Huyu ni beki wa AS VITA eti kasajiliwa na Yanga.
Shida kuu kwa timu ya yanga sasa hivi ni safu ya ushambuliaji ndiyo ipo butu, anatakiwa kusajiliwa straiker mwenye uwezo wa kupiga miguu yote na vichwa na pia mwenye uwezo wa kupiga faulo (freekick) na kufunga,Sarpong hana kabisa uwezo huo na...
Utopolo wanaendesha kampeni za Kijinga sana ili tumuone mugalu hafai
Kumbukeni Mugalu kwa kasi na ubora alionao, hakuna forwad wala straika wa kulingana nae viwango pale jangwani.
Na infact chochote kinaweza kutokea anaweza kuwa best scorer kama bocco na Kagere wasipochukua
Logo ya mdhamini wa ligi ni nyekundu ila Yanga walilegezewa kwa kuweka logo nyeusi ambayo sio halisi. Vodacom na TFF wanasema msimu ujao ni kwenda na kanuni tu na kwa kuanza ni logo halisi ya mdhamini yaani nyekundu kwa kila klabu inayoshiriki ligi.
Japo mnaonekana mpo enzi za mawe kwa kukataa...
Yupo Studioni sasa EFM kwenda ' Kuzurula ' na ' Kuwadanganya ' wana Yanga SC na ameulizwa Swali dogo lenye Kuhitaji jibu fupi tu na Mtangazaji Tunu Hassan Shemkome na Majibu yake ( Injinia Hersi Said ) yakawa hivi ( haya ) ....
Swali Mtangazaji Tunu...
Je, bado Injinia Hersi anadhani Yanga SC...
Watani kumewaka hukooo.
Mgodi unakaribia kutema soon tukae mkao wa kula.
Kwa wasiojua kesi, Morrison akishindwa mechi zote Simba SC walizomchezesha wananyang'anywa points.
Hapa mtaelewa zile kelele za kutomchezesha Morrison mara kwa mara hazikuwa bahati mbaya.
Mwanzo walitaka kusikilizia TFF...
sote tunajua Morrison akifanya kitu lazima update ya CAS ije maana pale utopoloni hakuna cha wakili msomi,engineer,tajiri mwenye mijengo na ma lorry ya kufa mtu wote akili zao kama za Bumbuli au Juma khatib a.k.a Antonio Nugaz.
Kwa kifupi sema kwamba wakili msomi BM 3 kazua balaa huko kirumba...
Nianze kwa kumpongeza Kaka Bumbuli.
Nimeona sehemu Mwenyekiti wa Bodi anatishia viongozi wafuate kanuni.
Haramu huliwa na haramu
Mmeacha kufuata kanuni kama BODI nani mtamwongoza acheni VITISHO nawambia wana Yanga msinunue tiketi za Mechi Yanga walishamalizana na Simba mkinunua yanawatokea...
Kitendo tu cha Mahakama ya Usuluhishi wa Michezo duniani ( CAS ) kutupilia mbali Ombi la Mchezaji Bernard Morrison kuwa Wasiisikilize Kesi yake ni ' wake up call ' kwa Simba SC kuwa kuna ' HATARI ' inaenda Kutuangukia na huenda tusiamini na tukaja Kujuta pia.
Tafadhali upesi sana Simba SC...
Mdude Nyagali Chadema alibambikiwa kesi ya kukutwa/kufanya biashra ya madawa ya kulevya na hukumu yake nasomwa tarehe 14/6/2021.
Ikumbukwe kuwa Yanga Omari Yanga wa Tanga alikuwa na kesi ya kutegeshewa na Jana Mahakama ya Rufaa Tanzania imetoa hukumu ya rufaa iki-confirm hukumu ya Mahakama...
haya hayaaaaaa fayaaa fayaaaaaa makanjanja hata kumchimba wema sepetu mmeshindwa? mlewesheni basi pombe kali awamwagie ma story ya mzungu kukimbia huko utopoloni?
Oh I forgot issues za utopolo huwaga hamzishikii kidedea,wachambuzi takataka
Leo ni mara ya Pili (kama siyo ya Tatu) nakuona kila ukipewa muda wa Kuongea Bungeni Wewe Kazi yako ni Kuisemea tu Yanga SC yako na Kuonyesha pia chuki zako za wazi wazi kwa Rais wa TFF Wallace Karia na Klabu Hasimu Kwako ya Simba SC.
Hivi Wewe Mbunge wa Kinondoni Tarimba Abbas (CCM) ulipigiwa...
Hapa nchini timu mbili tu ndizo zinazowapa jeuri Azam tv,TFF. Yaani Simba fc na Young Africans (Yanga). Kwa kuwa viongozi wa timu hizi mbili wanachaguliwa na wanachama ni sawa na Barcelona na Real Madrid.
Sasa ushauri kwangu kama ilivyo Hispania,viongozi wa timu mbili hizi wadai kuwa na...
1. Nidhamu mbovu ya Wachezaji Watatu Lamine Moro, Metacha Mnata na Michael Sarpong huku wengine wakipigana, kurogana hadharani na hata kutukanana.
2. Tabia mbaya ya Usodoma na Ugomola aliyonayo Kocha Mmoja kutokea kwa Wakikuyu iliyomkera Kipa Metacha.
3. Mwenyekiti Msolla na Injinia Hersi...
Simba mnajidai sana na team yenu. Naona jinsi mnavyocheza mpaka mnakera. Mnakera sana si kidogo. Na sisi Yanga tukikua tunataka kucheza kama Simba.
Ila nawaambia na sisi Yanga team yetu ikikua itacheza kama ninyi. Nyie si mnajidai sababu mmecheza na team kubwa kubwa Africa.
Mnacheza kwa dharau...
Mwaka 1968 Yanga walichukua Ubingwa wa Ligi na kuiwakilisha nchi kwenye klabu bingwa barani afrika 1969.
Yanga walienda nchini Romania kufanya pre season ya mwezi mzima kitu kilichowafanya kufanya vizuri sana kwenye mashindano
Hatua ya awali.
Yanga wakakutana na fitarikandro ya Madagascar...
Hapa ni msemaji wa Yanga akitest mitambo kuona mwitikio. Mengi zaidi yatajiri hivi karibuni.
Nawaomba Simba Sc wenzangu hasa Haji Manara na fans wa mitandaoni wapunguze vitisho kwa Yanga. Ni vile tu Yanga hawawezi kusema tunatishwa na Manara.
Wanaandika kwenda dokezo TFF wakidai Simba...
Mimi ni mpenzi wa Yanga lakini msema ukweli ni mpenzi wa Mungu. Mchezo waliouonyesha Yanga dhidi ya Mwadui imeonyesha kwa kweli Yanga bado sana.
Naishauri Klabu ya Yanga isajili wachezaji wenye viwango kama Simba. Yanga sasa wamepangwa kukutana na Biashara united ya Mara kwenye Kombe la FA...
Yanga SC huko CCM Kambarage au Mwadui (Mkoani) Shinyanga ambako mtacheza leo na Timu iliyoshuka VPL ya Mwadui GENTAMYCINE nawaonya na kuwaomba ichezeni kwa Nidhamu na Umakini ili isije ikawa Aibu japo najua Ushindi Kwenu Kiuwezo na Kiufundi ni wa 99%.
Simba SC Kesho mkiwa Benjamin Mkapa Stadium...
Haya haya amkeni buanaaaaa! Huko utopoloni mambo ni faya sana sema jamaa nawasifu jinsi walivyoweza kuyashikilia makanjanja wa nchi hii.
Kamwe hutasikia lolote baya kuhusu hawa jamaa kuanzia wale nyoka walioonekana kambini Kigamboni, lamine Moro kukunjana na daktari wa team kule Kigamboni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.