Wengi mmejikuta mnaangalia hatma ya Yanga kwa kuangalia tu mechi mbili za Yanga dhidi ya CRB na ile ya mwisho dhidi ya Al Ahly. Hakuna ambaye amewaza ni jinsi gani Medeama anaweza kuwa msaada mkubwa kwa Yanga.
Ukweli ni kuwa Yanga ni ngumu sana kuvuka kwa kucheza mechi zake pekee maana kama...
Wawakilishi wa Tanzania, Simba watakuwa dimbani wakisaka ushindi
Ijumaa, Saa 4:00 usiku, Mnyama Simba SC atakuwa ugenini kuwavaa Asec Mimosas
Dondosha maoni na utabiri wako kuhusu mchezo huu
Kikosi cha Simba SC kinachoanza leo
Kikosi cha Asec Mimosas kinachoanza leo
Mchezo umeanza
Dakika...
Huu ndio utabiri wangu simba na yanga wote watasare michezo yao, kulingana na wapinzani wanaocheza nao nimetizama kwa jicho la kiufundi sion hata mmoja wao akichukua alama zote tatu.
Asec vs simba 0 - 0ft
Yanga vs belouzdad 1 - 1 ft
Kwa wale wote waliwahi kuzionja goli 5 kutoka kwa Young Africans bila shaka watakuwa wanauelewa utamu wake namna ulivyo!
Kama ulikula keki vipande 5 na bado hukuridhika,basi usiwe na shaka wewe jiandae na Birthday nyingine lazima utakula na utashiba!
Kazi ya Yanga ni kuhakikisha kila mualikwa...
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 ASFC
⚽️ Young Africans SC🆚Polisi TZ
📆 20.02.2024
🏟 Azam Complex
🕖 1:00 Usiku
Kikosi kinachoanza dhidi ya Polisi Tanzania
Mpira umeanza
Dakika ya 13
Goaaaaaaaal Guedeeeee
Dakika 45+1
Chuma cha piliii Farid Mussa⚽️🙌🏼
Dakika ya 45 niongeza 2
Gwedeeee goli la tatu dakika ya 46...
Meneja Habari na Mawasiliano wa Klabu ya Yanga Ali Kamwe, amewataka mashabiki wa Klabu ya Yanga kujipaka Bleach kwenye mechi ya Jumamosi.
Ali Kamwe amesema,
"Mtoko wa Jumamosi ni PACOME DAY 𝐊𝐢𝐭𝐚𝐚𝐥𝐚𝐦𝐮 𝐙𝐚𝐢𝐝𝐢 .. Mwanayanga piga Breach kichwani. Piga Breach kwenye ndevu.. chora rangi shavuni...
"We have two finals left against Medeama and Yanga SC. We will play those games like never before.” — Marcel Koller Al Ahl coach
My Take
Naomba nisihusishwe vyovyote na kipigo cha Utopolo. Nawatakia kipigo chema.
NBCPremierLeague
️ KMC SC Vs Yanga SC
17.02.2024
Jamhuri Morogoro
10:00 jioni
Kikosi kinachoanza dhidi ya KMC FC
Mpira umeanza
dakika ya 1
Mudathir anaipatia Yanga SC goli la kwanza
Goli la mapema zaidi, limefungwa na Mudathir Yahya akiitanguliza Yanga
KMC 0-1 Yanga
Dakika ya 10...
Waarabu mchawi wao jua tu
Mamelodi na makali yake ila akiona kapangiwa waarabu tu. Mechi huwa anaweka saa tisa Pretoria. Jua kali maana anajua jua Waarabu hawaliwezi.
"Sisi Yanga SC siyo Timu ya Kulialia na Kudekadeka kama Wengine kuomba Mechi zao za Ligi zisimamishwe wakidhani hivyo Viporo vyao watavila wakati Yanga SC tumejiandaa kuhakikisha Viporo vyao vyote Vinachacha na Vitachacha. Yanga SC tutaendelea kucheza Ligi na kucheza Mechi za Kimataifa ili...
Tuhuma za Yanga kutupia majini wachezaji wake imenikumbusha nyuma kidogo. Imenikumbusha nyakati kina Ngasa, Ajibu, Domayo, Niyonzima (orodha ni ndefu) wakati wanaondoka Yanga.
Wakiwa kwenye piki wakataka kwenda kwingine kutafuta maisha mazuri zaidi ya waliyopata Yanga. Wote hawa walitamani...
Fiston Mayele yuko sahihi kwa 100% kwani Waganga Wawili Wakubwa wa Yanga SC mmoja akitokea Kisiwani Zanzibar na mwingine akitokea Kusini ( Mtwara na Lindi ) ni tatizo na sababu ya Kinachomkuta.
Taarifa za uhakika ambazo GENTAMYCINE nimepewa na Mmoja wa Wachezaji wa Ndani ( Mzawa ) wa Yanga SC...
Mayele anatafuta kiki laiti angejua pale Yanga kapita Papii Shabani Nonda Mkongo DR Kama yeye Wala asinge bwabwaja Ila kwasababu hadi kusaka rizki ni kiki sisi Kama Wananchi wenye timu yao na utamaduni wao tunamtakia Kheri Ila tunamkumbusha tu kuwa karata aliyechagua ni garasa siyo turufu aibu...
Leo unasema umechoka na majini. Kipindi kile yanakusaidia hukuchoshwa nayo? Waulize wenzio sasa. Muulize Feisal si una namba yake. Waulize wengi tu ambao wamepita Yanga wakatengenezwa wakajifanya wajuaji. Uliza wapo wapi mbwa wewe. Sisi ndo tumekujenga.
Siyo kwa ubaya, wala si kwamba hawajui kazi ya urefarii!
Lakini ukweli ni kwamba maamuzi yao yamekuwa yakigumbikwa na makandokando mengi kwenye mechi zinazovuta masikio ya wapenzi wrngi!
Ukiona marefarii wafuatao wamepangwa kuamua mechi kubwa nakushauri zima TV ukalale!
1. Jonesia Rukya
Huyu...
TFF na vilabu vya mpira utoa official pole kwa wanamichezo tu. Lakini mpira siyo jambo linaweza kutengwa na siasa au jamii. Niwakumbushe wanamichezo kutoa salamu za pole kwa Lowasa na kuendelea na utamaduni huo.
Waache kujikita kwenye michezo wajihusishe pia na jamii kwenye mambo Mtambuka...
Nimejaribu kuangalia ratiba ya mechi ya Yanga dhidi ya Belouizdad, nimeshangaa kuona mechi inapigwa saa moja usiku. Hivi kweli mnataka kushinda mechi halafu mnawawekea mazingira rafiki mpinzani wako? Mamelod ni timu kubwa zaidi ya Yanga lakini huwezi kuona wanawachezesha waarabu usiku, bali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.