Amewataka:

: Waziri wa afya na naibu wake wajiuzulu

: Dorothy ni mke wao

: Amemsifu Ndungulile kwa sababu alitumbuliwa kwa kusimamia ukweli wake kipindi cha meko

Huyo ndiye Joseph at Gwajima ,ukitaka ligi na yeye ujipange haswa.
: Akipata mtu wa kumuelewesha ataelewa ila hawa easily hawafai ni vigeu gemu.

: D oroth anasema nilikamatwa na mrembo, je kwani mrembo wana ubaya gani?

--
y
 
Ilikuwa ni wakati huna jinsi tumia taaluma uliwe kichwa au kuwa loudspeaker mwisho wa mwezi usomeke.
Ndungulile alisema ukweli akaliwa kichwa
Kalonji, upo sahihi. Mh. Ndugulile alichukua uamuzi mzuri sana pale alipoonyesha "professionalism" katika suala hili la Corona. Ndio maana aliliwakichwa.
 
Wengine tulishauri huyo Mama aachane na mambo binafsi ya huyo jamaa sababu ana uzoefu na hizo battle.

Kuna uwezekano mkubwa huyo Mama akapigwa chini na aliyemteua.
 
Na wewe acha ubishi kipindi mollel anapinga chanjo wasafi fm ulikuwa bado hujaja town
 
 
Wengine tulishauri huyo Mama aachane na mambo binafsi ya huyo jamaa sababu ana uzoefu na hizo battle.

Kuna uwezekano mkubwa huyo Mama akapigwa chini na aliyemteua.
Ikitokea hivyo hayo yatakuwa maajabu ya karne hii!

Waziri apigwe chini kwa kutekeleza majukumu yake kwa sababu ya mtu anayepinga maamuzi halari ya serikali? Sijui kwa nini unafikiria hivyo?
 
Hakuna mtu mwenye hati miliki ya jina kuna watu wengine wanatumia Gwajima kwani wao wanasemaje.Waziri tumia jina hilo hilo waende mahakamani
 
Nadhani hapa tujifunze huu ujinga wa jina la mume na ukoo nikujizalilisha ona sasa Dorothy kisa majukumu yake ya kazi anazalilishwa kwa jina la ukoo mwingine, wakati ukoo mzima wa gwajima ukute hawana shule ka yake
shule inahusiana nini na jina,na huyo mama shule yake haijamkomboa.
 
Dorothy kama mkwe ni aibu tupu,ni pure mchumia tumbo.Anaweza kuuza ukoo mzima huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…