WhatsApp Status yangu

WhatsApp Status yangu

Ndiyo nyie mnajifanyaga watu wazima 😀
Educated.. elite.. kisa hamuwekagi status
Tushajizeekea
5DA8EBF0-281B-4DC9-B316-77BEFDF1DF6D.jpeg
 
Nawapenda sana wapost memes… me kama
Mtu haweki memes au bible verses ajue sifunguagi status yake 😀

Mpaka nikupost birthday status… aloooo wee jipige kifua mara 3. Maana ntakuwa nakupenda sanaa 💕
I like when people do what makes them happy, mimi sio mpenzi wa kuupdate social status zangu ila napenda sana kucheki baadhi ya contacts zangu hasa meme lords na watu wangu wa karibu/ ndugu kwaajili ya kupata taarifa muhimu kama misiba/harusi n.k.
 
Status ukiwa mjinga mjinga unaweza kuexpose maisha yako..... ama mfano ..sijui umejenga, umepata kazi, cheo, n .k !
Pia ni sehemu ya mtu kusoma/kujua ufahamu wako kirahisi kulingana na yale unayoweka !

Kupitia hizo scenario 2 .. mm nimeshaacha kabisa kupost ....kuna watu hata Status zao sifungui kwa sababu najua maudhui nitakayokutana nayo....
 
Sahihi mkuu..ila nimegundua pia unaweza kuishi vizuri bila hata kutumia whatsapp. Nliwahi pata changamoto moja ikanifanya niwe nje ya whatsapp for a while,,nikazoea ile hali...nilivyo rejea nkakosa kabisa mzuka na whatsapp.

Nikaiondoa kabisa makusudi,,nimegundua i can live well bila whatsapp..watu wa karibu nawajuza tu imecollapse so kama kuna doc nitumiwe kwa email.

Simu ya ofisi binafsi ndo ina whatsapp kwa ajili ya matangazo ya biashara na kuwafikia wateja haraka.

Whatsapp inakutaka kila mara una scrow kuangalia yup kapost nini,,,
 
Back
Top Bottom