yangu

Dragon Quest: Young Yangus and the Mysterious Dungeon is a prequel and spin-off to Dragon Quest VIII, developed by Cavia and published by Square Enix as part of the Mystery Dungeon series.

View More On Wikipedia.org
  1. Avith almachius

    JamiiForums Tanzania December 9 Ni Birthday Yangu

    INANIFIKIRISHA SANA NITOKE AU NISUBIRIE NIFWATE MAGETONI😔
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kama Mama hahusiki na kutoa amri za mauaji Kuna maswali yangu hapa

    Kama Mama hahusiki na kutoa amri kwanini baada ya kuzima internet haikurusiwa kurecord matukio kama nia ni njema Nini walikuwa wanaficha? La pili, kwanini kulikuwa na order ya kuzuiwa watu kuchukua maiti ya wapendwa wao na hili lilikuwa linafanyika nchi nzima na polisi
  3. Manjagata

    JamiiForums Tanzania Nini Kimemkuta ndugu yangu Paskali Mayalla a.k.a Mr. NJAA?

    Takribani sasa ni kama wiki nzima sijaona Post ya Mh. MR. Njaa. Nini kimemkuta Porti wangu jamani? Hii hotuba ya jana asingeacha kuandika chochote! Je, amejitathimini na kuona uchawa haulipi? Au Gen-Z wamemtisha?
  4. Mlume Ndago

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kubadilisha cheti changu kuzaliwa pamoja na baadhi ya herufi za majina yangu na mama yangu

    Habari wakuu, Poleni na msiba wa kitaifa tunaoendelea kuuomboleza. Moja kwa moja nijikite kwenye mada husika kwa kuwaomba msaada wa mawazo na ushauri kwa ujumla. Mimi nina cheti cha kuzaliwa lakini cheti changu ni cha zamani sana kimetoka tangu mwaka 1988. Katika cheti changu jina langu...
  5. mwenye shamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Naishauri Serikali na wananchi yafuatayo baada ya uchaguzi kumalizika

    Ndugu watanzania wenzangu, kwanza nitoe pole kwa watanzania wote kwa yale yaliyotokea. Nikiwa kama mtanzania nina haki ya kuishauri serikali yangu na wananchi wenzangu yafuatayo. (Neno langu sio sheria na siwezi kuwa sahihi kwa yote) 1. Serikali na chama cha mapinduzi (CCM) wajitafakari kwa...
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hofu kubwa zaidi ni CCM kufanikiwa kubaki madarakani baada ya hizi vurumai, itageuka hayawani katili zaidi. Tujipange!

    CCM ikifanikiwa kubaki madarakani kwa uchaguzi huu wa kiinamacho ulioharibika na baada ya machufuko yaliyotokea hali ya ukandamizaji itakuwa mbaya zaidi, nchi itaingia kwenye udikteta mbaya zaidi utakaorasimishwa kwa sheria mbaya zaidi za bunge la chama kimoja. CHADEMA itafutwa rasmi, viongozi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Kamishna Mkuu TRA: Nimefurahi kutimiza wajibu na haki yangu ya kikatiba ya kuchagua viongozi watakaoiongoza Tanzania

    Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda ameshiriki zoezi la kupiga kura leo tarehe 29.10.2025 jijini Dar es Salaam. Baada ya kumaliza zoezi hilo amesema "Nimefurahi kutimiza wajibu na haki yangu ya kikatiba ya kuchagua viongozi watakaoiongoza Tanzania katika...
  8. MK254

    JamiiForums Tanzania Jamaa yangu huko Bongo ni CCM kindakindaki ila kwa Kenya husifia sana upinzani

    Huwa siwaelewi baadhi ya Watanzania, kuna huyu mshikaji huwa namuona anavyosifia CCM na ni mwanachama kindaki ndaki wa chama tawala, ila humkosi kwenye ufuatiliaji wa kila kinachofanywa na wapinzani Kenya, husifia sana na kushabikia matukio yote ya upinzani ikiwemo ukosoaji wa serikali na hata...
  9. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Amiri jeshi Mkuu ambae hawezi kutoka na Kukemea utekaji na Mauaji napata wakati Mgumu kumpa kura Yangu

    Amirijeshi Mkuu ambae hawezi kutoka na Kukemea utekaji na Mauaji ya wananchi wake ananipa wakati mgumu sana kumpa kura yangu maana huai wa wananchi wake sio kipaumbele chake ndo maana hawezi kutoka na kukemea. Je, huyu nikimpa kura yangu hataweza kunilinda hata nikimkosoa?
  10. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Nchi yangu inafuka moshi, wazima moshi msitumie moto kuuzima moshi, Embu tumieni Meza ya mazungumzo!

    Ukweli usiopingika, Nchi hujengwa na umma wa wote Linapotokea tishio lolote aidha la kijamii au tishio la nchi na serikali, kubwa kabisa la kutizama, Ni kupima athari za jambo hilo kwa haraka na kisha kuchukua hatua, sijawahi kukubaliana na yeyote, eti anishawishi kwamba, iko faida katika...
  11. R

    JamiiForums Tanzania "..Nayafakari sana Kuusiana na miungurumo hii ninayoisikia kuelekea OCTOBER 29"

    Heloo jf Nimeamka leo hii nikajikuta nikiwa katika hali ya tafakari sana!🤔🤔🤔🧐 Nimejikuta natafakari matokeo ya vita vya Kongo!🤔 Nikitafakari pia vita vya Rwanda!😤 Nikitafakari vita vya urusi na ukrein!🤯 Nikitafakari vita vya israeli na palestini!🥵 Mwisho nimejikuta nazama zaidi kuitafakari nchi...
  12. Criss

    JamiiForums Tanzania Atakaeyenda kupiga kura ajue amefuta utegemezi wake kwangu ndani ya miaka 5

    Kwa huzuni sana nimelazimika kuweka status kuwa mwanafamily yeyote ambae kwa namna moja ama nyingine kutokana na tamaduni zetu kiafrica wenye nafuu huzisaidia jamii zao mimi kwangu nimetoa angalizo kwa yeyote atakae kwenda kushiriki kupiga kura ajue nitasitisha msaada wangu kwao. Kwa watoto wao...
  13. Chamoto

    JamiiForums Tanzania Mwananchi: CCM Wanamuona Wasira kama kijana wa miaka 25. Wameshindwa kabisa kuelewa kwamba akili yake imezeeka

    Ustaadhi kagongelea hapo kwamba CCM ya wanamuona Wasira ndio damu yao inayochemka. Wanamuona kama kijana wa miaka 25. Wameshindwa kabisa kuelewa kwamba akili yake imezeeka. Hawezi kwenda na kasi ya kizazi cha sasa. Ndio maana kila akisimama jukwaani, anaongea Pumba. Mzee anajua neno moja tu...
  14. Joseph 44

    JamiiForums Tanzania PS4 yangu ya Kichina haikubali akaunti yangu, naomba msaada kutatua tatizo

    Kama uzi unavyojieleza ni kuwa nina ps4 slim yangu mpya ya kutoka china sasa kuna siku nimeamua ni sign in kwenye account yangu ya marekani sasa cha ajabu kila nikisign in inaandika "cannot use this account with this ps4" nimeshindwa kabisa kuelewa nimejaribu kucreate account mpya lakini...
  15. Rico redi

    JamiiForums Tanzania Pira pantev maoni yangu

    Alihamdulilah tumeshinda Kipindi cha kwanza nilishindwa kuelewa hata kidogo game plan ya mwalimu ya pale kati kuwepo Camara tu mbaya zaidi akichezeshwa kama no 6 binafsi mi ni muumini wa traits binafsi za mchezaji then ndo yafuate maelekezo ya mwalimu Camara ni mzuri zaidi kwenye kuchezesha timu...
  16. 4

    JamiiForums Tanzania Mawazo yangu huru juu ya Taifa letu; Tusibeze mbele ya Mungu wangu halazimishwi mtu

    Wakuu leo sina mengi ila amani ya Bwana ikawe kwa kila mmoja wetu katika haki na usawa. Rejea mada tajwa hapo juu, Taifa hili letu wote na ndo sie wa kuliponya au kulipa majeraha, hivyo nimeona ni vyema shauri yafuatayo na sio lazima kukubaliana nayo. 1. Uchaguzi usitishwe Rais aliepo...
  17. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Heri ya siku yangu ya kuzaliwa

    Hey guys, siku kama ya leo ni siku ambayo mimi nilizaliwa hivyo sina budi kuifurahia. Happy birthday to me 🎂😝🎂
  18. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Wanawake hizi tabia mkiwa na ujauzito ni za kweli au ni madharau? wife anasema harufu yangu ina mkera!!

    Mimi wife kila akiwa mimba haishiwi vituko asee nimewahi agizwa embe bichi usiku wa maneno Mungu saidia nilipata kaembe kachanga na kadogo japo ilikuwa kwa binde sana. Uzi huu hapa...
  19. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Elfu 30 yangu nimeitunza kabisa ya kula siku tano mfulilizo

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Sisi ambao ni mpaka uingie mjini ndo upate hela ya kula yaan usipoingia mjini basi huli, huwa mda mwingi ni waoga sana. Baada ya leo kupata habari kwamba Tesha katikisa nchi kama ilivyokuwa imetapakaa huko mtaan, nikaenda kwa wadeni wangu...
  20. Isenye

    JamiiForums Tanzania Ungekua ni wewe umeletewa hii kesi ya jamaa yangu na mkewe ungeisuluhisha vipi?

    Kuna jamaa yangu kanishirikisha kisa chake na mkewe ili nimpe ushauri. Kisa chenyewe ni hiki,huyu jamaa yangu alisafiri kikazi huko mkoani akakaa kama wiki tatu hivi. Sasa karudi juzi home kwake kakuta mkewe kajinyoa mavvvvzi yote. Jamaa anasema utaratibu wao waliojiwekea ni kuwa wananyoana...
Back
Top Bottom