Yanga ikiingia robo fainali inaweza kuipaisha Simba katika rank za CAF na FIFA

SAYVILLE

JF-Expert Member
Mar 25, 2010
5,129
7,898
Huu unaweza kuwa uzi wangu wa mwisho kwa mwaka 2023 na nataka nimalize mwaka kwa ujumbe chanya. Wenye akili zao watausoma na yale watakayoona ni mazuri wataenda kuyafanyia kazi.

Yanga na Simba bado wako kwenye mbio za kufuzu kwenda katika robo fainali ya klabu bingwa ya Afrika. Yanga hajacheza robo fainali ya Klabu Bingwa toka mwaka 1970. Matokeo ya mechi ya kiporo ya CR Belouizdad vs Al Ahly yatatoa mwanga wa ugumu iliyonayo ili kusonga mbele. Vyovyote itakavyokuwa, CRB itakuja kucheza na Yanga ikiwa inahitaji matokeo kwa njia yoyote ile.

Wakati huo huo, kama mnakumbuka mwaka 2018, Mo Dewji aliwahi kutamka kwamba nia na ndoto yake ni kuiona Simba ikiwa moja ya timu 10 bora barani Afrika, malengo ambayo yameshafikiwa katika rank zote za CAF na FIFA.

Ukiangalia rank za CAF na FIFA (rank ya CAF ya miaka 5 na rank ya FIFA ya Kombe la Dunia kwa vilabu), CRB akitolewa na Yanga hatua hii ya makundi halafu Simba akashinda mechi zake 2 za makundi na akasogea walau nusu fainali, kwa kuzingatia point itakazokuwa imekusanya Simba itapanda katika rank zote za CAF na FIFA hadi nafasi ya 5 kwa ubora Afrika. Kuna uwezekano mkubwa wa Simba kukutana na TP Mazembe hatua ya robo fainali, timu ambayo Simba inaimudu.

Kwa manufaa mapana ya mpira wetu, unaona wazee wa Kariakoo wakikaa chini na kusuka mbinu za pamoja kwa faida ya pande zote mbili? Kufungwa kwa CRB dhidi ya Al Ahly na Yanga inaweza isiwe sababu ya huzuni sana kwa wanasimba na badala yake inaweza kuwa ni chanzo cha furaha kwetu kama Simba itacheza mechi zake zinazofuata vizuri na kuwa timu ya 5 kwa ubora Africa. Na hauwezi jua, tunaweza kukutana nusu fainali tukamkanda uto vizuri tu kiutu uzima.

Niliwahi kuuliza nini kinazuia timu hizi mbili kushirikiana?
 
Rage ajengewe mnara wake kabla ya mwaka kupinduka. Umehangaika na hesabu zako hewa umejiangushia kwa Tp Mazembe.
Sasa itazame Simba Tangu imeanzishwa iwe kwenye ubora au iwe kama ilivyo Sasa, Iwe nyumbani au Ugenini Kuna mwaka ilishawahi kumfunga Mazembe au kutoa sare pale Lubumbashi?
 
Huu unaweza kuwa uzi wangu wa mwisho kwa mwaka 2023 na nataka nimalize mwaka kwa ujumbe chanya. Yanga na Simba bado wako kwenye mbio za kufuzu kwenda katika robo fainali ya klabu bingwa ya Afrika.

Yanga hajacheza robo fainali ya Klabu Bingwa toka mwaka 1970. Matokeo ya mechi ya kiporo ya CR Belouizdad vs Al Ahly yatatoa mwanga wa ugumu iliyonayo ili kusonga mbele. Vyovyote itakavyokuwa, CRB itakuja kucheza na Yanga ikiwa inahitaji matokeo kwa njia yoyote ile.

Wakati huo huo, kama mnakumbuka mwaka 2018, Mo Dewji aliwahi kutamka kwamba nia na ndoto yake ni kuiona Simba ikiwa moja ya timu 10 bora barani Afrika, malengo ambayo yameshafikiwa katika rank zote za CAF na FIFA.

Ukiangalia rank za CAF na FIFA (rank ya CAF ya miaka 5 na rank ya FIFA ya Kombe la Dunia kwa vilabu), CRB akitolewa na Yanga hatua hii ya makundi na Simba akashinda mechi zake 2 za makundi na akasogea walau nusu fainali (kuna uwezekano mkubwa wa Simba kukutana na TP Mazembe hatua ya robo fainali, timu ambayo Simba inaimudu), Simba itakuwa ni timu ya 5 kwa ubora Afrika kwa rank zote za CAF na FIFA.

Kwa manufaa mapana ya mpira wetu, unaona wazee wa Kariakoo wakikaa chini na kusuka mbinu za pamoja kwa faida ya pande zote mbili?

Yanga is the best team in Africa
 
Rage ajengewe mnara wake kabla ya mwaka kupinduka. Umehangaika na hesabu zako hewa umejiangushia kwa Tp Mazembe.
Sasa itazame Simba Tangu imeanzishwa iwe kwenye ubora au iwe kama ilivyo Sasa, Iwe nyumbani au Ugenini Kuna mwaka ilishawahi kumfunga Mazembe au kutoa sare pale Lubumbashi?
Ratiba ilivyo ndiyo naiona TP Mazembe kama timu inayoweza kuja kukutana na Simba. Hatua za mtoano ni za mahesabu zaidi, unaweza kushinda mechi moja ukafungwa ya pili na bado ukapita. Kwa hilo nililosema kutimia, muhimu Simba ipate ushindi mechi moja ya robo fainali na ifuzu hatua inayofuata.

Simba ya msimu huu imeweza kupata sare ugenini mbele ya Al Ahly, Power Dynamos na karibia sare dhidi ya Wydad, haiwezi kushindwa kupata matokeo kwa TP Mazembe.
 
Huu unaweza kuwa uzi wangu wa mwisho kwa mwaka 2023 na nataka nimalize mwaka kwa ujumbe chanya. Yanga na Simba bado wako kwenye mbio za kufuzu kwenda katika robo fainali ya klabu bingwa ya Afrika.

Yanga hajacheza robo fainali ya Klabu Bingwa toka mwaka 1970. Matokeo ya mechi ya kiporo ya CR Belouizdad vs Al Ahly yatatoa mwanga wa ugumu iliyonayo ili kusonga mbele. Vyovyote itakavyokuwa, CRB itakuja kucheza na Yanga ikiwa inahitaji matokeo kwa njia yoyote ile.

Wakati huo huo, kama mnakumbuka mwaka 2018, Mo Dewji aliwahi kutamka kwamba nia na ndoto yake ni kuiona Simba ikiwa moja ya timu 10 bora barani Afrika, malengo ambayo yameshafikiwa katika rank zote za CAF na FIFA.

Ukiangalia rank za CAF na FIFA (rank ya CAF ya miaka 5 na rank ya FIFA ya Kombe la Dunia kwa vilabu), CRB akitolewa na Yanga hatua hii ya makundi na Simba akashinda mechi zake 2 za makundi na akasogea walau nusu fainali (kuna uwezekano mkubwa wa Simba kukutana na TP Mazembe hatua ya robo fainali, timu ambayo Simba inaimudu), Simba itakuwa ni timu ya 5 kwa ubora Afrika kwa rank zote za CAF na FIFA.

Kwa manufaa mapana ya mpira wetu, unaona wazee wa Kariakoo wakikaa chini na kusuka mbinu za pamoja kwa faida ya pande zote mbili?

Niliwahi kuuliza nini kinazuia timu hizi mbili kushirikiana?
Nusu fainali mtafika kwa timu ipi Sheikh wangu!! Tuwe tu wakweli wakati mwingine.
 
Tatizo lako ni ushabiki uliokaa kwenye ubingo
 
Uwe na akili timamu wewe, kumbe Rage alikuwa sahihi kuwaita nyie mbumbumbu. Yanga wamemfunga hao TP mazembe majuzi tu hapa. Ila nyie mlimfunga lini Hadi useme unawamudu?
Screenshot_20231228-164305.jpg
 
Nusu fainali mtafika kwa timu ipi Sheikh wangu!! Tuwe tu wakweli wakati mwingine.

Tatizo lako ni ushabiki uliokaa kwenye ubingo

Uwe na akili timamu wewe, kumbe Rage alikuwa sahihi kuwaita nyie mbumbumbu. Yanga wamemfunga hao TP mazembe majuzi tu hapa. Ila nyie mlimfunga lini Hadi useme unawamudu?View attachment 2855605
Muwe na akiba ya maneno, nina tabia ya kutag watu na kuwakumbusha walichosema siku za nyuma
 
Huu unaweza kuwa uzi wangu wa mwisho kwa mwaka 2023 na nataka nimalize mwaka kwa ujumbe chanya. Yanga na Simba bado wako kwenye mbio za kufuzu kwenda katika robo fainali ya klabu bingwa ya Afrika.

Yanga hajacheza robo fainali ya Klabu Bingwa toka mwaka 1970. Matokeo ya mechi ya kiporo ya CR Belouizdad vs Al Ahly yatatoa mwanga wa ugumu iliyonayo ili kusonga mbele. Vyovyote itakavyokuwa, CRB itakuja kucheza na Yanga ikiwa inahitaji matokeo kwa njia yoyote ile.

Wakati huo huo, kama mnakumbuka mwaka 2018, Mo Dewji aliwahi kutamka kwamba nia na ndoto yake ni kuiona Simba ikiwa moja ya timu 10 bora barani Afrika, malengo ambayo yameshafikiwa katika rank zote za CAF na FIFA.

Ukiangalia rank za CAF na FIFA (rank ya CAF ya miaka 5 na rank ya FIFA ya Kombe la Dunia kwa vilabu), CRB akitolewa na Yanga hatua hii ya makundi na Simba akashinda mechi zake 2 za makundi na akasogea walau nusu fainali (kuna uwezekano mkubwa wa Simba kukutana na TP Mazembe hatua ya robo fainali, timu ambayo Simba inaimudu), kwa kuzingatia point itakazokuwa imekusanya, Simba itakuwa ni timu ya 5 kwa ubora Afrika kwa rank zote za CAF na FIFA.

Kwa manufaa mapana ya mpira wetu, unaona wazee wa Kariakoo wakikaa chini na kusuka mbinu za pamoja kwa faida ya pande zote mbili? Kufungwa kwa CRB dhidi ya Al Ahly na Yanga inaweza isiwe sababu ya huzuni sana kwa wanasimba na badala yake inaweza kuwa ni chanzo cha furaha kwetu kama Simba itacheza mechi zake zinazofuata vizuri na kuwa timu ya 5 kwa ubora Africa (na hauwezi kujua, tunaweza kukutana nusu fainali tukamkanda uto vizuri tu kiutu uzima).

Niliwahi kuuliza nini kinazuia timu hizi mbili kushirikiana?
Simba na Yanga zitafute kwanza kombe lolote la Africa.
 
Ratiba ilivyo ndiyo naiona TP Mazembe kama timu inayoweza kuja kukutana na Simba. Hatua za mtoano ni za mahesabu zaidi, unaweza kushinda moja ukafungwa ya pili na bado ukapita. Kwa hilo nililosema kutimia muhimu Simba ipate ushindi mechi moja na ifuzu hatua inayofuata.

Simba ya msimu huu imeweza kupata sare ugenini mbele ya Al Ahly, Power Dynamos na karibia sare dhidi ya Wydad, haiwezi kushindwa kupata matokeo kwa TP Mazembe.
Kama Mamelodi sundowns alipigwa Lubumbashi wewe na hio timu yako ya ku draw KMC utaweza?
 
1998 YANGA ALICHEZA ROBO FAINALI YA CHAMPION LEAGUE, KWA WAKATI ULE HATUA YA ROBO ILIKUWA INAWEKWA KWA MFUMO WA MAKUNDI.
Kwa rekodi rasmi yale yalikuwa bado ni makundi na siyo robo fainali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom