yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. V

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenza

    Mambo vipi wakuu, hivi hii changamoto kuna wengine wanapitia kama mimi, iko hivi ... Kipindi uko na umri mdogo, yaani early &/ mid 20's unakua hujihusishi sana na mapenzi ukitegemea kujitafuta. Ila mwisho wa siku unafika early 30's kama mimi unakuta kupata mwenza wa sifa zako ni ngumu mno...
  2. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Sportybet wamenidhulumu, nawashtaki wapi nipate haki yangu. Njoo hapa nawewe ujifunze yanaweza kukukuta.

    Iko hivi jana nilitengeneza mkeka wa mechi 20 ukaleta odds 53. Mechi 19 zimetiki kasoro mechi moja ya Villarreal na Elche ambayo niliweka option ya over 2.5 bookings. Yaan hiyo mechi iishe kwa kadi 3 au zaidi zitolewe. Mechi imeisha kwa kadi 3 kutolewa, ikiwa 90 zilitoka kadi 2 na katika dakika...
  3. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania Uchoyo sio jadi yangu

    Karibuni daku huu ndioda wake ukila saa kumi au kumi na moja ni sawa kuwa ujafunga maana siku mpya ina kuwa ishaanza
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Natakiwa kulipwa Milioni 7 ya NSSF, nimepewa 198,000, nyingine hadi mwaka upite, wanajua kesho yangu?

    Kero yangu ni kwa watu wa NSSF, nilikuwa nafuatilia mafao yangu ya ukomo wa kazi kwenye statement yangu kuna shilingi 7,000,000 kazini nilikuwa nalipwa 600,000, hivyo NSSF nilikuwa nawekewa 120,000 sasa imefika wakati wa kufatilia nakuja kulipwa Shilingi 198,000. Sasa hiyo hela mimi naifanyia...
  5. BIG BROTHER ALEX

    JamiiForums Tanzania Stori ya El Chapo imenikumbusha kaka yangu alivyopoteza kila kitu kutokana na mwanamke

    Hii inshu ya El Chapo imenikumbusha kaka yangu. Mwaka fulani maeneo fulani Kanda ya Ziwa, katika mkoa mpya fulani, kipindi hicho palikuwa bado bush sana. Kaka yangu alikuwa akijihusisha na utafsiri wa movie za kihindi, kizungu na kichina katika ukumbi mkubwa sana kwa kipindi hicho. Kutokana na...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Majambazi wamemuua rafiki yangu kikatili sana. Imeniuma mno

    Habari za usiku wakuu bila shaka, mupo salama. Leo imekuwa siku mbaya sana kwangu baada ya kupokea taarifa za kifo cha rafiki yangu, gERVASS maarufu kama Baraka. Alikuwa anaishi maeneo ya Malamba Mawili, sehemu inaitwa Bwawani. Ni mitaa ambayo niliwahi kuishi pia. Baraka alihamia huko tangu...
  7. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Hizi ni ajali tatu zilizoniachia kumbukumbu mbaya zenye simanzi kwenye akili yangu

    Hizi ni ajali ambazo hadi leo zimeniachia simanzi na kumbukumbu mbaya kichwani mwangu. Sikupoteza ndugu wala mtu yeyote wa karibu ila ziliniumiza mno. 1. Ajali ya moto kwenye bweni la wasichana Shauritanga sec, Rombo Hii ajali ilitokea usiku wa tarehe 18 June 1994. Bweni lilishika moto na...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji 70m biashara yangu ya duka la vyakula imeshuka sana nifanye biashara ipi

    Wakuu mim nafanya biashara ya dukal la vyakula Sasa biashara imeyumba sana kutokana na ushindani kuwa mkubwa faida imepungua sana Wadau nifanye biashara ipi fursa inayoonekana hardware nlikua nafanya nayo tumekua wengi mno faida Kichwa kinawaka sjui nifanyaje
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya Kufungiwa Akaunti – Ajira Portal

    Napenda kuwasilisha malalamiko yangu hadharani kuhusu kufungiwa kwa akaunti yangu katika mfumo wa Mamlaka ya Ajira Tanzania (Ajira Portal) tangu mwezi Septemba 2025, bila kupatiwa maelezo ya kina wala taarifa rasmi inayoeleza sababu za hatua hiyo. Tangu kufungiwa kwa akaunti hiyo, nimefika...
  10. Kumfumaster97

    JamiiForums Tanzania Samsung A05s Yangu ina cuttoff internet wakati nimepigiwa simu msaada jinsi ya kufix

    Assalam Alleykum ndugu zangu natumai mko poa poleni kwa mfungo ,tuendelee kumwomba Mungu katika kipindi hiki Nashindwa kutumia internet pindi nikipigiwa simu ,msaada jinsi ya kufix hii shida wakuu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio siku nilipogundua rafiki yangu ni nyoka, wewe ulijuaje rafiki yako ni msalaliti ?

    Nilipata dili safi, nikamtafuta huyu ninayemwita “rafiki” twende tukapige kazi tugawane 50/50 kama wanaume. Kumbe mwenzangu ana roho ya korosho. Bila kuniambia neno, akaenda kwa boss aliyenipa kazi nyuma ya mgongo wangu. Kufika huko akauliza nimemchaji sh ngapi. Akaambiwa ile ile bei...
  12. Mgirik

    JamiiForums Tanzania Tafakuri yangu ndogo

    Kila jambo litatimia kwa wakati wake.
  13. Vien

    JamiiForums Tanzania Sehemu pekee naweza ruhusu mwanamke akawa juu yangu ni wakati wa sex tuu

    Habari wana JF, Naandika haya si kwa lengo la kudhalilisha mwanamke, bali kuweka wazi msimamo wangu kuhusu nafasi ya mwanaume katika jamii na familia. Katika mpangilio wa asili na kimajukumu, mwanaume amepewa jukumu la kuwa kiongozi. Uongozi si ubabe, si dharau, si kumkandamiza mwanamke- bali...
  14. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Ujasusi sebuleni kwetu: Itabaki kuwa thread yangu bora ya Wakati wote hapa JF

    Hii thread ililetwa humu miaka kadhaa nyuma na from nowhere kama coincidence nilikutana nayo. Hapo ndipo nilipo fall in love with jeiefu🤌🤌😎 Nadhani aliyeileta alikuwa anajiita bold. Sijui amepotelea wapi. Wewe thread yako Bora ya Wakati wote hapa jeiefu ni Gani?
  15. nzalendo

    JamiiForums Tanzania NImemkumbuka sana rafiki yangu Mwl.Chalamila (RIP)

    Huyu Mwalimu alikuwa muungwana sana,,,,ndio maana siku zote naamini mtu mwema huwa anaishi kwenye fikra na mioyo ya watu daima. Kwa kifupi tulifurahia sana maisha ya ujana tofauti na mimi yeye alikuwa siyo mtu wa kinywaji zake gahwa na fegi, Alikuwa ni mwenyeji wangu kila nilipokuwa nafika...
  16. Rick16

    JamiiForums Tanzania Nmeacha kazi bila kumshirikisha mwajiri, Je naweza Kupata NSSF yangu?

    Habari wakuu. Niliajiriwa kwenye sekta binafsi Kwa takriban miaka Saba. Sasa nmepata fursa ya kujiajiri hivyo ilinibidi niache kazi bila taarifa Kwa maana SEHEMU nliyoajiriwa ni ngumu Sana kuacha kazi. Imepita miezi minne Sasa na wameshanitoa kwenye payroll Yao Je nnaweza nikapata nssf yangu...
  17. comrade_kipepe

    JamiiForums Tanzania Jamaa yangu anaefanya kazi bank kubwa Tanzania kaniibia siri

    Huyu ni jamaa yangu wa mda sana, anafanya kazi bank kubwa hapa nchini, pia ana washkaji zake kwenye bank zingine. Leo kanishaningaa sana nilipopigwa na butwaa baada ya kuona mtumishi wa serikali anapush Bentley kwenye shughuli zake za kikazi, akaniambia broo "kwasasa watumishi wa gavoo wana...
  18. Mtoto wa nzi

    JamiiForums Tanzania Msaada WiFi haiungi kwenye Laptop yangu..

    Habari. Msaada tafadhali... Ofisini hapa tumejichanga tumenunua Router ya ZTE model K12 unlimited bundle. Sasa issue inakuja kwenye kuunga kwenye Laptop yangu Dell Latitude 3340. Wenzangu wote zimeunga fresh tu. Wifi zingine za ofisini zote naziona lakini hii tulionunua peke yangu ndio siioni...
  19. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Unaweza kuoa mama mwenye mtoto wa mwaka mmoja, halafu miaka 20 baadaye mtoto anakuambia: "Wewe si baba yangu" 🙄😏😏.Mnaotaka kuoa singo maza

    Unaweza kuoa mama mwenye mtoto wa mwaka mmoja, halafu miaka 20 baadaye mtoto anakuambia: "Wewe si baba yangu" 🙄😏😏. Mnaotaka kuoa singo maza kaujumbe hakoo Japo siyo wote ....
  20. U

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mkopo kwa ajili ya kuboresha shule yangu ya day care

    Habari ndugu wanaJF wenzangu mimi ni mgeni humu ndani. Nimejulishwa jukwaa hili na rafiki yangu wa karibu baada ya kumuelezea changamoto nazopitia katika ofisi yangu. Kiufupi ni kwamba mimi ni msichana umri miaka 25 nimemaliza shahada ya ualimu mwaka juzi. Baada ya kukaa mtaani kwa takrban...
Back
Top Bottom