zaidi ya

Zaidiyyah, Zaidism, or Zaidi Shiasm (Arabic: الزيدية‎ az-zaydiyya, adjective form Zaidi or Zaydi (occasionally known as Fiver Shias) is one of the Shia sects closest in terms of theology to the Ibadi and Mutazila schools. Zaidiyyah emerged in the eighth century from Shi'a Islam. Zaidis are named after Zayd ibn ʻAlī, the grandson of Husayn ibn ʻAlī and the son of the fourth Imam Ali ibn 'Husain. Followers of the Zaydi Islamic jurisprudence are called Zaydi Shia and make up about 50% of Muslims in Yemen, with the greatest majority of Shia Muslims in that country being of the Zaydi school of thought.

View More On Wikipedia.org
  1. Kanungila Karim

    JamiiForums Tanzania Watu zaidi ya 50 wanusurika kifo katika ajali basi la Abood

    Watu zaidi ya 50 wamenusurika kifo baada ya basi la Abood (T 266 DBV) walilokuwa wakisafiria kutoka Morogoro kwenda Dar es salaam kupinduka mara mbili katika eneo la Ruvu wilayani Kibaha. Baadhi ya abiria walionusurika katika ajali hiyo wameiambia TBC kwamba ajali hiyo imetokea majira ya saa...
  2. 2019

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mama na Mke nani anastahili zaidi ya 50% ya mapenzi

    Kwanza kabisa tuelewe majukumu ya hawa watu katika sekta zao. Heshima ya Mama haipungui kijana unapooa. Tunajua umuhimu wa Mama toka amekubeba miezi 9 umezaliwa umekuwa na umejitambua hilo ni jukumu lake na lazima apate heahima kama Mungu alivyoagiza. Umejitambua unataka sasa...
  3. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Google docs and sheets kwangu imeanza kuwa bora zaidi ya MS office

    Mara nyingi uwa naweza kuwa nafanya kazi nikasahau kusave nijikuta mara softare imefreeze, nimepoteza kazi kubwa niliyokuwa nimefanya. Ila mara kibao nikiwa nafanya kazi na wenzetu mara nyingi wana prefer tutumie google docs/sheets ili waweze kutrack progress ya kazi. Uzuri ni cloud service...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marekani yarekodi visa zaidi ya 100,000 vya maambukizi ya Coronavirus. Hekaheka za Uchaguzi zatajwa kuwa chanzo

    Takriban visa vipya 103,000 vya maambukizi ya COVID-19 vimeripotiwa nchini #Marekani ndani ya saa 24, huku hekaheka za Uchaguzi zikidaiwa kuchangia ongezeko hilo Hii ni rekodi kubwa tangu Septemba 4 ikiwa ni siku 2 baada ya Uchaguzi wa Urais, kulingana na takwimu zilizotolewa na Chuo cha Johns...
  5. Infantry Soldier

    JamiiForums Tanzania 2020 GEORGIA BANK ROBBERY: Mtu mmoja (inasemekana ni mwanajeshi muasi) anawezaje kuwachukua mateka watu zaidi ya 40 kwa wakati mmoja bila kizingiti?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Eti ndugu zangu watanzania; Mtu mmoja (inasemekana ni mwanajeshi muasi) anawezaje kuwachukua mateka watu zaidi ya 40 kwa wakati mmoja bila kizingiti? Polisi katika jamhuri ya zamani ya Soviet ya Georgia walikuwa wakimtafuta jambazi wa benki...
  6. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo kufanya maandamano ya amani Nov 2, 2020 kupinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu

    CHADEMA na ACT Wazalendo tunautangazia umma na wanaopinga kuvurugwa kwa Uchaguzi Mkuu kushiriki Maandamano ya Amani kesho Jumatatu ya Tarehe 2/11/20. Madhumuni ya Maandamano ni kudai kurudiwa Uchaguzi Mkuu chini ya Tume Huru ya Uchaguzi. Maandamano yataanzia sehemu 2, kundi moja litaanzia...
  7. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kura zaidi ya laki mbili za Urais kuharibika ni jambo la ajabu sana na aibu kubwa kwa nchi

    Yani kuacha Magufuli na Lissu, unakuja kugundua kuwa mshindi aliyeshika nafasi ya tatu kati ya hao 15 ni kura zilizo haribika. Yani zaidi ya kura laki mbili ziliharibika. Ni kura nyingi kuliko za mgombea Ibrahim Lipumba ambaye alizunguka nchi nzima kuomba kura. Ni kura nyingi kuliko kura za...
  8. Barbarosa

    JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli hapa, Wabunge wa CHADEMA wamekaa zaidi ya miaka 10 Bungeni!

    Binafsi naona ni sawa kabisa kwa Wabunge wa chadema kuondolewa, wengi wao wamekuwa Wabunge kwa miaka 10 au zaidi, kuanzia Halima Mdee kawa Mbunge wa Kawe kwa miaka 10, Sugu kawa Mbunge Mbeya City kwa miaka 10, Lema kawa Mbunge Arusha City miaka 10, Mbowe kawa Mbunge kwa zaidi ya miaka 15, Zito...
  9. ChangeTZ

    JamiiForums Tanzania Benard Membe, hii ni zaidi ya ukachero

    LAZIMA tujue kuwa anguko la CHADEMA mwaka huu ni la kihistoria. Haijawahi kutokea tangu kuanza kwa Mfumo wa Vyama vingi mwaka 1992. Labda kwa wasiofahamu dhambi ya kumkataa Jasusi au Kachero (Membe) kwenye Chama hicho ndio mwanzo wa kujiangusha wenyewe. Membe hakuridhika kukataliwa na CHADEMA...
  10. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 CHADEMA wakipata Wabunge zaidi ya watatu tuwapongeze

    Kiukweli endapo CHADEMA watabahatika kupata wabunge watatu au zaidi basi watastahili kupongezwa. Kwa mfano hapa Dar es Salaam nimepita katika viituo vingi vya kupigia kura na kushuhudia CCM ikiwa ina mawakala katika kila chumba cha kupigia kura wakati vyama vya upinzani wakiwemo CHADEMA wana...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kucalculate kiasi cha kodi kinachozidi endapo CIF ya gari itakuwa kubwa zaidi ya CIF ya kwenye calculator ya TRA.

    Habari za muda wakuu, Naomba kupata ufafanuzi ni jinsi gani TRA wanacalculate kodi endapo itatokea gharama za CIF uliyonunulia gari imekuwa kubwa kuliko ya kwenye calculator yao.
  12. Keynez

    JamiiForums Tanzania Kwa mkupuo, Twitter imeverify account za Watanzania zaidi ya 6

    Habari za hivi punde zinazoashiria upepo wa matumaini unazidi kuvuma, ni kuwa Twitter imeverify account zifuafazo, tena kwa mkupuo. Tundu Lissu Fatma Karume Chadema Tanzania John Mnyika Zitto Kabwe Carherine Ruge ACT Wazalendo Najua kuna watakaokuja na kubeza na hata kutaka kulinganisha na...
Back
Top Bottom