zanzibar

  1. JamiiForums Tanzania Kitila Mkumbo ala za Uso zanzibar aambiwa akae kimya kwa kuwa haijui

    Jionee Mwenyewe. Huyu mother hakwepeshi maneno
  2. JamiiForums Tanzania Rais Mwinyi amefanya mabadiliko ya Wakurugenzi katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali

    Uteuzi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mheshimiwa Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefanya mabadiliko ya Wakurugenzi katika Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali kama ifuatavyo; Ndugu Othman Omar Othman ameteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Mafunzo ya Ualimu. Kabla ya Uteuzi...
  3. JamiiForums Tanzania Rais Yoweri Museveni ampa zawadi Rais Samia ikulu ya Zanzibar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais Yoweri Museveni wa Uganda na Rais William Ruto wa Kenya wakiangalia picha ya Viongozi wa Nchi mbalimbali za Afrika wakati Rais Museveni alipomkabidhi Rais Samia zawadi hiyo baada ya mazungumzo yao Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar...
  4. JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais: Zanzibar hakuna Amani, kuna Ukimya

    Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar , Othman Masoud , ambaye pia aliwahi kuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar , amenukuliwa akieleza kwamba , kwa sasa Zanzibar hakuna amani , bali kuna Ukimya tu . ZANZIBAR HAKUNA AMANI, KUNA UKIMYA "Kilichopo sasa Zanzibar ni kimya; na si amani; kwa sababu...
  5. JamiiForums Tanzania ZANZIBAR: 9 Died & 78 People Hospitalized After Eating Sea Turtle Meat On Pemba Island

    Eight childrens and an adult died after eating sea turtle 🐢 meat on pemba Island in the ZANZIBAR archipelago and other 78 people were hospitalized, authority said at Saturday. According to the AP news sea turtle meat is considered a delicacy by zanzibar's people even though it periodically...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali isimamie na kutilia mkazo sheria ya kuzuia ulaji wa KASA ili kuepusha vifo

    Salaam wakuu, Kila mwaka wenzetu Zanzibar wamekuwa wakipata visa vya vifo kutokana na ulaji holela na usio makini wa KASA. Tukiendelea kuendekeza hili suala tutajikuta kila mwaka tunapoteza nguvu kazi nyingi tena za familia moja kutokana na ulaji wa huyu kiumbe. Ni vyema mamlaka za Zanzibar...
  7. JamiiForums Tanzania Hip hop Zanzibar

    HIP HOP IN ZANZIBAR... MUziki wa Rap ni Muziki pekee ambao hutoa Elimu kwa jamii kutokana na aina ya Tungo au Mashairi wanayoimba wasanii wanaofanya Muziki Huo .. Kwa Hapa Tanzania tuna list ya wasanii wengi sana waliofanya makubwa katika tasnia Hii ya Muziki wa Rap.. Wasanii Hao ni kama 2...
  8. JamiiForums Tanzania Emerald hotel Zanzibari, kwa sasa ni The Mora Zanzibar hotel

    Wana Jf habari za kutwa nzima ya leo wakuu! Wadau kuna kitu hapa sielewi natamani wajuzi wanisaidie huenda hofu na mashaka vikaniondoka. Wiki hii tangu ianze 04/03/2024, hadi siku ya leo 08/03/2024, imekuwa ni wiki ya u busy sana wa misafara ya kila mara ikitoka na kuingia si asubuhi, si...
  9. JamiiForums Tanzania Zuchu afungiwa kujihusisha na shughuli za sanaa Zanzibar

    Baraza la Sanaa, Sensa, Filamu na Utamaduni la Zanzibar, limemfungia msaanii wa kizazi kipya Zuhura Othman Masoud maarufu Zuchu kuendesha shughuli zote za sanaa visiwani Zanzibar. Mbali na kumfungia kuendesha shughuli za sanaa, pia imepiga marufuku redio na televisheni za Zanzibar kupiga nyimbo...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mzee Mwinyi ndiye kiongozi pekee aliyewahi kuongoza Tanzania nzima, sio upande mmoja kwa Koti la Muungano

    Katika dunia hii kuna watu wamebarikiwa sana. Na mamlaka hutoka kwa Mwenyezi Mungu. Mwenyezi Mungu akiamua kukupa mamlaka, kipaji, riziki anakupa tu kwa kupenda yeye mwenyewe bila kujali wewe una nini. Mzee Mwinyi hakuwa msomi sana kwa viwango vya kisasa (kuwa na digrii), lakini ni dhahiri kwa...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Mageuzi ya kiuchumi ya Zanzibar yalisaidia sana Watanzania kutamania Alhaj Ali Hassan Mwinyi aongoze Tanzania

    kiukweli Mzee Alhaji Ali Hassan Mwinyi aliongoza vizuri sana Zanzibar na baadaye Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kilichochangia Watanzania wawe na imani naye sana ni mageuzi ya kiuchumi na kijamii aliyoyafanya Zanzibar kwa kipindi kifupi wakati wa awamu yake na hivyo wananchi wengi hususani...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa kweli mzee mwinyi allah akupe tahafif. Ulifanya waalimu kwa upande kwa zanzibar wanakipwa transport allowance

    Ni rais pekee aliyehakikisha mwalimu analipwa stahiki hii ambayo imepuuzwa upande wa bara. Katika kada ambayo itaendelea kuwafanya viongozi wa bara waende na mzigo wa dhambi ni kuidharau kada ya ualimu. Ni kikwete pekee aliyebaki amwambie Mama kizimkazi asifanye kosa la kudharau waalimu...
  13. P

    JamiiForums Tanzania Kulikoni? Uwanja wa Amaan Mtupu Kumuga Mzee Mwinyi Zanzibar

    Niko hapa uwanja wa Amaan Zanzibar kwenye shughuli ya kumuaga mpendwa wetu mzee Ali Hassan Mwinyi …inaacha Maswali kwanini majukwaaa ni Matupu hakuna watu kabisa labda kama huko nje kuna watu wataingia kwa maandaamano kama sherehe za mapinduzi , hii inaacha maswali sana ………..Wazanzibar watu wa...
  14. JamiiForums Tanzania Suala la mzee Mwinyi kuzikiwa Zanzibar wala lisifanywe la kisiasa, pitieni hapa msome muelewe sababu

    Watanzania tupeane pole kwa msiba huu mzito katika taifa letu. Kuna watu wanashangazwa na hili swala la kuamua kuhamisishia msiba wa mzee Mwinyi Zanzibar, wakidai kuwa mzee huyo alikuwa asha usia kuwa akifariki akazikiwe kwao Mkuranga walipozikiwa na kulazwa wazazi wake na babu zake. Wengi...
  15. JamiiForums Tanzania Peter Msechu kupewa nafasi ya kutumbuiza Zanzibar?

    Inasemekana baada ya John Komba, Msechu ndio kama karithishwa mikoba . Je Atapewa nafasi ya kutoa wimbo kwa ajili ya Mzee Mwinyi? Ngoja tusubiri .
  16. JamiiForums Tanzania TANZIA Rais wa awamu ya pili wa Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amelitangazia taifa msiba wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili, Mhe. Ali Hassan Mwinyi leo Februari 29, 2024. Rais amesema "Ndugu wananchi, kwa majonzi makubwa nasikitika kutangaza kifo cha Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa...
  17. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe amekiuza ACT Wazalendo, ameuza upinzani, ameiuza Zanzibar

    Hatua ya Zitto Kabwe kufanikiwa kuwapokea wanachama wa CUF karibu wote walioshusha tanga, ilikuwa turufu kubwa ya kisiasa kwa upande wake! Hatua ya pili ilikuwa ya kumuweka Othman Masoud Othman katika nafasi ya Makamu wa Kwanza wa Rais baada ya kifo cha Maalim Seif Shariff Hamad. Hapa Zitto...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Zanzibar Business and Property Registration Agency( BPRA) nahitaji majibu kutoka kwenu

    Leo nimejaribu kufungua account ya kimtandao ya Online Registration System (ORS) katika taasisi ya Business and Property Registration Agency(BPRA).Taasisi hii iko Zanzibar na inafanya shughuli zinazofanana na zile za BRELA. Katika utambulisho wa mfunguaji akaunti kwa maana ya...
  19. JamiiForums Tanzania Dkt. Mwinyi aondoa kodi ya sukari Zanzibar

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye sukari ili kuwasaidia wananchi kuelekea mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa kutopanda bei ya bidhaa hiyo. Dkt. Mwinyi amesema hayo wakati akizungumza na wafanyabiashara wa...
  20. JamiiForums Tanzania Shajara Yangu Mpambano wa Maalim na Komando Uchaguzi Mkuu Zanzibar 1995

    SHAJARA YANGU UCHAGUZI MKUU ZANZIBAR MPAMBANO WA MAALIM NA KOMANDO 1995 Miaka 29 sasa imetimu toka uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 baada ya mapinduzi na muungano mwaka wa 1964. Niko Zanzibar na fikra zangu zimerejea nyuma juma la mwisho mwezi October 1995 kuelekea siku ya kupiga...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…