yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. C

    JamiiForums Tanzania Yanga kuweka kambi Morocco ni uamuzi sahihi?

    Simba ilipojitoa Kagame cup na kusema wanawapa mapumziko wachezaji ya siku 10 then wanaenda kambi Misri kulikuwa na kebehi za kutosha kwamba wamewakimbia Yanga ambao walisema watashiriki michezo hiyo inayoanza tarehe 1 August. Cha kushangaza inasemekana watatoa mapumziko ya week mbili na...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Itakuwaje ikionekana Morisson ana mkataba na Yanga?

    RATIBA YA KESI KASI WEEK HII 26.07.21 CAS 2021/A/7689 Dilhara Lokuhettige v. International Cricket Council (ICC) CAS 2021/A/7935 International Cricket Council (ICC) v. Dilhara Lokuhettige 29.07.21 CAS 2020/A/7397 Young Africans SC v. Bernard Morrison 05.08.21 CAS 2021/A/7799 Yeni Malatyaspor...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Meneja wa Kipa wa Yanga SC Metacha Mnata Mchambuzi Jemedari Said Unafiki Kwake mwiko japo ni mwana Yanga SC lia lia

    jemedarisaid ....imetimia misimu 4 kamili Yanga SC haina kikombe chochote cha maana..... Nami Krav Maga nasema wasipoangalia wanaweza hata Kukosa tena Vikombe vyote kwa miaka 15 ijayo.
  4. C

    JamiiForums Tanzania Yanga walikuwa na mpango wa kumvunja Luis Jose

    Ilinishangaza sana baada ya goli kocha wa simba kumuacha luis jose ndani ya uwanja wakati wale WEHU wa utopolo wakiwa wamechaji na roho mbaya zao wakicheza shaolini soccer full Kung Fu Target yao kubwa jana ilikuwa ni konde boy. Dakika ya 96 wakijua ni last move ya mpira alirukiwa na wachezaji...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Mechi ambazo Simba iliifunga Yanga ikiwa pungufu

    woyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Popote mlipo wana Yanga SC nahitaji haraka Majibu yenu kutokana na haya Maswali yangu Saba tu Muhimu Kwenu

    1. Msemaji wenu Hassan Bumbuli na Afisa Mhamasishaji wenu Mkuu Antonio Nugaz baada ya Mechi ya tarehe 3 July, 2021 ambayo Yanga SC ilishinda walisikika wakisema kuwa Simba SC bila Kuwanunua Wachezaji wa Yanga haiwezi Kushinda. Je, Simba SC iliyomfunga au iliyoshinda leo imewanunua Wachezaji wa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC Kuamini sana Ushirikina na Kuuabudu Kumeigharimu leo Kigoma na itawagharimu hata wakicheza Klabu Bingwa

    Watu wa Mpira tunajua na Taarifa tulizipata tokea mechi ya tarehe 3 July, 2021 Klabu ya Yanga ilituma Washirikina wake kwenda Kigoma kwa ajiri ya Kuirogea Mechi ya leo ambayo wamefungwa na Simba SC. Hakuna asiyejua kuwa Klabu ya Yanga Wiki Moja kabla ya hii Mechi ya leo ambayo wamefungwa na...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Inaumiza sana! Simba wanabeba Makombe Yanga tunambeba Hersi

    Sisi Yanga Mzee Mpili katuroga kabisa. Msimu Huu tumembeba Hersi Ona Sisi Wao Simba walivyobeba Msimu huu.
  9. Replica

    JamiiForums Tanzania Simba Vs Yanga (1-0) | Shirikisho | Lake Tanganyika. Simba yatwaa ubingwa ASFC

    Ule muda wa lawama umewadia. Akili, macho na masikio yote kwa sasa yameelekezwa Kigoma ambako leo Jumapili, kunapigwa pambano la fainali ya Kombe la Shirikisho (ASFC) baina ya Yanga na Simba itakayochezwa katika Uwanja wa Lake Tanganyika. Shilingi yako iko upande gani? Kuwa nami kuanzia Saa...
  10. Rodwell mTZ

    JamiiForums Tanzania Yanga 6 Simba 1

    Hamjambo Wana wa JF, kulingana na kichwa cha uzi huu hiyo ni ndoto niliyoota usiku wa kuamkia leo tarehe 25, nimeona ubao mkubwa Sana wenye maandishi manene "Yanga 6 Simba 1" . Naomba asitokee mtu kunihukumu hiyo ni ndoto tu,nawatakia jumapili njema.
  11. kavulata

    JamiiForums Tanzania Bila Rais kuwepo uwanjani Simba haiwezi kuipiku Yanga hata ikishinda mechi.

    Sijasikia kama na Rais wetu ndiye atakuwa tena mgeni RASMI fainali ya FA Kigoma. Simba ilifungwa mbele ya mkuu wa nchi ambae hatakuwepo kwenye mechi Kigoma. Hii Itayafanya maumivu ya kufungwa yasiwe makubwa sana kama ya tarehe 3 July. Sijui kama hili wanalifikiria
  12. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Yanga mjiandae kisaikolojia na kadi nyekundu kesho toka kwa refa

    Najua hamuamini hili refa anaingia uwanjani na redi kadi yenu kapewa maagizo wapi sijui Ushauri 1) Wachezaji mjitahidi sana kushinda magoli mengi kipindi cha kwanza 2) Wachezaji mjitume dakika zote tisini mkijua hamchezi na wenzenu 11 3) Kama kuna mechi kucheza kwa nidhamu zote ni kesho...
  13. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Simba vs Yanga: Kinachoenda kutokea kesho Kigoma

    Wao wasioamini kinachoenda kutokea keshooo Kigoma. Wale wa betting mnaweza kula hela hii. Htft Yanga/Yanga, ama htft Simba/Yanga Red kad itakuwepoo kuwaondoa mchezoni Yanga Lakini ft Yanga ataibuka na ushindi Wafungaji wa Yanga n kati ya hawa Mukoko Kaseke Yakubu Kipndi cha pili ni kibaya...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Thobias Andegenye: Mechi ya Simba vs Yanga wote wavae barakoa, hata uwanja ukifurika

    Mashabiki elfu 17 pekee ndio wataruhusiwa kuingia ndani ya uwanja wa Lake Tanganyika mkoani Kigoma, kushuhudia mpambano wa watani wa jadi Simba na Yanga siku ya Jumapili. Mkuu wa mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye amesema wamepunguza idadi ya mashabiki kuingia ndani ya uwanja ili kuthibiti...
  15. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania UTABIRI: Kuna uwezekano mechi ya Simba na Yanga ikaahirishwa

    Habari wadau Tukumbuke tarehe 25/07/2021 kutakuwa na mechi kati ya Simba na Yanga utabiri wangu unanambia hii mechi inaweza isichezwe. Sababu ni hali ya Corona nchini iwapo serikali kupitia wizara itaamua kuchukua tahadhari zaidi kuzuia maambukizo, ukizingatia mechi itapigwa Kigoma ambako rate...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC tafadhali hili la Yanga SC Kumkataa Mwamuzi wa ASFC Final Ahmed Aragije liangalieni 'Kiujasusi' zaidi

    Kwa Taarifa ambazo nimezipata na GENTAMYCINE naendelea Kuzithibitisha ni kwamba Kitendo hiki cha Yanga SC Kumkataa Mwamuzi (Referee) Ahmed Aragije kutokea Mkoani Manyara kina Fumbo kubwa na Mtego kwa Simba SC. Nimedokezwa (za chini chini) kuwa kutokana na Yanga SC (hasa kupitia Mdhamini wao...
  17. Informer

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania yatoa Katazo la Misongamano isiyokuwa ya lazima kukabiliana na UVIKO

    TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI. TAMKO LA KATAZO LA MISONGAMANO ISIYOKUWA YA LAZIMA Tarehe 22 Julai, 2021 - Dar es Salaam. Ndugu Wananchi, kama tunavyofahamu Tanzania iko kwenye mapambano ya kudhibiti maambukizi ya UVIKO-19 ikiwa ni wimbi la 3 la mlipuko huu tangu uingie nchini Machi...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbinu hii ya Yanga SC si tu ni ya Kishamba bali pia ni ya Kipuuzi vile vile

    Kila pale Mechi ya Yanga SC na Simba SC ikikaribia tu ni lazima Klabu ya Yanga itaibuka na Kumtahadharisha Mwamuzi ( Referee ) Kitendo kilichofanywa leo na Yanga SC cha Kumkataa Mwamuzi Ahmed Aragije si tu ni cha Kishamba bali pia ni cha Kipuuzi (Kipumbavu) sana. Na bahati nzuri ukiyasikiliza...
  19. Replica

    JamiiForums Tanzania Barbara Gonzalez amkwepa Manara, asema focus yake kushinda game ya Jumapili

    Baada ya msemaji wa Simba, Haji Manara kumtuhumu mkurugenzi wake kuwa na chuki dhidi yake na kutoa madai kadha wa kadha, Barbara amejibu kwa sasa akili yake iko kwenye mchezo wa Jumapili dhidi ya watatni wao Yanga. Pia, soma> Haji Manara amtuhumu Barbara kuwa na chuki dhidi yake. Amuahidi...
  20. K

    JamiiForums Tanzania HATARI: Hakuna Corona Tanzania linapokuja suala la mechi ya Simba na Yanga

    Nimefuatilia uhamasishaji wa mechi hizi za watani wa jadi (Ile iliyopita juzi juzi) na hii inayofanyika Jumapili hii kule Kigoma. Maswali ni mengi kuliko majibu linapokuja suala la jukumu la Serikali kupitia Wizara ya Afya/Habari na michezo/BMT/TFF kuhamasisha wananchi wajikinge na hili janga...
Back
Top Bottom