Ni aibu..Nimetazama kwa makini hapa sijaona jezi ya Yanga

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,834
18,837
Licha ya kujaza Wacongoman kibao kwenye timu yao, sijaona jezi ya Yanga kwenye picha hii ya wachezaji wa timu ya taifa ya DRC wakiwa na jezi za club zao
Tunasajili magasa tu?
Screenshot_20240111-170250.png
 
Congo ina wachezaji wengi ulaya so wa ligi za africa hawana nguvu sana kwenye timu zao za taifa labda nchi kama tanzania ambao hatuna mastaa wengi ulaya

Sent from my Infinix X663 using JamiiForums mobile app
 
Imeulizwa jezi ya Yanga ndugu, mbona umeirukia Simba?
Point yake ilikuwa ni wakongo wa Yanga ni magarasa kisa hawajaitwa timu ya taifa ya Congo, au umeishia tu kusoma kichwa cha habari? Namkumbusha tu Baleke, Inonga na Ngoma wote hao ni wa Congo na hawajaitwa sasa ishu ya magarasa mtajua nyie na umbumbu wenu.
Kanoute na Diarra wote ni raia wa Mali lakini Kanoute anacheza ndondo cup ya Mapinduzi wakati Diarra yupo na timu ya taifa. Mwasibu wa Rage fc mnatumia nini kufikiria kuanzisha nyuzi za kitoto?
 
Licha ya kujaza Wacongoman kibao kwenye timu yao, sijaona jezi ya Yanga kwenye picha hii ya wachezaji wa timu ya taifa ya DRC wakiwa na jezi za club zao
Tunasajili magasa tu?
View attachment 2868572
We kolo kwa nini unazungumzia Kongo tu? Wachezaji wote wa Simba na Yanga wana timu zao za Taifa, vipi wote walioachwa ni Magarasa? Kwa hiyo wote waliobaki Simba ni Magarasa? Nadhani una changamoto za kufikiri
 
Back
Top Bottom