Yanga Mliona mbali sana Mapinduzi Cup

Muite shosti bitozi, muite mpoki na joti....muite poti na soja muite, muite

Muite vina kikosi, tujumuike pamoja muite
 
Kama sio Yanga kutoyapa uzito basi fainali ilipangwa iwe simba na Yanga.

Yanga alibebewa mbeleko ya chuma na bado akaitoboa, akaanzisha vikosi vya hovyo awapime wachezaji wake.

Simba nae akaona ebana eeh hapa nisiache hili kombe, mbeleko yoyote ntayobebwa nayo naishikilia.
Kabebwa nae kapita.

Vivyo hivyo kwa mlandege nae mbeleko mpak kapita.

Malengo yao ya kutaka fainali iwe Yanga na simba yamefeli, wameona bor basi wambebe anaebebeka.

Mechi ya fainali itakua ni ya kukata na shoka, hakutakua na upendeleo wowote.
 
Yanga haikuyapa UMUHIMU MASHINDANO Haya
Acha kupingana na Miguel we shabiki wa supu, kama wewe hukuyapa umuhimu basi Gamondi yeye aliyapa umuhimu, hadi sasa bado yupo zenji analitaka kombe 😂
 
Attachments

  • 1704732218203.jpg
    1704732218203.jpg
    326.8 KB · Views: 1
Huu ni Mfano tu wa Makasiriko ya Uto.... Hivyo ewe MwanaLunyasi ukiwa Karibu na Utopolo chukua Tahadhari..

Hivi Sasa Wana Hasira Sana...

Ila tu hawajui Leo Wamlaumu Nani .?
Kagere?
Refa.?
Au Kamisaa kwa Kuongeza muda..!
 
Kama sio Yanga kutoyapa uzito basi fainali ilipangwa iwe simba na Yanga.

Yanga alibebewa mbeleko ya chuma na bado akaitoboa, akaanzisha vikosi vya hovyo awapime wachezaji wake.

Simba nae akaona ebana eeh hapa nisiache hili kombe, mbeleko yoyote ntayobebwa nayo naishikilia.
Kabebwa nae kapita.

Vivyo hivyo kwa mlandege nae mbeleko mpak kapita.

Malengo yao ya kutaka fainali iwe Yanga na simba yamefeli, wameona bor basi wambebe anaebebeka.

Mechi ya fainali itakua ni ya kukata na shoka, hakutakua na upendeleo wowote.
nimechekaaa balaaa
 
"Hii mimba sikuwa na malengo nayo."

Alisikika binti aliyeenda kwa mwanaume na kuingiliwa mara tatu katika siku zake za hatari akiwa kanyoa na kusafisha maeneo muhimu huku akisisitiza usitumike mpira wakati wa tendo kwani hapendi harufu yake.
 
Kikundi cha Malalamiko na Lawama (KIMALA) Mmeamkaje huko, Sisi huku bado tunashangilia kutinga fainali

Mkimaliza kulalamikia jambo lisilowahusu nendeni mkawapokee wenzenu wanarudi leo
 
Kama sio Yanga kutoyapa uzito basi fainali ilipangwa iwe simba na Yanga.

Yanga alibebewa mbeleko ya chuma na bado akaitoboa, akaanzisha vikosi vya hovyo awapime wachezaji wake.

Simba nae akaona ebana eeh hapa nisiache hili kombe, mbeleko yoyote ntayobebwa nayo naishikilia.
Kabebwa nae kapita.

Vivyo hivyo kwa mlandege nae mbeleko mpak kapita.

Malengo yao ya kutaka fainali iwe Yanga na simba yamefeli, wameona bor basi wambebe anaebebeka.

Mechi ya fainali itakua ni ya kukata na shoka, hakutakua na upendeleo wowote.
Ngoja tusubiri
 
Hili kombe walilitaka lakini ujinga, dharau na kujiona bora kuliko wengine wakatolewa mapema.

Walioangwa hata kundi la mchongo lakini wapi.
APR 3-1 Yanga

Hakuna kisingizio, historia iliandikwa na record imewekwa.
Screenshot_20240108-133159.jpg
 
Back
Top Bottom