Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.
Dah Ndaro mchekeshaji maarufu Tanzania hasa kwenye mitandao ya kijamii kavuta ndinga kali Audi Q 6 yenye thamani ya shiingi million karibia 60.
Na hii ni ndinga yake ya pili.
Watu bongo wanapiga hela ndefu hata kuliko sisi wabeba box.
Million 60 siyo mchezo kibongobongo kwa gari tu.
Hii...
Habari zenu Mabro
Mda mrefu sana nimekuwa namatani hii kitu sasa huu mwaka nimedhamiria kabisa niongeze hii skills ya data analysis
Ili nikitoboa hili jalamba la Degree hapa niwe vyema kote kote
Mwaka huu nimeugawanya katika quarter 4 kila quarter moja najifunza Skills moja na niliyopanga...
Manze, inabidi tuchane ukweli mchungu bila kuficha makucha, kwa sababu hii hali is getting out of hand na ni some real-life fuckery.
Nimepiga kitabu mpaka nimevuta Masters yangu fresh, nikazama mtaani nikijua nina lock kila kitu, lakini kumbe nimeingizwa mjini na huu mfumo wa kishamba.
Hii...
Mwanangu hata sijui uko wapi kama uko hai ama vipi, na haya masekeseke yaliyotokea , tuliachana ulikua kwenye harakati za uchimbaji madini mgodi wa mwime kahama ulikua unapambana kweli kutafuta wadau wakupe tafu mmalizie muingie zone ya madini chini, ukapotea gafla mwanangu. ..
Je uko Salama...
Siku aliyokuwa anaongea na Taifa Stars baada ya kutolewa AFCON, nilimsikia anasema siku Ile ya mechi alikuwa amefunga kwa hiyo aliangalia mpira akiwa MEZANI anafuturu, nikajiuliza real RAIS Samia anafunga na kumwomba Mungu?
Nikajiuliza haya matukio ya watu KUTEKWA akiwa anaongea na Mungu...
Habari wadau wa Technologia natumai mko poa
Msaada wi-fi na hotspot hazifanyi kazi kwenye simu yangu nahii imetokea baada ya AC kuzingua sasa nimejaribu kureset mobile network lakini bado inaleta shida
Kama last year hivi mwanzoni niliingia ulimwengu wa mobile app baada ya kuwa kwenye web kwa kipindi kirefu. Sikuwahi kufanya Vibe coding hapo nyuma(programming kwa kutumia AI) kutokana na hizi program kutoa bugs nyingi kipindi cha nyuma, so muda mwingi unautumia kufix code baadala ya kutengeneza...
Nilikua mahala kwenye SIKUKU zetu hizi, nikiwa na jamaa YANGU tunapiga stori, akanijuza changamoto zake za mahusiano.
Changamoto kubwa ni kuhusu mpenzi wake kufahamiana na washikaji kibao akidai ni Wana TU wengine ni kaka zake, nothing else,
Jamaa hicho kitu kinamkera sana mpaka wanagombana...
Habari ya mwaka mpya 2026🔥 wakuu
Binafsi nimesikitika sana kuona jwtz wakiingia barabarani tena kwenye mkesha wa mwaka mpya 2026 huku nilipo.
Hii ni sawa na maumivu yanayotukumbusha yaliyotokea siku ya uchaguzi na baada ya uchaguzi.
Hivi kweli maisha yanaweza kuwa sawa tena kama tulikotoka.
Aiseeh!
1. Mungu mwenyewe anajua. Na yeye ndiye ataamua.
2. Moyo usinifanyie hivyo. Nimejikuta katika Hali ya kupatwa na simanzi nilipoiona video ya Jovin Yule kijana aliyembeba mhaini mwenzake aliyevunjwa miguu.
3. Video inamuonyesha Jovin akipokelewa huko kwao Arusha kama sijakosea.
4...
Habari wana Jamiiforums, Karibuni kusikiliza EP yangu mpya niliyotengeneza Kwa AI inaitwa Street codes, Ngoma Karibu zote ni melodic rap
Track 1: Hustle everyday
Track 2: life is simple
Track 3: Nipe kazi bro
Track 4: kitaa kinaongea
Track 5 : Sibanaba
Track 6 : Usiwe mzembe
Pamoja na yaliyotokea Mungu atuepushie. Ingawa hawa walio kwenye orodha waliingia baada ya damu za binadam kumwagikanhuko zamani
Wanasiasa wasitupeleke huku
Msaada namna ya kufuta kovu ambalo si la muda mrefu.Ndugu yangu kaunguzwa na toyo ilimlalia mguuni.Sasa amebaki na kovu,tunaomba msaada maelekezo ya dawa kwa anayejua tafadhari.
Asante.
Kwa Karne hii tunategemea tuone wazee wakitoa maonyo maangalizo ya nini tufanya na nn tusifanye ili kulinda uhai wetu ili hatimaye na sisi tuje tuzeeke tukiwa hai kama wao ila hii imekuwa tofauti kwa Hawa wazee wetu wa TEC kwa kweli hawapo katika kujenga, hawana uwezo wa kuonya dhidi ya mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.