yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Namtafuta mganga mzuri wa ‘kunitengenezea’ biashara yangu

    Hapo vip! Jamani nina tatizo sereous,ninabiashara sehemu kila nikiweka mtaji then mtaji unakata..na nauza kidogo na pale ni stand kabisa ila majira wanauza na biashara zao haziyumbi kabisa. Mimi nipo Arusha ila nikimpta mganga mzuri wa kujija kunisindikia eneo langu la biashara itakuwa poa...
  2. Penguinelli Cactussini

    JamiiForums Tanzania Nahitaji passport ya kusafiria ila Nida yangu imekosewa

    Kwema wakuu? Ninahitaji kupata passport ya kusafiria ila jina lililoko kwenye nida limekosewa herufi moja tu (badala ya kuishia na herufi “ni” jina la mwisho limeishia na “n”). Siko na kitambulisho mkononi kipo mkoani huko na time hii niko DSM. Je, inawezekana?
  3. masai dada

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza Vacation na familia yangu

    Dah aliyewaambia pesa aileti furaha aliwadanganya
  4. Mtukutu Mkuu

    JamiiForums Tanzania NAUZA GAMING LAPTOP YANGU GTX 1650 HP PAVILION

    Wakuu kwema ninauza gaming laptop yangu ina speci hizi Core i7 gen 9 ram 16 hp pavilion gtx 1650 vram 4gb ssd 256 ssd sata tb 1 core i7 gen 9 battery 1hours windows 11 bei 680k serious buyer dm me au 0627796644 inafaa kwa gaming na graphic
  5. majam19

    JamiiForums Tanzania Nina wasiwasi na hii ndoa yangu. Nifanyeje?

    Habarini wakubwa, Poleni na majukumu. Nianze kwa kuomba radhi kwa nitakaowakwaza. Mimi ni kijana wa miaka 27. Baada ya majaribio ya muda mrefu ya kutafuta mke kushindikana, nilikata tamaa ya kuoa kabisa na nikaamua kubaki single. Baada ya muda, dada yangu alinipatia binti mwenye miaka 17 na...
  6. Joshua Mbezi

    JamiiForums Tanzania Nimegundua rafiki yangu kawa chawa wa kiwango wa Airport

    Nilikuwa na rafiki yangu mzuri ambaye tulifahamiana ofisini lakini baadaye alikuja kuhama pale ofisini sasa yapata miaka 8 hatuko pamoja Lakini wakat huo wote tuliendelea kuwasiliana na kusaidiana katka changamoto mbalimbali za kimaisha Kilichonishtua ni kuwa mwaka Jana alinipigia simu...
  7. SAMBOZAM

    JamiiForums Tanzania Mfumuko wa bei umekula mitaji ya wafanyabiashara wadogo

    🍌𝗠𝗙𝗨𝗠𝗨𝗞𝗢 𝗪𝗔 𝗕𝗘𝗜 𝗨𝗡𝗔𝗪𝗘𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗟𝗔 𝗠𝗜𝗧𝗔𝗝𝗜 𝗬𝗔 𝗪𝗔𝗙𝗔𝗡𝗬𝗔𝗕𝗜𝗔𝗦𝗛𝗔𝗥𝗔 𝗪𝗔𝗗𝗢𝗚𝗢 𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔🥒🍌 Ripoti mpya ya TICGL inaonesha kuwa ongezeko la mfumuko wa bei nchini linaweza kuendelea kuathiri kwa kiwango kikubwa biashara ndogo na za kati (MSMEs), 𝗮𝗺𝗯𝗮𝘇𝗼 𝗻𝗱𝗶𝗼 𝘂𝘁𝗶 𝘄𝗮 𝗺𝗴𝗼𝗻𝗴𝗼 𝘄𝗮 𝘂𝗰𝗵𝘂𝗺𝗶 𝘄𝗮 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮. 🔹 Mfumuko wa bei...
  8. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Hatimaye thread yangu kuhusu Terence Crawford imemfikia waziri wa utalii na maliasili na amempa ubalozi wa utalii Tanzania

    Niliandika thread hapa kushangaa kwa nini mtu kama Terence Crawford kuonesha mapenzi yake ya dhati kwa Tanzania kuitangaza kimataifa na kupost kila hatua anayopita kuonesha ni kwa namna gani Tanzania imebarikiwa lakini viongozi wa nchi walimkalia kimya kana kwamba ni mtu wa kawaida tu. Kwa...
  9. Planet Data bundles

    JamiiForums Tanzania Nashukuru Mungu nimetimiza milion 200 yangu kwanza?

    Ilikua safari ndefu sana. Nakumbuka mwaka 2005 nilikua naiona kama ni ndoto kubwa .Hatimae leo imetimia . Watafutaji wote tusikate tamaa pesa zipo
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kuongelea Gari Used Toyota Crown ndio gari yangu namba moja kwa kupenda

    Formati yake ndani, comfortability is another level. Pia mwonekano safi, hasa hizi Peal White ukipita lazima watu wageuke nyuma. Kiukweli gari yangu next year itakuwa Toyota Crown
  11. Jang hyuk

    JamiiForums Tanzania Q net na rafiki yangu wa utotoni Mungu anawaona kwa mlichonifanyia

    Ila Q net mnanifanya naishi kama digi digi kwenye mji wa watu 🥲🥲🥲🥲🥲🥲🥹😭😭. Ndugu zangu mwenye kazi yoyote mwanza naomba Nina hali ngumu sana.
  12. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Best option yangu kwenye odds 1.3+ ni First Goal Scoring By Kicking, hainiangushi sana , Je wewe ni special option gani imekuchomesha sana.

    Watu wengi kwenye betting wanaogopa odds kubwa lakini ukweli ni kwamba kuna baadhi ya special options zina odds ndogo kabisa kama 1.2–1.4 ila ndio zina mitego ya ajabu sana Zinaonekana rahisi mbele ya macho lakini football ni mchezo wa matukio yasiyotabirika. Unaweza ukaona option “hii lazima...
  13. Joanah

    JamiiForums Tanzania Experience yangu kuhusu betting (Ukamaria)

    Hey people, Kimsingi nilianza kubet mwaka 2017,baada ya kuachana na aliyekuwa mwanaume wangu wa kwanza wakati huo kubet ilikuwa kama mbadala wa kuingia kwenye mahusiano mengine, kwasababu sikutaka kuwa na mahusiano na mwanaume mwingine Niliona nifocus na shule na mpira Ninavyoona moja ya...
  14. Mtu mbalimbali

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Allan Macha (rafiki wa David Djumbe) " David Djumbe alitekwa pamoja na gari yangu".

    Allan Macha (Rafiki wa David Djumbe) aelezea mkasa halisi wa tukio la kutekwa msaidi wa Lissu , David Djumbe.
  15. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Hivi Indira Gandhi alipomwambia Nyerere, "nitaimeza hiyo Tanzania yako ndani ya India yangu", alimaanisha nini? 🤔.

    Wakuu, aliyekuwa waziri mkuu wa India bibie Indira Gandhi, alipomwambia baba wa Taifa letu kuwa, "nitaimeza hiyo Tanzania yako ndani ya India yangu", alimaanisha nini? Kama Kuna anayejua kile alichomaanisha Indira binti Jawaharlal Nehru, anijuze tafadhali 😎. Mshana Jr Mbaga Jr Mzee...
  16. Teslarati

    JamiiForums Tanzania SIRI YA MCHEZO: Leo ngoja nishare playbook yangu 6*6

    Kwanza kabisa niseme hii playbook ni zao la experience ya muda mrefu, na nitaigawa kutokana na umri/tabia ya mwenza wako mchezoni 1.MSHANGAZI MWENYE LOW LIBIDO Hapa kijana usihangaike sana, chapa bao 2 tu kwa utaratibu huu na utanishukuru. Bao la kwanza kaa nae missionary, ichape huku...
  17. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Hatari ya matumizi majina bandia,jf Rafiki yangu kafariki na alikuwa member hapa ILA sijui alikuwa anatumia jina Gani? JE sifi Leo nikifa mtajuaje?

    Mara ya mwisho nilikutana nae kwenye kijiwe chake cha wavuvi camp" fish point, huyu hakuwa Rafiki tu Bali alikuwa classmet wangu chuo kikuu. Tukiwa wavuvi camp,A.K.A Fish point uku tukiwa tunaisubilia kusasamvua lisamaki kubwa, tukaanza kubadilishana story, nakumbuka aliniuliza SWALI ili na ndo...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CHADEMA YANGU, Kila Mkutano wa Hadhara Tupate Dakika Kumi za "Mwanamke Muhanga" atakayesimulia Jinsi Mumewe/Mtoto/Ndugu alivyouliwa mbele yake !!!.

    Hapa DUNIANI, Siasa, DINI, Michezo na Mapenzi huenda ndio vitu pekee ambavyo hushika "HISIA / EMOTIONS" . Sasa Wanawake ni viumbe waishio kwa HISIA . Ni katika kulijua hili, Mtunzi mzuri wa Tamthiliya uhakikisha ANATUNGA KWA KUZINGATIA HISIA, NA UKWELI YA KWAMBA KILE ATAKACHOKITUNGA...
  19. Yoda

    JamiiForums Tanzania WhatsApp Status yangu

    Hivi ndivyo ilivyo Whatsapp status yangu kimaudhui Dini (Mahubiri, nyimbo, Aya za biblia n.k)-50% Mpira-20% Matukio(ndoa, birthdays, misiba n.k)-20% Fursa za uchumi,biashara-5% Memes, Quotes-5%
  20. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Nilimtongoza huyu dada, akanikataa,, akamchagua jamaa yangu, sijatajirika sijabadirika leo, anani fata, eti she loves me

    Hawa viumbe sijui shida Nini, nilimtongoza, akanichomolea, akamkubali mshikaji wangu, nikasema basi haikua bahati, time go, eti Leo ananambia ananipenda nimuowe, Mimi sasa👇 Nikajifikiria, nikamtega, vipi bikra bado ipo, akadai ipo imejaa telee, dah nikakuna kichwa, nikampa hii, dada angu Sina...
Back
Top Bottom