chai ya rangi
JF-Expert Member
- Mar 7, 2026
- 1,041
- 3,089
Najua kuna vituo vyenye watangazaji bora na wakubwa sana lakini EATV ina combination kubwa sana
Kwenye burudani utakutana na Rich Msafi au mwanadada February Omary
Kwenye Michezo utakutana na Wastara Masese
Kwenye shiw za vijana na Gen-Z utakutana na Zeydan Thabit na Modoo ingawa pia dolly dolly ambae pia ni wa ipp anaweza kuwapa ushindani mkubwa sana
Kwenye Habari kuna Samson Charles
Huu ni mtazamo wangu binafsi ndugu zangu kwaiyo msinishambulie sana labda mnishambulie kidogo