UTANGULIZI
Hakika katika msimu huu ukiondoa matokeo mbalimbali na mafaniko waliyo yapata Klubu ya Simba na mwenendo mzima wa ligi kuu bara basi moja ya jambo ambalo limeshika sana katika vichwa vya wapenda soka mashabiki wa Simba na Yanga basi bila shaka ni sakata la kesi ya Benard Morrison na...
Jana klabu kubwa kuliko zote Afrika mashariki, Yanga ilikabidhiwa kombe la ubingwa wa kuifunga timu ya Simba SC huku ikiwa imebakiza mechi moja I tu akayopigwa July 18 2020.
Haya ni mafanikio makubwa kwa timu ya wananchi ndani ya muda mfupi kwani ndani ya mwezi mmoja wameweza kumsajili mchezaji...
Hawa utopolo wanatumia taaluma ya mazingaombwe. Ndio maana sasa hivi Mzee mpili kwa sasa ndiye shujaa wao.
Kwa sasa wanasajili kwa ajili ya mechi za kimataifa kwani wanajua huko hayo mambo yao hayafanyi kazi.
Ila kwa kukosa mikakati sahihi, watapigwa mapema asubuhi na kuaga mashindano.
Hili swali tuliambiwa tuwaulize GSM kama ikitokea tumekosa Ubingwa na ni kutokana na kikosi kikali ambacho Yanga tulisajili ukilinganisha na cha Simba chenye wachezaji Wazee. miaka karibia 4 Simba imekuwa na Kikosi cha wachezaji wazee sana. lakini inashangaza hawa ndo wanaokipatia matokeo...
Mzee wangu aliwahi nambia vipaumbele vya Mzungu na Mswahili ni tofauti sana. Mzungu anawaza kuwa mwaka huu nataka nivumbue kitu fulani kiisaidie jamii mswahili anasema mwaka huu nikizikamata tu naoa mtoto mbichii. halafu mswahili atakaa kijiweni akilalamika kuwa mzungu anamhujumu. mzungu atakaa...
Baada ya GSM kushusha Bus aina ya Scania, klabu ya Yanga imeingia kwenye orodha ya klabu zinazotumia mabasi aina ya Scannia duniani
Basi hilo ambalo tayari limetoka bandarini, ni aina ya SCANIA IRIZA 16 ambayo thamani yake ni zaidi ya Tsh Milion 900 hadi Tsh Bilioni moja pamoja na ushuru
Yanga...
Niwapongeze Yanga kwa "kuuza" haki zao za matangazo kwa bilioni 41 kwa Azam TV.
Tumeona kwenye mitandao wachambuzi wengi na washabiki wa Yanga wakiidhihaki Simba kuwa ina thamani ya 20B hivyo wamepigwa na Mo.
Wanachofanya ni kuendeshwa na hisia na kutokuona ukweli. Wanakurupuka na kusahau kuwa...
" TV Sponsorship ni tofauti kidogo na uwekezaji ambayo unaweka 20bil mara moja sio kwa mgawanyiko. Kama watu wanafikiri ni rahisi basi atokee mdhamini atoe hata nusu Tsh 20bn kwa mkupuo. Wadhamini wenyewe wanategemea kupata humo humo ili waweze kulipa tena "
Chanzo: @privaldinho
Haya sasa wana...
Kama unafatilia haya mambo utakumbuka miezi michache iloyopita Mo ali weka post huko Twitter ya Manchester united kupewa mamia ya mabilioni kwajili ya haki miliki za matangazo, ni kwamba hii ishu ilitotoke baada ya azam kwenda simba kuomba haki ya matangazo kama alivyofanya kwa yanga ila sasa...
Nadhani niliwasikia vizuri Yanga wakisema app yao iliwaingizia 100m. App hiyo waliiweka January 2020 na inaonyesha install 100k ambayo inweza kuwa hadi karibia na 500k.
Waliwezajekuingiza pesa hizo?
Klabu kongwe ya Young Africans Sports Club leo inaingia mkataba na Azam Media utakaogharimu jumla ya shilingi Bilioni 34.8 (Bilioni 41 with VAT). Mkataba huu utadumu kwa miaka kumi(10) na utafanyiwa marudio/maboresho baada ya miaka mitano.
Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari...
Nadhani Simba bado mnaugulia kipigo. Poleni sana. Sisi tunaendelea na kufurahia na ushindi wetu dhidi yenu msimu huu.
Hilo ndilo lilikuwa lengo letu kubwa na tunashukuru tumefanikiwa sana. Hayo ya Ubingwa si big deal.
Wala hatuna presha na mpira au ligi. Tunaendelea ku enjoy ushindi wetu. Na...
Klabu ya Yanga imefanikiwa kumsainisha beki Djuma Shabani akiwa mchezaji huru Kwa mkataba wa miaka miwili.
Kulikuwa na tetesi kuwa huenda Djuma Shabani asingekamilisha dili hilo na badala yake angeelekea kunako Klabu ya Rs Berkane kuungana na kocha wake Florent Ibenge aliyejiunga na timu hiyo...
siku za karibuni ameibuka mzee wetu anaefahamika kwa jina mzee mpili akionekana na kujinasibu kuwa yeye ana watu na mechi ya juzi ya watani yeye ndo aliicheza na mechi ya kigoma fainali ya kombe la azam sport imeshaisha asilimia 90 kuwa yanga anashinda!!!je umnamuamini kweli wanayanga uyu mzee...
Wapenzi wa Yanga na Simba, Jezi zenu huwa zinavaliwa angalau siku moja kabla ya mechi,hadi siku ya mechi na baada ya mechi unaweza ukavaa kwa nusu siku hata kama umeshinda au umefungwa.Ushamba wenyewe unakuwa hivi aliyeshinda anavaa jezi wiki nzima asubuhi hadi wengine wanalala nazo,wakati...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania(TFF) limetoa wito kwa viongozi wote nchini kuacha kutoa kauli zinaweza kuchochea vurugu katika mpira wa miguu.
Kauli hiyo imekuja baada ya TFF kusikitishwa na kauli ya Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ambaye alisema waamuzi wa mechi ya Simba na Yanga...
Kama uzi unavyojieleza.
Huwezi zungumzia soka la Africa kwa sasa bila kuzitaja club za Simba na Yanga. Kama unamjua kiongozi au celebrity yeyote shabiki wa Simba au Yanga mposti hapa.
Itapendeza zaidi akiwa ndani ya uzi wa club husika. Pia, Kama wewe ni shabiki wa Yanga weka like 👍 yako kama...
Kwanza tuwapongeze Yanga kwa ushindi wa juzi ni furaha saaana kumfunga Bingwa mtarajiwa kwa Mara nne Mfululuzo, pia Robo finalist wa Klabu Bingwa wa Afirka, aliyewafunga finalist wa Mwaka huu Kaizer Chief na Al Ahl.
Turudi kwenye mada, hivi lile goli la Utopolo, ambalo Zawadi alipiga shuti...
Anaandika @alikamwe
Mambo 10 nilioyaona Simba vs Yanga
1: DAR ES SALAAM is GREEN & YELLOW 🟢🟡. WENYE NCHI NI WANANCHI🙌 Pointi 3 za HESHIMA. Pointi 3 za KIBABE. Yanga wanaweza kukosa Ubingwa, Lakini angalau wameweka alama isiyofutika kwenye moyo wa Rais, Mama Samia..👏
2: WHAT A MATCH! Yanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.