yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. M

    JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga na CCM vs CHADEMA

    Ipo hivi Simba ikiwa inacheza na mwadui FC na Simba ikashinda zomea zomea na maneno mengi yatarushwa kwa Yanga ambao hawahusiki na mechi husika ndivyo hivyo hivyo Yanga ikiwa inacheza na lipuli fc na ikashinda tambo zinapelekwa kwa Simba hali kadhalika wakifungwa tambo zinakuwa hivyo hivyo...
  2. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Yanga na Simba unazi wa zamani: Kisa cha Mzee Mangara Tabu na Ayubu Kiguru

    YANGA NA SIMBA UNAZI WA ZAMANI: KISA CHA MZEE MANGARA TABU NA AYUBU KIGURU Nina rafiki yangu anaitwa Kazua leo asubuhi kanipa kisa cha Mzee Mangara Tabu na Ayubu Kiguru. Wakati wa ujana wake Kazua alikuwa mkoba, yaani "centre half," wa Dundee United. Leo mimi na sahib yangu Kazua akitutokea...
  3. Tango73

    JamiiForums Tanzania Usajili wa Yanga kila mwaka hauridhishi kiu ya washabiki, kulikoni?

    Bila kuficha usajili wa yanga una kasoro kubwa sana kila mwaka. Hivi ni kwa nini yanga hupenda kusajili asilimia kubwa mitumba mikubwa kutoka nje ya nchi na kudharau wachezaji wenyeji? Hii dhana ya kufikiria eti ukijaza wageni wengi ndani ya timu kuna manufaa kuliko kusajili wachezaji wetu wa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Taarifa za uhakika nilizonazo Manara ndiye anaihujumu Simba SC kila ikicheza na Yanga SC atimuliwe

    Msemaji wa Simba SC Haji Manara binafsi nakuheshimu mno na nisiwe pia Mchoyo wa Kukusifia na Kukupongeza kuwa ndani ya Klabu ya Simba nawe umeweka Alama yako ya Mchango wako mkubwa wa Kuitangaza vyema Simba SC na kuwa Brand hivi ilivyo sasa. Hata hivyo Msemaji wa Simba SC Haji Manara leo...
  5. Ghazwat

    JamiiForums Tanzania FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

    Naaaam..! Hujambo na Karibu kwenye Matangazo ya Habari za Michezo, Burudani na Uchambuzi. Patashika ya Ligi Kuu Tanzania Bara kuendelea kupigwa leo Jumamosi ya July 3, 2021, ambapo mchezo unaobeba hisia za mashabiki wengi Tanzania na nje ya Tanzania kati ya Watani wa Jadi, Kariakoo Derby...
  6. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Kunguru kuonekana uwanjani kabla na baada ya mechi ya Simba SC vs Yanga SC

    Ushirikina utakaotumika kesho ni njiwa wengi walizoea PAKA aka mapaka kesho roho za bahati mbaya zitatumia njiwa. Njiwa hawa watatolewa kabla ya mechi na HT nayo watatoa Salute. Baada ya mechi watawaaga kwa heshima na kurudi walipokuwa All the best
  7. C

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa kigoma aipiga yanga mkwara aipa masharti mazito la sivyo watakoma

    Msije kusema hamkuambiwa maana baada ya mzee mpili kukutana na injinia hersi ofisini kwake na kupewa hela za kwenda kushughulikia majini ya huko ikwiriri mkadhani mmemaliza kumbe lile jamaa la kigoma nalo mlilipa kazi halfu mmelipotezea. Hii ndo yanga tunayoijua sisi siyo kila siku mnajifanya...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Jinsi makanjanja ya magazeti/tv/redio yanavowapa raha Wanayanga

    Amini usiamini hiki ni kile kipindi ambacho makanjanja ya redio/tv na magazeti huwa yanawawapa raha za kufa mtu wana jangwani, raha huongezeka pia pale MITAMBO YA MAGOLI inaposhuka airport na kupokelewa kwa mbwembwe na misafara ya magari hadi mitaa ya twiga na jangwani Kuna hali ya furaha sana...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu Kikwete unapata Faida gani Kujionyesha Wewe ni mwana Yanga SC sana na kuwa na 'Kiherehere' Kuhudhuria Mikutano yao?

    Marehemu Mzee Rashid Mfaume Kawawa (RIP) alikuwa ni Simba SC "lia lia' ila hakuwa na 'Kiherehere' alichonacho Rais Mstaafu Kikwete kwa Yanga SC. Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Mwinyi ni Simba SC 'ndaki ndaki' ila hakuwa na 'Kiherehere' kwa Simba SC kama ulivyo Rais Mstaafu Kikwete...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mkutano Mkuu wa Yanga SC leo umeharibiwa na shabiki wao aliyesema Klabu ya Real Madrid inatokea nchini Ufaransa

    Kuna Utafiti uliwahi Kufanywa na ukaja na Matokeo kuwa 90% ya Mashabiki wa Yanga SC ni Mbayuwayu ( Watupu Vichwani ) wengi Wetu ( hasa Wadau wa Soka) nchini tukabisha na kukataa ila leo tumejiridhisha na Kuamini. Katika hali ya Kushangaza (ambayo kamwe hutoweza kuikuta kwa Mashabiki Werevu tupu...
  11. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Yanga muwe na aibu, ogopeni teknolojia

    Yanga ikianzisha mpira wa haraka na kujipatia goli. Wakifanya wao sawa,wakianzisha wengine sio goli. Hakika hawa ni Utopolo
  12. ommytk

    JamiiForums Tanzania Manji awasili mkutano wa yanga

    Mwanachama wa Yanga Yusuf Manji amewasili muda huu kwenye mkutano mkuu wa yanga na kuzua shangwe kubwa nje ya ukumbi na ukumbini
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kishindo: Yusuph Manji atikisa Mkutano wa Yanga Chang'ombe

    Baadhi ya Vigogo waliohudhuria hawa hapa , yumo Jakaya Kikwete
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, unadhani Mashabiki 'Oya Oya' wa Yanga SC baada ya Mechi ya Simba SC na Azam FC leo walitakiwa walaumu lipi kati ya haya yafuatayo?

    a ) Rafu mbaya sana na ya Kikatili mno aliyochezewa Luis Miquissone wa Simba SC na Beki Mpuuzi Mghana wa Azam FC ambayo si tu ingemjeruhi vibaya bali ingeweza hata Kuhatarisha Uhai wake na cha Kushangaza Mwamuzi hakumpa upesi Kadi Nyekundu na akaishia tu kumpa ya Njano huku Mchezaji Mcheza Rafu...
  15. Cvez

    JamiiForums Tanzania Kiongozi aliewahamasisha Yanga kusimamia kanuni ana nafasi yake peponi

    Katika kitu ambacho kiliniumiza nafsi ni mechi ya Mei 8 kuahirishwa. Lakini kutokana na msimamo wa ligi ulivyo sasa. Naamini katika ule msemo wa mabeberu "Everything happens for a reason". Hivi ni nani kati yetu alietambua kua furaha ambayo Wanasimba tungeipata Mei 8 si lolote kama furaha ambayo...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, Injinia Hersi Said wa GSM leo 'Kazindua' Tawi la Yanga SC huko Tabora kama nani na je, Katiba ya Yanga inaruhusu hilo?

    Dkt. Mshindo Msolla kwakuwa huna tena Kauli mbele ya Yanga SC baada ya Kukubali 'Kumezwa' na GSM chini yake Injinia Hersi Said nashauri 'jiuzuru' kwani hakuna unachokifanya ( ulichokifanya ) pia.
  17. C

    JamiiForums Tanzania Yanga wapokonywe medali ya under 20

    Sheria ziko wazi hadi fifa wanasisitiza kwamba youth teams hakuna kuvaa jezi zenye nembo ya makampuni ya kamari. Hawa jamaa michuano ya under 20 walivaaa jezi zenye nembo yq sportspesa
  18. Ng'wanamangilingili

    JamiiForums Tanzania Kurudishiwa Viingilio vya Mechi Simba vs Yanga

    Sisi #thecommonwananchi tunauliza sijui sijaona mtonyo ukirudishwa wa ile game iliyochakachuliwa ya Simba na Yanga, sisi watanzania ni wazuri sana wa kusahau na kuvumilia mengi. Nawezekana uliwekwa utraratibu mwingine na wengine hatujui, tuna haki ya kujua au kukumbushwa manake juzi kati...
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba: Yanga SC tuachaneni na Morrison kwani Makambo anakuja

    Haya Mwenzenu huyu ( tena Waziri ) na Mfadhili wa Kujificha Mwigulu Nchemba kasema hivi nyie ni nani mumkatalie? Chanzo: TBC1 Bunge Live hivi punde tu.
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Kauli hii ni rasmi kuwa Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli ana Akili Kubwa kuliko Wanayanga wote na mpaka Injinia Hersi wa GSM

    "Hivi ni kwanini Waandishi wa Habari wa Michezo wa Tanzania mnapenda sana Kuzusha na Kutuchonganisha Yanga SC na Vilabu vyenye hao Wachezaji mnaotuhusisha nao kuwa tumeshawasajili? Ukweli ni kwamba mpaka hivi sasa naongea nawe hivi Yanga SC haijasajili Mchezaji yoyote yule kutoka nchi yoyote na...
Back
Top Bottom