yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Namkumbuka Baba na Rafiki Yangu Ahmed Rashaad Ali

    Mwaka wa 1952 Ahmed Rashaad Ali alimwandikia Gamal Abdel Nasser Rais wa Misri barua yenye kurasa sita kuhusu mateso yanayowakabili wananchi wa Zanzibar chini ya usultani. Rashaad alimuomba Nasser ampe kazi ya utangazaji katika Sauti ya Cairo ili aueleze umma wa dunia madhila ya ukoloni wa...
  2. G

    JamiiForums Tanzania Natoa kero yangu kwenye hospitali za wachina / wakorea, hawathamini kabisa privacy / usiri wa wagonjwa + maadili, hutuchukulia kama vifaa na sio watu

    Ni katika moja ya hospitali niliwahi kwenda kwenye matibabu yangu, hospitali inadeal na mambo ya mishipa / nerves. Siku nimeenda niliambiwa niende kwa wiki nzima kuna mashine naitumia kwa dakika kadhaa kisha naondoka, Yani mle chumbani kilichokuwa kikibidi kututenganisha na mtu mwengine ni...
  3. JamiiForums Tanzania Majeshi yangu bora ya Afrika 2024

    Ni kazi kubwa sana kupima uwezo wa kijeshi wa nchi, kuna vigezo vingi hutumika na pengine kwa malengo tofauti. Kuna vyanzo ranking huzingatia namba kwamba idadi ya zana na wanajeshi, hii ni rahisi kufanya na hutumiwa pale mtu asipotaka mambo mengi ila sio sahihi. Hakuna ranking inayoweza kutoa...
  4. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu maandalizi yangu haya kabla ya kukutana faragha na shemeji yenu

    Hata ndio maandalizi huwa nayafanya kabla ya kukutana faragha na shemeji yenu (mke)
  5. JamiiForums Tanzania Natafuta kazi lakini pia nina uzoefu na usimamizi kwenye vifaa vya ujenzi

    Naitwa isaya mtewele elimu yangu ni kidato cha nne natafuta kazi lakini pia nina uzoefu na usimamizi kwenye vifaa vya ujenzi kwa maana nimefanya kazi ya usimamizi kwenye duka la vifaa vya ujenzi miaka mitano hivyo kama kuna kampuni au shirika. Binafsi linalojihusisha na uuzaji wa vifaa vya...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba yupo kimya kwa sasa anameza matonge makubwa makubwa!

    Mjanja sana huyu jamaa! Baada ya kuingia msituni na kudodosa kidogo nikagundua nyeti mabasi yake ya Esther kwa mwezi yanaingiza faida TU inayokadiriwa kuwa zaidi ya shilingi milioni 80 - FAIDA tu baada ya kutoa gharama za uendeshaji. Mwaka 2024 katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwa kuwa...
  7. JamiiForums Tanzania Consulting – USAID Afya Yangu Southern – Grants & Finance Intern at Deloitte January, 2024

    Position: Consulting – USAID Afya Yangu Southern – Grants & Finance Intern About the program Deloitte Tanzania has been awarded a contract to implement the USAID Afya Yangu Southern Program. This is a five year project (November 9, 2021 to September 30, 2026) funded by the American People...
  8. JamiiForums Tanzania Ndugu yangu kama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha hapa namanisha kiuchumi basi fanya hivi

    Kama upo kwenye hatua ya kujitafuta kimaisha apa namanisha kiuchumi basi fanya hivi. Acha Kuendekeza wanawake Hapa kukwepa vizinga unashauriwa ufanye yafuatayo; 1. Kuwa na mwanamke mmoja usiwe na michepuko sabisa, pakuvuja pakiwa pengi itakuwa balaa. 2. Kuwa na mwanamke mpambanaji...
  9. JamiiForums Tanzania Japo Wengi Wamepania Kumzawadia Mwezi October 2025, Mimi Zawadi Yangu Nimemuaa Kuitoa Mapema, Kusubiria 2025 Will Be Too Little Too Late!

    Wanabodi, Zawadi yangu kwa Birthday ya Mama nilipanga kumpa wiki ya mwisho ya October 2025, Ili zawadi hii iwe na maana na manufaa kwake, imebidi itolewe mapema, nikisubiri mpaka hiyo 2025, it might be a bit too little too late!, kuna ubaya hiyo zawadi, kutolewa mapema mwaka huu ili iweze...
  10. JamiiForums Tanzania Nataka kumuoa msichana aliyeachana na rafiki yangu

    Habari zenu, Nina rafiki ambaye siyo wa karibu sana alikuwa kwenye mahusiano na mtarajiwa wangu sasa baada ya kuachana kwao nilifanikiwa kumshawishi tukaingia katika mahusiano kwa siri kubwa sana (kiukweli nilikuwa nampenda tangu hapo zamani) sasa nataka niende kwao nikajitambulishe
  11. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ninaipenda CCM yangu, ilimradi ulete kura tu, tunakukubali

    Yaani CCM yangu, hata uwe mbumbumbu kiasi gani, tunachojali ni uwe na uwezo wa kutuletea ushindi tu. Kwa kifupi uwe la saba, uwe na cheti feki, uwe hujasoma, uwe mchawi, uwe tajiri, uwe profesa, uwe mtumishi wa umma, uwe mtumishi wa Mungu, uwe mwizi, uwe jambazi, uwe mpagani, mchambaji, uwe...
  12. JamiiForums Tanzania Mama yangu ana miaka 70. Je, anaweza kupata cheti cha kuzaliwa?

    Mama hajawahi kuwa na cheti Cha kuzaliwa kutokana na utamaduni wa kabila letu kutozingatia masuala ya documents. Sasa naomba kuuliza, je anaweza kukipata sasa? Nilikuwa nafuatilia passport nikapeleka affidavit baala ya cheti chake cha kuzaliwa lakini afisa uhamiaji wakaikataa. Msaada wa mawazo...
  13. T

    JamiiForums Tanzania Jana Nilikuwa na furaha kutwa nzima. Kufika usiku furaha yangu ikatiwa dosari

    Jana nimekwenda ibadani nikapata upako wa kutosha. Na nikarudi nyumbani, nikitarajia kuwa furaha hiyo itaendelea hadi usiku wote. Kufika majira ya saa nne za usiku, timu moja, inayoitwa Taifa Stars ikatibua furaha yangu ya kutwa nzima. Hovyo kabisa. Nimesikitika sana. Yaani mnaruhusu goli dakika...
  14. JamiiForums Tanzania Ndoa ya rafiki yangu imedumu miezi miwili tu! -kweli ndoa ni mtihani?

    Rafiki yangu ni mfanyabiashara Kariakoo hivyo pesa ya kubadili mboga sio Tatizo lake kabisa. Amedumu katika mahusiano zaidi ya miaka 8 na mwenza wake wa maisha kabla ya kuamua rasmi kufunga ndoa mwishoni mwa November 2023. KILA MTU HAELEZI TATIZO Wasuluhishi wameshindwa kwani kila mtu haongei...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa Kisheria, ndugu yangu kapachikwa ujauzito

    Watu wa jukwaa hili habari zenu., Nimepitia comments zenu nyinginyingi nashkuru sana..! mjadala huu naomba ufungwe mod.,
  16. JamiiForums Tanzania Sina furaha kwenye ndoa yangu, nahisi nilikurupuka

    Wakuu nakiri kabisa from heart ya kwamba hii ndoa yangu nilikurupuka sana yapata takribani mienzi minne ya ndoa yangu sina hisia ya mapenzi na nahisi kujuta sana kwenye maisha yangu na sina furaha kabisa. Yaani sina furaha kabisa wakuu yaani najuta kuoa mwanamke wa chop money yaani yeye ni kula...
  17. JamiiForums Tanzania Nimepata tatizo la macho toka jana

    Macho yangu yanawasha sana na kutoa machozi mengi, pia matongotongo machoni. Naomba mwenye kujua dawa ya kutumia au ushauri wa kujitibia anisaidie. Niko na hali mbaya. Asanteni.
  18. JamiiForums Tanzania Pumzika kwa amani rafiki yangu na pole kwa familia nzima

    Wakuu habari za uzima? Leo nilienda msibani kwa rafiki, mdogo wangu na jirani yangu wa muda kidogo. Rafiki yangu huyu amefariki taarifa zikiwa zimeletwa Leo alfajiri saa kumi. Kifo cha mdogo wangu huyu kimeniumiza sana, amezaliwa mwaka 2003 na alikuwa amemaliza UDSM mwaka jana na baada ya...
  19. JamiiForums Tanzania Ukijichanganya na wadada wa siku hizi, haya mawe lazima yakupate

    Naomba hela yakusuka! Sijala! Mama yangu anaumwa! Gesi imeisha! Sina hela ya bandle! Ukijichanganya na wadada wa siku hizi, haya mawe lazima yakupate! Utadhani kama usingemtongoza angekufa jinsi anavyokutolea shida utadhani ndo uliyemleta duniani!
  20. P

    JamiiForums Tanzania Ni SMS yangu ya mwisho kwake. Je, nimekosea?

    Wakuu huyu binti hadi anaingia nae kwenye nilitumia nguvu nyingi sana, wakati huo yeye alikuwa dip mwaka wa tatu (clinical medicine) mimi nilikuwa naanza first year degree ualimu. In short tumepitia mengi sana amekuwa na drama nyingi sana sana siwezi eleza hapa. Sasa jana baada ya kuendelea...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…