yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Story yangu na dem mpya wa msanii nusu nimle 2022

    Basi bwana mimi boss ashampoo 2022 nilikuwa napenda sana kutoka kila week kuanziia jmosi hadi jpili sometimes nikiwa na hela naanzia jpili Basi nilikuwa nakaa enzi hizo makumbusho apartment fulani sasa kuna hiyo company yangu fulani wao walikuwa wanakuja kwangu siku ya jumapili saa...
  2. Matamanio yangu Tanzania Mpya (Traore case study)

    Kila zama na kitabu chake..by Ali Hassan Mwinyi Tuangazie namna Tanzania yetu tungetaka iwe leo zama hizi. Ndoto zangu na zako mdau tuziunganishe. Hata Traore alianza na ndoto. Mabadiriko hayajawai kuletwa na lundo la watu kwa mkupuo bali watu wachache sana wenye nia njema. 1. Iwe nchi moja...
  3. Haya ni maono yangu ya usiku!

    Naliona mwezi katika mawingu, na ghafla tukiwa tunatembea na mtu, ndipo nikamuambia angalia ule pale mwezi mwingine huo ni wa pili, nikawa nashangaa kwasababu haikuwa kawaida. Ghafla mwezi mmoja ukaanguka chini na kulipuka kama bomu la nuklia, katika sehemu ya mji katika dunia hii. Nikiwa...
  4. Tanzania yangu chini ya mkoloni CCM

    Naishi Tanzania, lakini sihisi huru. Chini ya utawala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), najiona kama mtumwa katika nchi yangu mwenyewe. Uhuru tuliourithi kutoka kwa kina Nyerere umebaki historia, kwani viongozi wa sasa wameugeuza kuwa fursa ya kujinufaisha wao na familia zao, huku mwananchi wa...
  5. Polepole: Msitafute mchawi kokote (eti kuna mtu nyuma yangu). Nipo peke yangu!

  6. M

    Polepole: Sikubaliani na mambo ya utekaji, dada yangu alitekwa wakamchapa sana makofi

    “Kuhusu mambo ya utekaji, siyaungi mkono. Dada yangu ametekwa jana. Mimi napost post ya kwanza, wamesharuka ukuta. Wamemtia pingu dada yangu. Wamempiga vibao”
  7. M

    Polepole: Rais aliniteua hadharani, nami barua yangu nimeiweka hadharani

    Humphrey Polepole akimjibu mmoja wa waandishi wa habari kuhusu kutoa barua ya kujiuzulu, amejibu kuwa Rais Samia alimteua hadharani na kila mmoja akaona, kwanini yeye asijibu hadharani.
  8. Ndugu yangu wa damu alikuwa ameajiriwa na kazi yake ilikuwa kuua na kutesa ,na hakuwa polisi .

    Leo sitomwaga mchele Ila mtambue kuna watu wameajiriwa kwa hiyo.kazi Huyu ndugu yangu muda mwingi alikuwa haendi kazini Ila akienda ilikuwa ni vikao Vya kuua na kutesa . Watu huwa wanafikiri kila mauaji wanafanya polisi Ila kuna hawa watu special kwa Kazi hizo wanaweza wakakuchukua kutoka...
  9. Nikiangalia usajili wa timu nyengine, reserve ya pesa waliyonayo, uongozi mathubuti wao basi niishie kusema R.I.P kwa timu yangu Man Utd. Tulikupenda!

    Hakuna pahala tunakwenda! Naona tena tukiwa nafasi ya chini ya namba 10 ikifika hadi december. Glazers wamefyonza pesa, sasa hivi roho iko juu juu katika financial Fair play (FFP), Tuna move katika dirisha la usajili katika sunderland hivi. Namuonea huruma amorim maana hamalizi huu msimu...
  10. F

    Msaada ndugu zangu, ndoa yangu inaenda kudidimia

    Nimeoa, ndoa yangu ina miezi 6 lakini mke wangu kaondoka nyumbani na kaniacha anadai talaka ananishutumu kuwa nina mahusiano na Mama yangu. Nyumbani kwetu tumezaliwa watatu na wote ni wakiume, mimi ndiyo mtoto wa kwanza, nina miaka 33 na nina kazi nzuri tu. Muda wote wa maisha yangu nimekuwa...
  11. Wikiend yangu leo imemalizika hivi 😊

    Wasalaam Wakuu! Pamoja na kuwa active sana humu kwenye mtandao wangu pendwa, nikichangia mada mbalimbali, lakini tangu jana Nilikuwa nasoma kitabu kinachoitwa The Road to Financial Freedom kilichoandikwa na Bodo Schäfer, mtaalam maarufu wa fedha kutoka Ujerumani: Kitabu Kinafaa kila mtu...
  12. R

    Kwa maoni yangu: Kama kweli Polepole kajiuzulu , sababu ni hii: FOMU MOJA YA URAIS NDANI YA CCM

    Wapinzani wake walitegemea kumngoa kwenye kutafuta mgombra Rais ndani ya chama . Sasa ameziba kila mwanya wa kumngoa. Polepole et al wanaona watoke..LILE KUNDI LA BASHRU ALLY LILILOTAKA ASIWE RAIS, HALIJAFURAHI NA FOMU MOJA. ANGLE YAO ILIKUWA KWENYE KURA ZA KUMTAFUTA RAIS! SASA KAWAZIBA! Mods...
  13. M

    Sala yangu ya leo, kesho na kesho kutwa

    Mungu mkuu na Mungu mwenye nguvu na uweza usiomithilika, nakusifu, nakushukuru, nakuabudu, nakutukuza, nakuheshimu . Nakuomba:- 1. Kuelekea uchaguzi Mkuu wa mwaka huu 2025, ukaharibu njia zao, akili zao, fikra zao, mbinu zao, vyombo vyao, miili yao, ukalaani ardhi waikanyagayo, vyakula walavyo...
  14. Na Hii shahada yangu, niuze matikiti? This is not fair.

    C Bora nisingesoma kabisa How come na shahada yangu niuze matikiti kwenye deli... Hii sio haki
  15. M

    Nitailinda Kura yangu kwa wivu mkubwa, nitahakikisha haiibiwi kwa kwa sababu sitopiga kura!

    CCM wala Chama chochote, hakiwezi kuleta ugali mezani kwangu, na hivyo, silazimiki kuwa mtumwa wa CCM au chama kingine chochote Mimi kama mpiga kura, nahitaji kuona sheria za uchaguzi, upatikanaji wa tume huru ukiwa chini ya sheria zisizoegemea upande wowote, ili mimi mpiga kura, ninapohitaji...
  16. T

    Nimejitahidi sana nitafute kitu cha kusifia kwenye huu utawala sijakiona kama kuna ameona nisaidie labda tafsiri yangu Ina shida

    Kuna jitihada kubwa sana za kujaribu kutukuza na kusifia kila kitu kilichofanyika nchini na kwa bahati mbaya inaonekana kuna wasifiaji wengine ukimuangalia sura yake unajua kabisa kuwa amesamehe akili yake ili asifiwe kwa maslahi binafsi. Niwaambie ukweli sioni chochote cha kusifia kwa sababu...
  17. Ndugu yangu amefeli F6 analia tu kila wakati naombeni ushauri

    Wajumbe hamjambo. Nakuja kwenu nikiwa na masikitiko makubwa sana nina ndugu yangu wa kike kafeli mitihani ya F6 Kapata as follows Gs - E Phy - S Chem - E Bio - D B/math - F Naombeni ushauri huyu dogo tumpeleke wapi sasa maana degree hawezi kujiunga kabisa hivyo option aliyonayo ni...
  18. Kenya inaangamia kipuuzi kabisa

    Nimeitoa huko kwa mdadisi na aliyekuwa mshiriki wa ujenzi wa katiba ya kenya, :::::::::::::::::::::::::::::: KENYA INATEKETEA KISA KATIBA MPYA: NI FURSA NA SOMO KWA TANZANIA Ni dhahiri polisi wa kawaida wamezidiwa. Sasa jeshi limelazimika kuingia kupambana na wanaojiita GenZ. Bahati...
  19. Rafiki yangu Marry Diana, kama haupo kwenye ndoa naomba nikuoe

    Kwanza niseme natanguliza heshima zote kwako best yangu Marry Diana. Pengine utafurahishwa ama kuchukizwa na bandiko hili, siwezi kuzuia hisia zako lakini ninaweza kuzipooza kwa kusema neno Samahani. Marry nimeona kitu cha ziada ndani yako, bila shaka tutafiti tukiwa pamoja tukipambana na hili...
  20. S

    Tanzania yangu ninayo iwaza akilini mwangu

    Tanzania nchi yangu. Nimekuwa kwako toka nimezaliwa mpaka Sasa Nina wajukuu. Mengi nimejionea na kila uchaguzi mengi nayaona. Mazuri yapo na mabaya pia Ila siku zote tumeweza kuvumiliana bila kuvunjiana adabu wala miiko. Natamani iwepo kamati itakayo simamia malengo ya nchi ya muda mrefu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…