Ipi ni channel yako pendwa ya YouTube na ni kwanini?

Nafaka

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
12,156
31,045
Zangu ni

1. Thoughty2 - Hii channel ni bomba sana sana, ina information ya mambomengi kuanzia history, technology, crime and investigation na kadhalika. Jamaa mwenye channel ni Mwingereza na anachekesha kweli jinsi anavyokuwa ana narate. Yani hachoshi anafanya complicated topics zinakuwa rahisi na za kuvutia.

2. Mrwhosetheboss - Huyu jamaa namkubali sana kwa uchambuzi wake wa mambo ya teknolojia yanayohusiana na simu. Jamaa ni mkali sana sana na napenda jinsi anavyofanya details ngumu zikawa rahisi. Kupitia kwake utajua mambo mengi sana sana.

3. Coldfusion - Hii pia ni channel nzuri ya kujifunza mambo mengi yahusuyo technology na utapata kuijua Tesla na technology zao zinavyozidi kukua

4. Megaprojects - Hii uonyesha project za ujenzi kubwa kubwa sana duniani.

Je wewe zipi channel zako pendwa?
 
✓BigdawsTv (Nachekaga sana)

✓ThatWasEpic (Nachekaga sana(

✓MKBHD (Jamaa anachambua gadget vizuri sana)

✓Unboxing therapy (Jamaa ana masihara na mbwembwe kibao,kama hataki vile)

✓Angrypicnic (Nachekaga sana)

✓Mark wiens (Najionea tamaduni na misosi ya nchi mbalimbali)

✓Food network (Misosi ya kutosha na jinsi ya kuipika)
 
Channels
1.Robert sepehr
Historia ya race zetu na mambo mingine ya duniani
2.isha foundation
Mambo ya kiroho-sadhguru
3.empaths refuge
Kuelewa zaidi haiba yangu
4.Russell peters
Kucheka
5.one percent better
Books summary
 
Channel za gym motivation..kina Simon panda ,adreu deud na wengine wengi tu...,
Mtu mwingine ni code Nepal,ni hatari sana in coding...step by step,
 
LinusTechTips
Electroboom
ShareTechCreative
MaqueesBrownie
UnboxTherapy
DiodeGoneWild
CreativeWorld
AdamantIT
Mr.Carlsons Lab
Marquees Brownie naona jamaa anaingizampunga sana kwenye channel yake. Muda mwingine anashirikiana na MrWhoseTheBowse kufanya review za simu. Mimi nampend zaidi MrWhoseTheBowse
 
Hawa jamaa wanashirikiana kweli. Kuna kipindi Marquees alimkaribisha LinusTech ofisini kwake
 
1. Channels za makampuni ya silaha kama Reinnmetal, Lockeed Martin, Boeing, MBDA na Saab. Hizi nyingine hazitumii English napambana hivihivi.

2. Weaponology, hii waliacha update ila video zake narudi kuziona.
3. Associated Press
4. Jimmy Kimmel Live
5. WatchMojo kwa ajili ya categories za mziki
6. Channels za vita na majeshi kina Bulgarian Military, ArmedForcesUpdate, Daily Aviation, Odo Puiu.
 
My best channel on YouTube

1 Wasafi Media
2 CLOUDS MEDIA
3 Millardayo
4 Global Online TV
5 Tricod Media
6 Joel nanauka..... huyu ni live Couch
7 Bongo5
 
Zangu ni
1. Thoughty2 - Hii channel ni bomba sana sana, ina information ya mambomengi kuanzia history, technology, crime and investigation na kadhalika. Jamaa mwenye channel ni Mwingereza na anachekesha kweli jinsi anavyokuwa ana narate. Yani hachoshi anafanya complicated topics zinakuwa rahisi na za kuvutia.
2. Mrwhosetheboss - Huyu jamaa namkubali sana kwa uchambuzi wake wa mambo ya teknolojia yanayohusiana na simu. Jamaa ni mkali sana sana na napenda jinsi anavyofanya details ngumu zikawa rahisi. Kupitia kwake utajua mambo mengi sana sana.
3. Coldfusion - Hii pia ni channel nzuri ya kujifunza mambo mengi yahusuyo technology na utapata kuijua Tesla na technology zao zinavyozidi kukua
4. Megaprojects - Hii uonyesha project za ujenzi kubwa kubwa sana duniani.

Je wewe zipi channel zako pendwa?

brightside
 
1. Channels za makampuni ya silaha kama Reinnmetal, Lockeed Martin, Boeing, MBDA na Saab. Hizi nyingine hazitumii English napambana hivihivi.

2. Weaponology, hii waliacha update ila video zake narudi kuziona.
3. Associated Press
4. Jimmy Kimmel Live
5. WatchMojo kwa ajili ya categories za mziki
6. Channels za vita na majeshi kina Bulgarian Military, ArmedForcesUpdate, Daily Aviation, Odo Puiu.
Safi mkuu nimekubali Sana.. No 1, 2 na 6 nilitegemea niyaone kwako.
 
Back
Top Bottom