China: Watu 80 mbaroni kwa kutengeneza chanjo feki ya COVID -19

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,010
9,875
Watu 80 wanashikiliwa na polisi nchini China kwa kutengeneza dawa inayofanana na chanjo ya COVID19 ambayo ni maji yenye chumvichumvi tu.

Hadi sasa katika jimbo la Jiangsu na Shandong chanjo feki zaidi ya 3,000 zimekatwa. Polisi hawajaweza kusema ni chanjo kiasi gani zimeuzwa.

Sinopharm ni chanjo ambayo ilithibitishwa kutumika China mwezi Desemba ili kuwalinda wananchi takriban milioni 50 wa China.
===
Chinese police have arrested more than 80 people who were making counterfeit COVID-19 vaccines, state media said, as China races to inoculate millions before the Lunar New Year holiday.

The gang had been putting saline water into vials and selling them as Covid-19 vaccines in an operation that had been running since last September, according to Xinhua news agency.

Police swooped on several locations across Beijing and multiple cities in the eastern provinces of Jiangsu and Shandong, seizing "more than 3,000 fake Covid-19 vaccines on the spot," Xinhua said.

It has not been made public how many vaccines were sold, but police have traced where the vaccines ended up, it said.

China has been racing to develop homegrown jabs and aims to vaccinate 50 million people before the start of the Lunar New Year in mid-February.

The holiday normally spurs a travel rush with hundreds of millions traversing the country - though authorities are encouraging people to stay home this year through a mixture of restrictions and incentives.

As China ramps up its vaccine campaign, authorities have repeatedly assured the public of the jab's safety and efficacy, despite not releasing any detailed clinical trial data.

State-owned firm Sinopharm's vaccine was approved by Chinese regulators for general use in December.

Since the virus emerged in 2019, China has charged thousands of people with crimes related to the pandemic, including spreading "rumours", concealing an infection and not complying with guidelines.

The country is also no stranger to vaccine scandals.
In 2018, leading vaccine manufacturer Changsheng Bio-Technology was fined $1.3 billion after regulators discovered its vaccines were substandard, which hugely damaged public trust in vaccines at the time.
 
Si tulisema chanjo za nje ni hatari jamani?

JamiiForums424888426.jpg
 
Ukiona mchimba kaburi, muoshaji, na mshona sanda, wamefika asubuhi asubuhi wakitak yamekuua muona mgonjwa ujue wana fununu mgonjwa kafa wmeiona fursa
 
Fake zitatengenezwa hata Italy bingwa wa fake janja,kwa kuwa biashara ya sasa ni chanjo.Kwani hata huko Ulaya na Marekani chanjo ni deal kubwa haitoshi hadi September labda.
Hadi chanjo ifikie kwa waafrika wa kawaida ni labda December.
 
China imesema kuwa inafanya msako juu ya mtandao wa uhalifu unaotengeneza "chanjo bandia " za Covid-19 ambao umekuwa ukiendesha shughuli hii tangu mwezi Septemba, imeripoti taarifa ya CNN.

Idara a polisi za Jiangsu, Beijing na Shandong zimewakamata zaidi ya watu 80 waliohusika katika utengenezaji wa zaidi ya dozi 3,000 bandia za chanjo ya Covid-19 , Shirika la habari la taifa hilo Xinhua limeripotiwa kusema.

Xinhua limesema wizara ya usalama wa umma nchini Uchina inachunguza uhalifu unaohusiana na utengenezaji na mauzo ya chanjo hizo bandia " na uengenezaji haramu wa dawa na ufisadikatika sekta ya chanjo."

Polisi walibaini kuwa tangu Septemba 2020, wahusika wa chanjo "wamekua wakipata faida kubwa kwa kujaza mchanganyiko wenye chumvi ndani ya sindano ili kutengeneza chanjo bandia za virusi vya corona na kuziuza kwa bei ghali," Xinhua limeripotiwa kusema.

China imekuwa ikiwachanja watu wake kwa dawa kutoka makampuni mawili ya Sinovac na Sinopharm, na chanjo zake pia zimekwishaanza kutolewa katika nchi nyingine, ikiwa ni pamoja na Uturuki.

#nyungu
 
hiz chanjo sio za kukurupukia,Leo hii mida ya mchana tumempoteza muwwkezaji mmoja ,aliekuwa akifanya biashara zake mkoani mbeya wilaya naihifadhi,jamaa alipanda pipa akaenda South Africa ,huko akapigwa chanjo ya covid,baada ya kurudi bongo amekaa siku chache kavuta,inasemekana dalili viashiria hako kamdudu.
 
hiz chanjo sio za kukurupukia,Leo hii mida ya mchana tumempoteza muwwkezaji mmoja ,aliekuwa akifanya biashara zake mkoani mbeya wilaya naihifadhi,jamaa alipanda pipa akaenda South Africa ,huko akapigwa chanjo ya covid,baada ya kurudi bongo amekaa siku chache kavuta,inasemekana dalili viashiria hako kamdudu.

Taarifa zako unazipata wapi mjomba? Au kwa akina nanihii?


South Africa hawajaanza kutoa chanjo. Au wewe waongelea Sauzi ya wapi ambayo huyo bwana alikwenda na alikwisha hata kuchanjwa?

Kutokea ile mijamaa ya chama fulani looh! Mbona tutasikia mengi?
 
Mkuu chanjo hazitolewi hovyo hovyo kama njugu kwamba unaweza kwenda nchi yoyote duniani na kupata chanjo. Nchi zenye chanjo hizo zimeweka utaratibu maalum wa yupi anayestahili kupewa kipaumbele cha kupata chanjo.
hiz chanjo sio za kukurupukia,Leo hii mida ya mchana tumempoteza muwwkezaji mmoja ,aliekuwa akifanya biashara zake mkoani mbeya wilaya naihifadhi,jamaa alipanda pipa akaenda South Africa ,huko akapigwa chanjo ya covid,baada ya kurudi bongo amekaa siku chache kavuta,inasemekana dalili viashiria hako kamdudu.
 
Mkuu chanjo hazitolewi hovyo hovyo kama njugu kwamba unaweza kwenda nchi yoyote duniani na kupata chanjo. Nchi zenye chanjo hizo zimeweka utaratibu maalum wa yupi anayestahili kupewa kipaumbele cha kupata chanjo.

Lumumba kuna kila aina ya hadithi. Yale yale ya kudhania wengine wote ni mburula kama wao.
 
Taarifa zako unazipata wapi mjomba? Au kwa akina nanihii?


South Africa hawajaanza kutoa chanjo. Au wewe waongelea ya wapi ambayo huyo bwana alikokwenda na alikwisha hata kuchanjwa?

Kutokea ile mijamaa ya chama fulani looh! Mbona tutasikia mengi?
Alipata flu vaccine huenda
 
Alipata flu vaccine huenda

Ha ha haaaa.

Yote hii ni kujaribu kuinasua serikali inayotukamua kodi kutowajibika kwetu wakati huu wa janga.

Serikali hii inataka kuendelea na ununuzi wa midege, ma SGR, ma Stiggler's Gorge nk bila kujali maisha ya watu.

Tumetelekezewa janga. Kila mtu na lwake kama ilivyo kwa vifaranga vya kuku.
 
Ha ha haaaa.

Yote hii ni kujaribu kuinasua serikali inayotukamua kodi kutowajibika kwetu wakati huu wa janga...
Na kule kwenye kikao cha wawakilishi wa NEC CCM kule Dodoma wataambikizana kule. Hakuna msisitizo wa maji tiririka, barakoa, sanitizer wala umbali wa mita mbili.
 
Back
Top Bottom