zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Kombe la Mapinduzi linatukumbusha haya ndiyo "Mapinduzi ya Zanzibar"

    Kuna wakati mtaani kulikuwa na msemo wa "Mapinduzi ya Zanzibar" kumaanisha mambo yanayotokea yasiyoeleweka au yanayochanganya kiasi cha kuvuruga akili za watu. Tumeona katika nusu fainali hii ya Simba vs Singida maana halisi ya msemo huo. Tukianzia, dakika za nyongeza zilitajwa 8 halafu...
  2. JamiiForums Tanzania Siku si nyingi, Tanzania Bara tutaenda kujifunza Zanzibar namna ya kutelekeza miradi ya maendeleo

    Naingalia Zanzibar kwa jicho la kipekee sana. Wanafanya miradi kama ya Tanzania bara ina miradi yao inafanywa kwa ubora wa kipekee sana. Naona majengo mengi yanayojengwa kwao wanatumia kampuni binafsi na wanajenga kwa kuzingatia hasa value for money. Jengo la Shule iliyojengwa Zanzibar huwezi...
  3. JamiiForums Tanzania Magazeti: Zanzibar yazidi kuneemeka, Tanzania bara yazidi kuwa Tanzagiza

    Ukiachilia mbali Zanzibar kushusha viwanja vyenye hadhi ha kidunia. Sasa serikali ya Zanzibar ina mpango wa kushusha Treni za Kisasa, TAXI za baharini, na Mabasi ya Umeme (Electric Rapid Transit Buses). Ukubwa wa nchi ya Zanzibar unaingia zaidi ya mara 10 kwenye ukubwa wa mkoa wa Morogoro...
  4. JamiiForums Tanzania Bidhaa kutoka Zanzibar zinatozwa ushuru wa ziada mara zinapofika Tanganyika

    Kwa muda sasa kumekuwa na huu utaratibu ambapo mtu akinunua bidhaa Zanzibar akifika Tanganyika anatozwa tena ushuru (nyongeza) tofauti na ule ushuru wa awali aliolipa wakati wa kununua Kwa mtazamo wangu; Utaratibu uliopo kwa sasa, haunufaishi upande wowote; Zanzibar ndio wana adhirika zaidi...
  5. JamiiForums Tanzania Kombe la Mapinduzi ni mnada wa wachezaji wa Zanzibar

    Wazanzibar wana akili nyingi sana kuliko wale wenzao wa kuleee. Baada ya kuua ligi ya muungano baadae wakagundua kuwa walikosea. Ligi ya muungano ilikuwa sehemu ya wazi ya kuviona vipaji kutoka Zanzibar na kuvisajili kwenye timu za bara (ajira). Baada ya walevi na ulevi wao wa kuuchukia...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa Uwanja uliokarabatiwa wa Amani Zanzibar wakumbusha juhudi za ujenzi za Wachina

    Mwishoni mwa mwaka 2023 ambayo ilikuwa Disema 27, rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Hussein Ali Mwinyi alifanya sherehe kubwa katika uwanja wa Amani, ikiwa ni moja ya mafanikio yake mengi makubwa tangu aingie madarakani mwaka 2020. Sherehe hiyo ambayo ilikuwa ni mahsusi...
  7. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Waziri Mhagama ampa Big Up Rais Mwinyi ujenzi wa Skuli za Ghorofa Zanzibar

    Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu Bunge Sera na Uratibu Mhe. Jenista Mhagama amepongeza juhudi zinazofanywa na serikali ya awamu ya nane ya Mapinduzi ya Zanzibar katika kuboresha mazingira ya elimu yanayoendana na adhma ya Mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964. Waziri Mhagama ameeleza hayo...
  8. JamiiForums Tanzania DW: Hali ya Usalama Zanzibar Mashakani. Yadaiwa kuna watu wanapora wageni mitaani na kupotea

    Siku chake baada ya Kamishna wa jeshi la polisi Zanzibar kutoa taarifa ya kuimarishwa kwa ulinzi katika kipindi cha Krismas na mwaka mpya katika maeneo yote ya Zanzibar, watu zaidi ya 40 wenye silaha wameripotia kuvamia katika mitaa mbali mbali na kuwajeruhi wananchi na kuwaumiza kabla ya...
  9. JamiiForums Tanzania 2024 Uwe ni mwaka wa kuuimarisha muungano wetu zaidi na zaidi

    Kama raia mwema na mzalendo na mpenda taifa hili la Tanzania, ipo haja ya dhati kabisa kuuimarisha muungano wetu ikiwepo kuondoa dosari zote zilizopo au zinazokinza muungano huu ili kila upande wa muungano uweze kufaidi matunda ya muungano huu adhimu. Ipo haja pia serekali zetu kuondosha...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Karume, Salmin Amour na Wanamapinduzi walioa kwa nguvu mabinti wa Kiarabu baada ya Mapinduzi ya Zanzibar?

    Nimesoma historia ya Zanzibar imejaa mambo mengi ya giza ila nitajiita kwenye hili moja. Je ni kweli Karume, Salmin Amour, Natepe pamoja na karibia ya maafisa wote wa baraza la Mapinduzi walioa kwa nguvu mabinti wa kiarabu, na kihindi baada ya mapinduzi ya Zanzibar? Inasemekana kuwa mke wa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kwamba kurasa za Ilani ya CCM zimeisha Zanzibar? Kwamba kila kilichoandikwa kimetekelezwa?

    Kauli inayotrend huko Zanzibar ni KURASA ZA ILANI YA CCM ZIMEKWISHA; hii inamaanisha kwamba kazi aliyokabidhiwa mzee Mwinyi amemaliza anasubiri kupewa majukumu mengine . Lakini najiuliza nini kilichoandikwa kwenye hizo kurasa ambacho kimetekelezwa 100%, je barabara zimejengwa zote? Hapana...
  12. JamiiForums Tanzania Lela Mussa, Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar: Rais Samia anastahili kupewa Uprofesa

    Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar, Lela Mohammed Mussa amesema kwa kazi kubwa ambayo Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amekuwa akiifanya tangu ashike hatamu ya Urais, anastahili kupewa Uprofesa. Lela ameongea hayo mbele ya Rais Samia leo December 28,2023 wakati wa Hafla ya...
  13. JamiiForums Tanzania FT: Zanzibar Heroes 0 - 0 Kilimanjaro Stars | Mechi ya Kirafiki | Amani Stadium | 27.12.2023

  14. JamiiForums Tanzania Kilimanjaro Stars wana mechi na Zanzibar Herroes, kwanini Kilimajaro Stars wanatumia bendera ya Tanzania?

    Wadau wenye uelewa, mnaweza kufafanua? Kilimanjaro Stars hawana bendera yao? Naona Zanzibar Herroes wana bender yao
  15. JamiiForums Tanzania Mtu Kwao: Zanzibar inaenda kuwa na maendeleo kwenye michezo kuliko TZ Bara

    Viwanja vya kuandaa Afcon 2027 vimefikia hatua gani Arusha na Dodoma? Au bado vipo kwenye upembuzi yakinifu? Zanzibar inaenda kasi sana kusema miradi yote inategemea pato lake ni ngumu kuamini, yote kwa yote pongezi kwao kwa Amani Sports Complex
  16. R

    JamiiForums Tanzania Muungano wetu: Ujumbe huu kwenye bango la Timu ya Taifa Zanzibar unamaanisha nini?

    Timu ya Taifa ya Zanzibar maarufu kwa jina la Zanzibar Heroes imebeba bango lenye logo ya CAF likiwa na ujumbe huu; "Zanzibar should be restored as the 55th member state. Its time now to take us seriously" ~ "Zanzibar inapaswa kurudishwa kama mwanachama wa 55. Ni wakati sasa wa kutuchukua kwa...
  17. JamiiForums Tanzania Mpiga bass guitar anahitajika haraka Zanzibar

    Habari wakuu, tunahitaji mpiga bass guitar wa kila Jumapili kwenye ibada kanisani, muda kuanzia saa tatu mpaka saa tano na nusu. Masaa mawili na nusu kila Jumapili, kwa bei ya 15000/= kila Jumapili. Tupo Zanzibar, guitar lipo nyuzi tano ni jipya halijatumika hata kidogo. Atakaeridhia kwa hiyo...
  18. JamiiForums Tanzania Baptiste da Silva,Mwanahistoria wa Zanzibar.

    A. Tapper & F. McKenna - kutoka EA Circle Upepo ulikuwa unavuma na skrini ya sinema ilikuwa ikitetemeka kwenye paa la hoteli juu ya mabaki ya Mji Mkongwe, mji mkuu wa kale wa visiwa vya Zanzibar. Hata hivyo John da Silva, wakati huo 75, hakukatishwa tamaa. Alitaka kusimulia hadithi yake...
  19. JamiiForums Tanzania Ili kudumisha mshikamano wa Kitaifa anaousema Rais Samia, tuiige Zanzibar kuwa na Serikali ya Mseto 2025

    Inawezekana tukifanyia mabadiliko madogo Katiba yetu, 2025 tukaunda Serikali ya Mseto. Zanzibar ya leo, siyo ile tuliyoiona au kuijua enzi za ngangari na ngunguri za kina Mahita. Siri kubwa nyuma yake nionavyo ni mshikamano wa "KWELI" kupitia "SERIKALI YA UMOJA/ MSETO" Tanganyika ina bahati...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ajira za bara tunaomba wote, lakini za Zanzibar wanataka Mzanzibar pekee

    Serikali inapaswa kutafakari ni kwa namna gani wanaweka usawa kwenye hili. Wahitimu kutoka bara wanalalamika sana. Ajira zinazotangazwa bara wanasailiwa hadi wazanzibar, lakini ajira zinazotangazwa Zanzibar, sifa moja wapo kubwa ya kusailiwa ni kuwa mzanzibar. Mzanzibar anafaida mara 2...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…