Kwanini mnawanyanyapaa wanao share Chanel zao za youtube?

mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
2,208
1,755
Utasikia sema unataka viewers, hivi ukikaa kimya unapata shida gani?

Watu wanapambana wapate pesa ya kula wewe unaponda, vipi kama angekuwa ndugu yako unaemfahamu ungenena hivyo?

Wacheni watu wapambane na hali zao maana hujui wanayopitia.

Nb: acheni majungu

Fang rekebisha title kwenye neno la kiingereza
 
sasa mtu unakuja na maelezo meengi.

namna ya kufanya simu yako itunze charge,halafu mwishoni unasema punguza mwanga wa kioo chako.

kweli hilo kuna mtu hajui??
nikiangalia vijana duniani wanavyohangaika kutengeneza content za kupata viewsnabaki kufurahi na youtuber wangu wa hapa nyumbani,mtu anakaanga jongoo anamla live,mara kapika mende katafuna,yuko msituni anatega mitego na kuwinda.haaa kwanini usiangalie.
 
sasa mtu unakuja na maelezo meengi.

namna ya kufanya simu yako itunze charge,halafu mwishoni unasema punguza mwanga wa kioo chako.

kweli hilo kuna mtu hajui??
Kuna mhindi aliweka video ina kichwa cha habari The ultimate guide to have 1 million views per day. Leo ni mwaka wa 4 video yake mwenyewe ina views 400 hivi sasa sijui kwanini hatumii hizo njia zake
 
Utasikia sema unataka viewers, hivi ukikaa kimya unapata shida gani?

Watu wanapambana wapate pesa ya kula wewe unaponda, vipi kama angekuwa ndugu yako unaemfahamu ungenena hivyo?

Wacheni watu wapambane na hali zao maana hujui wanayopitia.

Nb: acheni majungu

Fang rekebisha title kwenye neno la kiingereza
Jambo kubwa na la msingi ukitaka mbongo akupe support, usioneshe kuwa utapata faida.

Laiti kama YouTube kusingekuwa na pesa wala usingeona hizo kauli.
 
Kuna mhindi aliweka video ina kichwa cha habari The ultimate guide to have 1 million views per day. Leo ni mwaka wa 4 video yake mwenyewe ina views 400 hivi sasa sijui kwanini hatumii hizo njia zake
kitu nimejifunza kuhusu haya maisha,hakuna shortcut aisee lazima uumize mwili au akili,yaani kimoja lazima kisuguliwe ndipo utoboe.

mimi ni watu wa kwanza kwanza kuwaona youtuber,supercarblondie na ijustine,walivyoanza kwakweli utajua hakuna safari ndogo.mpaka leo hii kampuni zinawafata kuwapa kazi ya kureview products zao kwa mara ya kwanza,sio poa.
 
muangalie bw mdogo snashtz,yeye ameanza kwa namna ya tofauti kabisa,elimu kuhusu mswala ya tech hasa electronics nk,anatakiwa akaze buti soon ataanza kuona mteremko.ingawa hana youtube channel.
 
kitu nimejifunza kuhusu haya maisha,hakuna shortcut aisee lazima uumize mwili au akili,yaani kimoja lazima kisuguliwe ndipo utoboe.

mimi ni watu wa kwanza kwanza kuwaona youtuber,supercarblondie na ijustine,walivyoanza kwakweli utajua hakuna safari ndogo.mpaka leo hii kampuni zinawafata kuwapa kazi ya kureview products zao kwa mara ya kwanza,sio poa.
MKBH na Mrwhosetheboss story zao zinaani inspire sana
 
Kuna mhindi aliweka video ina kichwa cha habari The ultimate guide to have 1 million views per day. Leo ni mwaka wa 4 video yake mwenyewe ina views 400 hivi sasa sijui kwanini hatumii hizo njia zake
HELLO
 
Back
Top Bottom