Zee la madawa
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,866
- 4,388
Kuna Uvumi alikua PundaAlikua anafanya kazi?
Ooohoo...tena? Ndiyo akakutana na popohoes wa Hong Kong?Kuna Uvumi alikua Punda
Kwa mujibu wa idara za wambeaOoohoo...tena? Ndiyo akakutana na popohoes wa Hong Kong?
Tumsaidiaje Kama alihukumiwa kihalali ?
Akasaidiwe alikopeleka mboga...
Maneno yake ya oct bado yanazunguka vichwani
Huyu si alishabikia watu wakiandamana wavunjweAandike barua CCM aombe msaada
Si wanasema wanaccm na ndugu zao hakuna wanashindwa kitu hata kiwe nje ya Dunia
Sasa zamu ya mama yake kuvunjwaHuyu si alishabikia watu wakiandamana wavunjwe
Miguu
Ova
Ila ni muda sana alipigw mvua huko kwa wavimba macho,na mtangazaji angemuliza sababu ya mama yake kufungwa huko ni nini???Sasa zamu ya mama yake kuvunjwa