zanzibar

  1. J

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waelewe Katiba Mpya ni ya JMT siyo ya Tanganyika hivyo Zanzibar Wana 50% ya Maamuzi

    Tunakumbushana tu kwa sababu Watanzania Siyo Wajinga. Chadema haina nguvu yoyote Zanzibar na kwa sababu hiyo haina ushawishi. Kura ya maoni kuamua Katiba Mpya Tanzania na Zanzibar zinasimama Kwenye mzani Sawa kwa asilimia za Maamuzi. Mbwembwe zote za Tundu Antipas Lisu mwisho wake Nungwi...
  2. JamiiForums Tanzania Vuguvugu la Muungano taratibu linaanza kupata joto

    Niliwahi kusema Muungano wa Tanzania una makosa na mapungufu mengi kiutekelezaji tunakoenda tutake tusitake utavunjika kama hautafanyiwa mabadiliko kufatia kero za kimuungano zilizopo. Mfano; 1. Mzazibari anaweza kumiliki ardhi bara lakini mtanganyika Hilo kwa Zanzibar haliwezekani. 2...
  3. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Midoli ya kutangazia nguo zisizo na stara yapigwa marufuku kuwekwa nje ya maduka

    Mkuu wa Wilaya ya Mjini Magharibi Unguja, Rashid Simai Msaraka amepiga marufuku, Wafanyabiashara wa Wilaya hiyo kuweka midoli yenye nguo zisizo za staha nje ya maduka yao. DC Msaraka ametoa kauli hiyo baada ya kukutana na Mfanyabiashara maeneo ya Kwahani Zanzibar akiwa ameweka midoli hiyo nje...
  4. JamiiForums Tanzania Mama Mariam Mwinyi amekutana na Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa

    Mke wa Rais wa Zanzibar, Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation (ZMBF) Mama Mariam Mwinyi amekutana na Makamu Mwenyekiti wa UWT Taifa Bi. Zainab Shomari aliyeambatana na Ujumbe wake waliofika Ofisi za ZMBF Migombani kujitambulisha na kushirikiana katika Masuala ya Wanawake na...
  5. JamiiForums Tanzania ZANZIBAR: Hatimaye House of Wonder Imepata mkandarasi, kutoka Oman

    Hili jengo (pichani) Nyumba ya Maajabu (House of Wonder) ni sehemu ya urithi wa visiwa hivi vya Zanzibar, toka mkoloni alipong'olewa kuja mpaka miaka ya hivi karibuni jengo hilo limeingizia Zanzibar mapato mengi yatokanayo na utalii. Miaka ya hivi karibuni jengo hilo lilibomoka na kuanguka hali...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi asisitiza uharaka wa uanzishwaji Mahakama ya Rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema uanzishwaji wa Mahkama maalumu ya rushwa na uhujumu uchumi itaisaidia Serikali katika mapambano dhidi ya vitendo vya ufisadi na matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za umma. Aidha, Rais Dk.Mwinyi alieleza...
  7. JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulikuwa ni shinikizo la Mabeberu na ndio maana Hati za Muungano wanazo wao

    Tunaambiwa kuwa Tanganyika na Zanzibar ziliungana Kwa sababu ya kuwepo Kwa mahusiano ya karibu na ya kihistoria baina ya nchi hizi mbili katika nyanja mbalimbali kama vile undugu wa damu biashara na utamaduni. Ukiangalia uhalisia haya ni matango pori Tunalishwa kwani sababu zote zilizoelezwa...
  8. JamiiForums Tanzania Ikulu Zanzibar: Madaktari Bingwa kutoka China Wawasili Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema ujio wa madaktari bingwa kutoka China ni fursa adhimu kuimarisha sekta ya Afya Zanzibar. Dk. Mwinyi amesema timu ya madaktari bingwa kutoka China imewasili Zanzibar kuongeza nguvu katika sekta ya Afya kwa kutoa...
  9. JamiiForums Tanzania Zanzibar yapiga marufuku kuuza (ku-export) mchele na sukari nje ya visiwa hivyo

    Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar imetoa katazo la kusafirisha bidhaa za sukari na mchele nje ya Zanzibar kwenda nchi nyingine yoyote. Taarifa hiyo rasmi ilitolewa na Ofisi ya Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda visiwani humo, Omar Said Shaaban, tarehe 30 Januari, 2023. "Kwa kutekeleza...
  10. JamiiForums Tanzania Simba Msiharibu Kipaji cha Mohamed Mussa Mliyemsajili kutoka Malindi ya Zanzibar

    Bila shaka, kijana mdogo Mohamed Mussa ni hazina. Mchezaji huyo aliyesajiliwa na Simba katika dirisha dogo kutoka Malindi ya Zanzibar alikuwa kwenye kiwango bora sana katika Ligi ya Zanzibar na mashindano ya Mapinduzi. Binafsi huwezi kunishawishi kuwa Kibu Dennis ni bora kuliko Mohammed Mussa...
  11. JamiiForums Tanzania Zanzibar na ndizi za mjane!

    Kama kuna habari inakera, kufedhesha na kutia hasira wiki hii ni jinsi serikali ya Zanzibar ilivyoshughulikia suala la ndizi za mjane aitwaye Veronica Mwanjala. Kosa la Veronica ni kupeleka ndizi Zanzibar ili ajikimu kimaisha yeye na watoto wake. Kilichotokea pale bandarini ni maelezo yanayo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kumbe bidhaa kutoka Tanzania bara zikiingizwa Zanzibar inahesabika zimetoka nje ya nchi! Huu muungano haufai

    Ndizi tokan Tanganyka zazuiwa huko Zanzibar 👇 Waziri aeleza sababu mwanamke aliyezuiwa kuingiza ndizi Zanzibar Zanzibar. Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Mifugo na Biashara wa Zanzibar, Shamata Shaame Khamis ametoa ufafanuzi kuhusu tukio la kutaifisha tenga 30 za ndizi za Veronica Mwanjala...
  13. JamiiForums Tanzania Zanzibar: Serikali yazuia Mazao ya Ndizi kutoka nje, ndizi za Veronica Mwanjala kuharibiwa ili kuzuia Magonjwa

    Hii ni mojawapo mfanyabiashara wa bara anyang'anywa tenga 30 za ndizi na faini ya shilingi 50,000 kwa kosa la kuingiza ndizi Zanzibar USSR ==== Alichoandika Askofu Mwamakula katika Ukurasa wake wa Facebook MJANE WA DAR ES SALAAM ANYANG'ANYWA TENGA 30 ZA NDIZI ZANZIBAR KWA AMRI YA WAZIRI WA...
  14. JamiiForums Tanzania Nauliza 2025 Magufuli atagombea Urais kupitia Chama Gani?

    Ndugu zangu wahenga walishasema kuuliza siyo ujinga,, Mijadala inayoendelea nchini inanifanya niamini kuwa Magufuli yupo Chato anachunga Ng'ombe zake. Nimatuamaini 2025 atarejea tena ulingoni maana washindani wake huku wamepamba moto , CCM wanamsema Magufuli, Chadema wanamsema Magufuli. Sasa...
  15. JamiiForums Tanzania Niko Zanzibar, huku watoto wanafanyiwa sherehe kwa kupata div 4

    Maeneo ya Jambiani asubuhi ya Leo Kuna familia mbili watoto wao wamepata div 4, wazazi wao wamewaandalia sherehe kidogo na maustadhi wameitwa ikasomwa dua. Hali huwa inakuwaje watoto wakipata division 3.? Ndugu zangu wa bara jitahidini kushukuru kwa kidogo mnachopata.
  16. JamiiForums Tanzania Shule za Zanzibar zina changamoto gani?

    Habari wana Jukwaa! Zanzibar imekuwa na matokeo yasioridhisha kwa miaka na miaka, Shule zake nyingi zimekuwa zikishika nafasi za mwishoni pamoja na ufaulu mdogo na pia wanafunzi wengi wakipata alama hafifu. Zanzibar imekuwa sio kipenzi cha wanafunzi kutoka bara kwenda Tanzania visiwani kupata...
  17. JamiiForums Tanzania kwa matokeo haya kuna uwezekano skuli ya Mwanakwerekwe B ni kinara kwa ufaulu uko zanzibar?

    Baada ya necta kuja na utaratibu mpya wa kutotangaza shule vinara kwa kila upande ni wazi wametoa fursa kwa wadau kufanya utafiti juu ya matokeo haya na kufanya uchambuzi. Pamoja na necta kujaribu kuficha ukweli hasa kuhusu shule za serikali lakini ukitazama matokeo utaweza kuzipanga shule .na...
  18. JamiiForums Tanzania Zanzibar inastahili Baraza lao la Mitihani

    Ni wakati sasa Zanzibar iwe na Baraza Kamili la Mitihani kuliko ulivyo Sasa kukasimu madaraka Kwa NECTA (Bara). Hii itasaidia kuepuka dhuluma hizi za Sasa.
  19. JamiiForums Tanzania Bububu Sec. Shule makini Zanzibar

    Wadau wenye kutaka kujifunza maadili na elimu makini karibuni Bububu Secondary School.
  20. JamiiForums Tanzania Viti bandari ya Unguja vibovu, mazingira pia machafu, mamlaka hamuoni hiki kinachoendelea?

    Nimekuwa na kawaida ya kusafiri kwenda Zanzibar mara kwa mara, kuna hili jambo limekuw alikinikera naona leo nilitolee povu, ni kuhusu baadhi ya viti vinavyotumiwa na abiria kusubiri muda wa kuanza safari. Hali ni mbaya, viti kadhaa vimeharibika na mamlaka zipo kimya tu, sometimes pia maeneo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…