09 Dec, 2019: Maadhimisho ya siku ya uhuru wa Tanganyika. Wafungwa 5,533 wapata msamaha wa Rais. Mbowe ataka maridhiano ya Kitaifa

Siasa za kipumbavu kabisa, mtu anabuguliwa kutokana na chama anachokifuata.
Yaani mtu akiwa CCM anakuwa Ni raia daraja la Kwanza, na wapinzani Ni raia daraja la pili.
Hi dhambi uliyoasisiwa na Magufuli Mungu atamhukumu nayo
Kwani wewe hukijui cham dola!!
 
Bora amerudi ccm kwenye vya dezo maana upinzani hamna vya dezo. Kama ukipata vya dezo ndio heshima yako inarudi acha iwe. Waulize hata mzee Mgaya na mchungaji Erasto kuwa vya dezo humaanisha heshima?
 
Kiukweli mawaziri wakuu wastaafu Mzee Lowassa na Sumaye walijivuruga sana walipohamia upinzani na kuna wakati niliuliza hapa jamvini kama uamuzi wao ulikuwa sahihi.

Lakini jambo jema ni kwamba waliyagundua makosa yao na kujisahihisha na leo mzee Sumaye yupo kwenye safu ya viongozi wa taifa......akimwangalia kwa mbali mh Mbowe anayekaa safu ya wanasiasa akina Momose Cheyo na Prof Lipumba.

Maendeleo hayana vyama!
Cheyo! Inakuwaje serikali huwa haimuoni kwenye kiti kilichoeksipaya? TBS, TMDA, NIMRI mpo! Mbona Mbowe mlimng'ania mpaka Sumaye kang'oka au Cheyo hana sumu.
 
Bora amerudi ccm kwenye vya dezo maana upinzani hamna vya dezo. Kama ukipata vya dezo ndio heshima yako inarudi acha iwe. Waulize hata mzee Mgaya na mchungaji Erasto kuwa vya dezo humaanisha heshima?
Kwani Chadema kuna vyeo?!
 
Yote yanapita na yana mwisho!!

"Yafaa nini mtu aupate ulimwengu wote na mambo yake yote, aangamie au aiponye nafsi yake?"

Hayo yanayokupa faraja ni unyani tu wa mtu mweusi, njoo huku ulaya ujionee dunia ilipo ndipo utakumbuka vumbi wanalokula mama zako na heshima za kinyani unazofurahia kwa kima wenzio zisizo na maana.
Kiukweli mawaziri wakuu wastaafu Mzee Lowassa na Sumaye walijivuruga sana walipohamia upinzani na kuna wakati niliuliza hapa jamvini kama uamuzi wao ulikuwa sahihi.

Lakini jambo jema ni kwamba waliyagundua makosa yao na kujisahihisha na leo mzee Sumaye yupo kwenye safu ya viongozi wa taifa......akimwangalia kwa mbali mh Mbowe anayekaa safu ya wanasiasa akina Momose Cheyo na Prof Lipumba.

Maendeleo hayana vyama!
 
Dhana ya wewe ukisusa wengine wala huku maisha yakiendelea kama kawaida imeanza kuwaingia baadhi ya wanasiasa!

Ni sawa na mtoto ambaye kama hujamtimizia baadhi ya maombi yake hususa kula chakula ulichompikia akitegemea utambembeleza lakini ukimpuuza baadaye anaanza tena kukuomba chakula akidai ana njaa!

Niwapongeze wale wanasiasa ambao wamefanya self assessment na kugundua kuwa kususa kwao kwenye sherehe za kitaifa hakuna impact yoyote ya kisiasa kwa taifa na kwa sababu hiyo wameamua kubadili msimamo!
Sijui una maana gani unaposema kususa kwao hakuna impact!

Hili walilolifanya CDM ni muhimu sana katika kujenga umoja wa kitaifa, nyie kwa tabia zenu za viburi hamkuona kama matendo yenu yalikuwa yanaligawa taifa, mkawa mnaendekeza vijembe na mipasho, najua hamuwezi kuwapongeza CDM kwa walichokifanya, ila kwa mtu yeyote aliestaarabika na anayejitambua anaona umuhimu wa kile CDM walichokifanya, sasa ni jukumu lenu kuendeleza hayo, kama mkiamua kuendelea na mipasho shauri yenu, ila wastaarabu watajua vichaa ni wakina nani.
 
Nikiwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, tumewasili uwanjani Kirumba, Mwa ( 640 X 640 ).jpg

Pichani : ni Mh Freeman Mbowe akiongozana na Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kati Mh Lazaro Nyalandu wakiingia uwanjani kwenye maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika , ambapo ilibidi shughuli hiyo isimame kwa muda kupisha mbinja na vifijo kutoka kwa raia

Funzo : usishindane na aliyejaaliwa , utaumia .
 
Back
Top Bottom