe ni huu hapa chini.......

1626018690286.png
 
Back
Top Bottom