yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Hivi Hawa wazee wanaotumia majukwaa kuhatarisha amani yetu wangefanyiwa hivi wao wakiwa vijana Leo hii wangekuwepo hai? Wazee acheni ubinafsi

    Kwa Karne hii tunategemea tuone wazee wakitoa maonyo maangalizo ya nini tufanya na nn tusifanye ili kulinda uhai wetu ili hatimaye na sisi tuje tuzeeke tukiwa hai kama wao ila hii imekuwa tofauti kwa Hawa wazee wetu wa TEC kwa kweli hawapo katika kujenga, hawana uwezo wa kuonya dhidi ya mambo...
  2. wa stendi

    JamiiForums Tanzania Msaada.simu yangu haiplay video hadimwisho.

    Yaani cm yangu kama kuna video ina play nusu inastaki haiendelei tena labda nianze tena upya ikiplay ikafika kipande kile kile inasimama tena. Na sio video hiyo hivyo tuu ni kila video nitakayo play.kwa mfano kama instagram ndo kabisaa niifurahii kabisa inafunguka kidogo tuu ikishatulia ndio...
  3. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania MWENYEZI MUNGU akubariki dada yangu Yasinta Makwabe

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Kuelekea mwisho wa mwaka nimekuwa nikitoa baraka kwa watu wote Lakini leo ni special kwa dada yangu Yasinta Makwabe Ubalikiwe na KRISTO YESU anayekuja SAYUNI BOY
  4. Mind stone

    JamiiForums Tanzania Wakuu bado natafuta kazi, na maelezo yangu ni hayo kwenye tangazo hapo chini

    Natafuta kazi na qualifications zangu zipo hapo kwenye picha ya Tangazo.
  5. falcon Q

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu, Maisha yako

    We have being a lot in our lives, any of us can tell a very interesting story but May's it's crazy, just hold on what you think of having people who helped you a lot and suddenly they wish you to fall! Funny right, yes it is then why they helped you to the point, a point that will light Avery...
  6. M

    JamiiForums Tanzania CRDB wamerejesha pesa yangu. walimu tuwe makini. Kuna uhuni na ujanja unafanyika

    Nimeamka na mawazo sana. Yaana wanakata pesa ambayo haihusianai na mkopo kabisa. Alafu nafika hapo wanajifanya kupigiana simu kana kwamba hawajui huo uhuni Eti labda system. System gani hiyo ya Crdb tu ndio inachukua pesa zisizo husika.
  7. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Nawashukuru mashujaa uchwara wote kwa kuzingatia maonyo yangu. Sasa kuko shwari

    INTRODUCTION : Huyo Mange angekuwa anawapenda na ana nia njema na Vijana wa Tanzania angewatafutia fursa za kazi na Elimu USA. Mashujaa uchwara kila walipolala walitoa treni za kisasa zilizogharimu matrilioni zimekuwa majivu, waliota mwendokasi umekuwa chuma chakavu, waliota nyumba za wananchi...
  8. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Nipo mbioni kufungua dini yangu (imani mpya ya kuabudu)

    Kitabu kitakachoongoza imani hii kitakua na page takribani 600. Utofauti wa dini hii na hizo nyingine ambazo ni biashara za watu, hii haitakua biashara, hii itakua ni dini ya kumuabudu Mungu wa kweli (sio Mungu kiziwi asieshughulika na matatizo ya watu) UTamuabudu Mungu wa asili yako (sio...
  9. sio lazima nikuelewe

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Mawazo yangu

    Binafsi sina chama ila ni muumini wa haki inayo leta amani, na si amani ya kubumba, inayowapa nguvu kikundi flani cha watu, kuwafanyia wengine chochote watakachoweza ikiwezekana hata kuua na wasiulizwe na mtu yeyote Hivi? Wanao debate ( kuitetea serikali ) wanaitetea kwenye lipi tukiachilia...
  10. Sister Abigail

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Nauza simu yangu Infinix note 12, nimekwama

    .
  11. U

    JamiiForums Tanzania Mashahidi wa udhalimu wanasimama, Wananiuliza mambo nisiyoyajua. Wananilipa mabaya badala ya mema, Hata nafsi yangu ikaingia ukiwa

    Sote tuseme Amen Mashahidi wa udhalimu wanasimama, Wananiuliza mambo nisiyoyajua. Zaburi 35:11 12 Wananilipa mabaya badala ya mema, Hata nafsi yangu ikaingia ukiwa. Zaburi 35:12 13 Bali mimi, walipougua wao, Nguo yangu ilikuwa gunia. Nalijitesa nafsi yangu kwa kufunga; Maombi yangu yakarejea...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Usiifananishe Tanzania ya sasa na ilivyokuwa Libya kipindi cha M.M.A.M-GADDAFI lazima niipambanie TANZANIA yangu

    WATANZANIA walio wengi hawajaamka , wapo kwenye giza nene
  13. mfuaji

    JamiiForums Tanzania Kuanzia leo siku kuu yangu ni pale anapotangulia kiongozi wa hawa mbogamboga.

    Wakuu, kuanzia leo sichukulii Xmas, Eid, Pasaka kama siku kuu zangu za kujivinjari. Nimeona ni bora nijivinjari Kila anapofariki kiongozi wa hawa waliotuulia ndugu zetu. Yaani wakati watu wengine wanalia huku bendera Iko nusu mlingoti, Mimi naendelea kujipongeza huku nikijisemea "Good...
  14. Fukua

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kiapo changu Kwa nchi yangu ya Tanganyika

    Mimi fukua wa jf nianaapa kwamba, nitaipenda,kuipigania na kuitumikia nchi yangu ya Tanzania Kwa moyo wangu wote. Kwamba, ninaikataa CCM na serikali yake yote, ninamkataa Samia na mambo yake yote,bunge, mahakama, TISS, polisi na vyombo vyote vya Dola hii haramu Kwamba...
  15. Sexer

    JamiiForums Tanzania Nimechoka kudangangwa na kina dj Mark, Nataka niifaidi Soundbar yangu

    Wakuu msaada, nahitaji sana kujua kizungu cha kusikiliza hasa cha kwenye movie za wazungu. Najua kusoma na kuandika kiingereza. Mswahili mwenzangu pia akiongea kizungu naelewa kiaina, kimbembe kipo wakiongea wazungu na black america naambulia kidogo sana. Napenda sana movies za Hollywood...
  16. Genius Man

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jonh Heche, Tangu niachiliwe sijapewa passport yangu ya kusafiri bila sababu zozote za kisheria

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Jonh Heche, amedai kuwa tangu aachiwe huru na Jeshi la Polisi amekuwa akifuatilia pasipoti yake ya kusafiria bila mafanikio. Kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa X (zamani Twitter), Heche amesema pasipoti hiyo ni muhimu kwa ajili...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Rai yangu tunaitaji kujifunza silaha za jadi

    Wakati nakua chumbani kwa baba yangu kulikuwa na mkuki,upinde na mishale yake pamoja na jambia,yale ambayo yanakaa kwenye ala yake, Inamaana baba alikuwa mzoefu alifundishwa kutumia silaha na baba yake,mimi leo mtu mzima sijui hata kutumia kisu kujilinda maana yake baba yangu hakunifundisha...
  18. 4

    JamiiForums Tanzania Nimepeza majembe yangu mawili ushauri tafadhali nizike nguo au wenda wakarejea?

    Wakuu Mungu ndo kila kitu kwangu na ananijua vizuri nje na ndani , nami nashukuru kwa kila jaribio kwangu. Vijana wangu walienda salimia siku ya tarehe 27 huko Misumi kwa siku mbili kwamba warejehe nyumbani tarehe 29 , ikiwa ni pamoja na kutimiza haki zao za kikatiba ,mpaka wanaagq iyo siku...
  19. Avith almachius

    JamiiForums Tanzania December 9 Ni Birthday Yangu

    INANIFIKIRISHA SANA NITOKE AU NISUBIRIE NIFWATE MAGETONI😔
  20. H

    JamiiForums Tanzania Kama Mama hahusiki na kutoa amri za mauaji Kuna maswali yangu hapa

    Kama Mama hahusiki na kutoa amri kwanini baada ya kuzima internet haikurusiwa kurecord matukio kama nia ni njema Nini walikuwa wanaficha? La pili, kwanini kulikuwa na order ya kuzuiwa watu kuchukua maiti ya wapendwa wao na hili lilikuwa linafanyika nchi nzima na polisi
Back
Top Bottom