yanga

Young Africans Sports Club (maarufu kama Yanga ni Timu ya Soka nchini Tanzania iliyoanzishwa mnamo mwaka 1935.

Jina la utani wanajulikana kama Timu ya Wananchi (Wananchi) au Wanajangwani.
  1. N

    JamiiForums Tanzania Mwezi ujao Yanga itashushwa madaraja mawili, serikali ijitetee hivi huko FIFA

    Wakati wako busy kusajili wachezaji wa bilioni 1.2 na mwingine wa billion 5 huko South Africa huku itaaarifiwa pia wanaenda kutoa billions 12 kuchukua mwingine toka Misri team ya yanga fc mwezi ujao itashushwa daraja baada ya tarehe 3 july pale watakapogoma kuingiza team uwanjani vs simba. Hii...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Wazee wa yanga wakataa kuingiza team uwanjani tarehe 3 july vs simba

    Wazee wa klabu namba 74 kwa ubora barani africa yanga sc wamekataa kuingiza team tarehe 3 july.Team hiyo ya mitaa ya twiga na jangwani ambayo kwa mujibu wa shirikisho la soka afrika ni ya tatu kwa ubora nchini nyuma ya simba na namungo kikawaida huwa ina utaratibu wa jadi na wa kihistoria wa...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Picha ya wachezaji wakubwa huko south africa wanaoomba kujiunga yanga sc

    Kitendo cha yanga sc kuwepo kwenye top 100 ya teams bora afrika ikishika nafasi ya 74 nyuma kidogo ya namungo iliyo namba 60 kimeipa umaarufu mkubwa huko south africa huku wadau wakisema ni kitendo kinachopaswa kujivunia haswa ukifikiria bara hili lina maelfu ya teams Sasa unaambiwa wachezaji...
  4. IBRA wa PILI

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba: Timu bora Yanga haipati matokeo kwenye viwanja vibovu

    Viwanja vyetu vingi vya michezo hapa Nchini ni vibovu sana labda ukiacha tu Majaliwa Stadium iliyoko kule Ruangwa na ubovu wa viwanjwa hivyo unasababisha Timu bora kama Yanga inashindwa kupata matokeo inapokwenda mikoani kule” “Napendekeza kusamehe kodi ya ongezeko la thamani kwenye nyasi...
  5. demigod

    JamiiForums Tanzania Rasmi: Yanga SC yaishinda Mabavu ya Kifedha Simba SC kwenye usajili wa Masoud Djuma

    Masoud Djuma (umri 28) akamilisha usajili wake ndani ya Yanga SC kwa dau la USD500,000 (Bilioni 1 & Milioni 150) Yanga imefanikiwa kuwashinda wapinzani wao Simba SC Tanzania baada ya offer yao ya USD 399,000 (Milioni 850) kutupiwa kapuni. Simba SC Tanzania ilimuhitaji Djuma kama mchezaji pacha...
  6. Lupweko

    JamiiForums Tanzania Mwakalebela aiomba msamaha na kuisifia TFF ya Karia, aiweka njia panda Yanga

    Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa klabu ya Yanga, ndugu Fredrick Mwakalebela ambaye amefungiwa kutojihusisha na masuala ya soka nchini kwa kipindi cha miaka mitano pamoja na kutozwa faini ya sh. milioni saba, amekiri kufanya makosa na kuiomba radhi TFF kwa yale aliyotamka hadi yakapelekea kupewa...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo wana Yanga SC duniani kote tumekubali hii ' Kashfa ' isiyovumilika kutoka kwa Injinia Hersi Said wa GSM dhidi yetu?

    " Tumeitoa Yanga SC Uswahilini pale Manzese wakiwa na hali mbaya, Njaa wakila Maharage na Ugali wa Kugombania na Wanang'atwa na Mbu na sasa tumewaweka pale Avic Town Kigamboni wanakula vizuri sana " Yaani wana Yanga SC wote kama kuanzia Usiku huu na mpaka Kesho hatujamfukuza Injinia Hersi Said...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Shida ya Yanga ni no 9 na 10 siyo beki

    Huyu ni beki wa AS VITA eti kasajiliwa na Yanga. Shida kuu kwa timu ya yanga sasa hivi ni safu ya ushambuliaji ndiyo ipo butu, anatakiwa kusajiliwa straiker mwenye uwezo wa kupiga miguu yote na vichwa na pia mwenye uwezo wa kupiga faulo (freekick) na kufunga,Sarpong hana kabisa uwezo huo na...
  9. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mchezaji wa Yanga hata Mmoja anaeweza kwendana kiwango na CKM Mugalu

    Utopolo wanaendesha kampeni za Kijinga sana ili tumuone mugalu hafai Kumbukeni Mugalu kwa kasi na ubora alionao, hakuna forwad wala straika wa kulingana nae viwango pale jangwani. Na infact chochote kinaweza kutokea anaweza kuwa best scorer kama bocco na Kagere wasipochukua
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tunaenda na kanuni, kwahiyo Yanga jiandaeni kuweka logo nyekundu ya mdhamini kwenye jezi zenu msimu ujao

    Logo ya mdhamini wa ligi ni nyekundu ila Yanga walilegezewa kwa kuweka logo nyeusi ambayo sio halisi. Vodacom na TFF wanasema msimu ujao ni kwenda na kanuni tu na kwa kuanza ni logo halisi ya mdhamini yaani nyekundu kwa kila klabu inayoshiriki ligi. Japo mnaonekana mpo enzi za mawe kwa kukataa...
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama tu Injinia Hersi wa GSM na Yanga SC yake anaonyesha 'Udhaifu' huu kwanini Yanga SC isiwe na Matokeo mabaya na ya hovyo hovyo?

    Yupo Studioni sasa EFM kwenda ' Kuzurula ' na ' Kuwadanganya ' wana Yanga SC na ameulizwa Swali dogo lenye Kuhitaji jibu fupi tu na Mtangazaji Tunu Hassan Shemkome na Majibu yake ( Injinia Hersi Said ) yakawa hivi ( haya ) .... Swali Mtangazaji Tunu... Je, bado Injinia Hersi anadhani Yanga SC...
  12. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Yanga ikishinda kesi mtaelewa kwanini Morrison hakuwa akicheza mechi zote, na alizocheza Simba wananyang'anywa points

    Watani kumewaka hukooo. Mgodi unakaribia kutema soon tukae mkao wa kula. Kwa wasiojua kesi, Morrison akishindwa mechi zote Simba SC walizomchezesha wananyang'anywa points. Hapa mtaelewa zile kelele za kutomchezesha Morrison mara kwa mara hazikuwa bahati mbaya. Mwanzo walitaka kusikilizia TFF...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Tukae tayari kwa update ya CAS toka Yanga, uhakika kabisa

    sote tunajua Morrison akifanya kitu lazima update ya CAS ije maana pale utopoloni hakuna cha wakili msomi,engineer,tajiri mwenye mijengo na ma lorry ya kufa mtu wote akili zao kama za Bumbuli au Juma khatib a.k.a Antonio Nugaz. Kwa kifupi sema kwamba wakili msomi BM 3 kazua balaa huko kirumba...
  14. BASIASI

    JamiiForums Tanzania Kasongo acha vitisho, Yanga hatujui kudanganya msimamo hatuchezi na Simba

    Nianze kwa kumpongeza Kaka Bumbuli. Nimeona sehemu Mwenyekiti wa Bodi anatishia viongozi wafuate kanuni. Haramu huliwa na haramu Mmeacha kufuata kanuni kama BODI nani mtamwongoza acheni VITISHO nawambia wana Yanga msinunue tiketi za Mechi Yanga walishamalizana na Simba mkinunua yanawatokea...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC ni matumaini yangu mmejiandaa vilivyo kuhusu Sakata la Yanga SC na Mchezaji Morisson kwani naona limekaa vibaya Kwetu huko CAS

    Kitendo tu cha Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo duniani ( CAS ) kutupilia mbali Ombi la Mchezaji Bernard Morrison kuwa Wasiisikilize Kesi yake ni ' wake up call ' kwa Simba SC kuwa kuna ' HATARI ' inaenda Kutuangukia na huenda tusiamini na tukaja Kujuta pia. Tafadhali upesi sana Simba SC...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Tumwombee Mdude Nyagali, kesi yake inashabihiana na ya Yanga Omari Yanga ambaye amefungwa miaka 30 na Mahakama ya Rufaa

    Mdude Nyagali Chadema alibambikiwa kesi ya kukutwa/kufanya biashra ya madawa ya kulevya na hukumu yake nasomwa tarehe 14/6/2021. Ikumbukwe kuwa Yanga Omari Yanga wa Tanga alikuwa na kesi ya kutegeshewa na Jana Mahakama ya Rufaa Tanzania imetoa hukumu ya rufaa iki-confirm hukumu ya Mahakama...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Wema sepetu adai mbali na familia kalinyo hakuridhika na stahiki zake yanga

    haya hayaaaaaa fayaaa fayaaaaaa makanjanja hata kumchimba wema sepetu mmeshindwa? mlewesheni basi pombe kali awamwagie ma story ya mzungu kukimbia huko utopoloni? Oh I forgot issues za utopolo huwaga hamzishikii kidedea,wachambuzi takataka
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbunge Tarimba Abbas (CCM) je, wana Kinondoni tulikutuma Bungeni kuzungumza matatizo yetu au kuizungumzia Yanga SC yako tu?

    Leo ni mara ya Pili (kama siyo ya Tatu) nakuona kila ukipewa muda wa Kuongea Bungeni Wewe Kazi yako ni Kuisemea tu Yanga SC yako na Kuonyesha pia chuki zako za wazi wazi kwa Rais wa TFF Wallace Karia na Klabu Hasimu Kwako ya Simba SC. Hivi Wewe Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas (CCM) ulipigiwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Simba na Yanga waigeni Barcelona na Real Madrid katika mapato

    Hapa nchini timu mbili tu ndizo zinazowapa jeuri Azam tv,TFF. Yaani Simba fc na Young Africans (Yanga). Kwa kuwa viongozi wa timu hizi mbili wanachaguliwa na wanachama ni sawa na Barcelona na Real Madrid. Sasa ushauri kwangu kama ilivyo Hispania,viongozi wa timu mbili hizi wadai kuwa na...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini Maulid Kitenge na Sports Arena yake ya Wasafi FM hawayaongelei haya yanayoendelea Yanga SC?

    1. Nidhamu mbovu ya Wachezaji Watatu Lamine Moro, Metacha Mnata na Michael Sarpong huku wengine wakipigana, kurogana hadharani na hata kutukanana. 2. Tabia mbaya ya Usodoma na Ugomola aliyonayo Kocha Mmoja kutokea kwa Wakikuyu iliyomkera Kipa Metacha. 3. Mwenyekiti Msolla na Injinia Hersi...
Back
Top Bottom