Bullshit
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,368
- 1,641
Natengeneza App ya AI ya kuchambua taarifa, kutoa ripoti na kutoa ushauri katika maswala ya fedha na uwekezaji., moja ya ya features zitakuwepo nahitaji App iwe inachambua maswala ya hisa za mtumiaji ambae amewekeza kwenye dse
Shida nimetafuta namna ya kupata API ya dse sioni . Naomba mwenye link au anaweza kunielekeza aniambie nawezaje kupata. Na gharama zaje ziko vipi
Asante
Shida nimetafuta namna ya kupata API ya dse sioni . Naomba mwenye link au anaweza kunielekeza aniambie nawezaje kupata. Na gharama zaje ziko vipi
Asante